SEHEMU YA_03: MBINU YA KUANDAA RIPOTI ZA WANAFUNZI ZAIDI YA 500 FASTA KWA DK 20 TU_EXCEL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 9

  • @loishookikissambu9720
    @loishookikissambu9720 Год назад

    Nakubali sana ufundishaji huu wa practical

  • @drlukwaro
    @drlukwaro 3 года назад

    Hili somo limenibariki sanaaa

  • @ElzearyKomba-sb5iu
    @ElzearyKomba-sb5iu Год назад

    Thanks much brother Kwa msaada ulio tupa Nina issue mbili zinazo tatiza nikiitaji grade za Kila Somo na maoni ya mwalimu wa Somo yawe ni pass au fail naadikaje Moja Kwa Moja Kwa kutumia computer

  • @matolamatola6944
    @matolamatola6944 5 лет назад

    Mwenyezi Mungu akubariki saana

  • @yussuphomary5431
    @yussuphomary5431 7 месяцев назад

    Je,unaweza kutoa hizo desimali kwenye wastani ibaki hata nafasi moja ya desimali

  • @jumannesadiki768
    @jumannesadiki768 4 года назад

    Nakukubali sana Samgagi, hata anaesikiliza tu bila kuona anakuelewa

  • @yussuphomary5431
    @yussuphomary5431 7 месяцев назад

    kutoa hizo desimali nyingi

  • @kasbertmangula9804
    @kasbertmangula9804 2 года назад

    Je nilitaka notes zake nifanyeje

  • @jbclassic538
    @jbclassic538 5 лет назад

    Namba za simu plez