"SIWEZI KUMUACHA MUME WANGU ETI KWA SABABU 'AMECHEAT' " KITASA AFUNGUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 28

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 11 месяцев назад +2

    Mdada kumbe ana bwana mwenye ela

  • @JanetAhmad-v3h
    @JanetAhmad-v3h Год назад +3

    sasa hii mekup ama udongo macho kama paka 😅😅 watu nanajichubua aise jamani

  • @neetaparnis7573
    @neetaparnis7573 11 месяцев назад

    Atengeneze memo bhas

  • @deboramartin8111
    @deboramartin8111 Год назад +5

    Usoni anatisha mwewee kama jini

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn 4 месяца назад

      Mie nilijua jini maimuna 😂😂😂😂😂

    • @JenieJames
      @JenieJames 4 месяца назад

      jini unalijua😅

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 Год назад +1

    Ngoma ikivuma sana hupasuka. Kuwa makini mwisho wako nauona mbaya

  • @SophiaAthman
    @SophiaAthman Год назад

    ❤❤❤❤

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 Год назад +2

    Make up nyingine sio jaman Fetty kaharibiwa uso umekuwa mzito😂😂😂

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 Год назад

      Haswa umeona kumbe shoga angu sura limekuwa zito baya hata akiwrka pozi ndio anazidi kuwa mbaya

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 3 месяца назад

    Mbona kama.jini

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz 4 месяца назад

    Jaman Kwendwa si ya Ally Kilupi au...????

    • @mwanaidkhamis
      @mwanaidkhamis 4 месяца назад

      Ndio Yao kilupi uyo mumewe cjui maybe wanashare

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 4 месяца назад +1

    Ni ndugu na umber lulu au?

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 5 месяцев назад

    Vizuri

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 4 месяца назад

    Watu tunajipodoa Sana mpk Sura zinabadilika km umemchukua Mtoto atapata homa😢

  • @zuhuraa3301
    @zuhuraa3301 4 месяца назад

    Wataalam wa make up nchi hii wako wapi?

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 5 месяцев назад

    Kweli umeongea piont

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 Год назад +3

    Jamani sikuhizi madiri hakuna hivi mtangazaji wa kike muoneni hapo kavaa Nini Sasa tumbo lipo wazi ha! Jamani kwani yupo disko au oficeni ,watu Wana wajiri machangudoa tu