Asante kwa maoni yako. Kama nimeweza kupata mtu wa kwanza nawa mwisho basi niko sahihi. Jibu ni moja ila kunanjia tofauti za kupata jibu hilolo. Hivyo mtu akitumia njia nyingine sio kadanganya. Hii njia tunatumia saana hasa tunapofundisha beginners hiyo nyingine unayoisema tunatumia kwa advanced learner.
Kaka una teaching skills nzuri...wengi wanajua ila kutransfer knowledge kama ww wanashindwa
❤❤❤ Much Love Broo nimesaidikaa sanaaa
Nmejofunza kitu kikubwa Sana kaka Mungu akubariki sana
Asante sana nimeelewa vizuri kaka
Thank you bro. Nmepata somo
Nashukuru sana kwa kipindi kizuriiii
good
Iyo fomula ya kupanga nafasi ya mwanafunzi umelazimisha kunafomula yake lakini siyo kusort hapo umedanganya brodher ila kwingine unepatia vzr
Asante kwa maoni yako. Kama nimeweza kupata mtu wa kwanza nawa mwisho basi niko sahihi. Jibu ni moja ila kunanjia tofauti za kupata jibu hilolo. Hivyo mtu akitumia njia nyingine sio kadanganya.
Hii njia tunatumia saana hasa tunapofundisha beginners hiyo nyingine unayoisema tunatumia kwa advanced learner.
Je,nifanyje ili Excel iniwekee 1.5 kwa wanafunzi wawili waliopata wastani sawa?
Nimekukubali kaka
Karibu saana
Nijinsi gani unaweza kuongoza maks
Namna ya kupata part ya 8 ama za nyuma unafanyaje?
Nice
Good
Kanuni ya kupanga matokeo ya wanafunzi
Kupangaje matokeo?
Kwenye kishkwambi vp inawezekana kiongozi
Nijinsi gani unaweza kuongoza maks