Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa nyimbo zako nzuri....🥰🥰...Sina mashaka na Baba....Sante sana naskia kufarijika sanaa....😭😭...haikua rahisi katika maisha yangu.....kupitia uu wimbo wa Sina mashaka na Baba mikononi mwake nisalama...🙏🙏🙏
For the glory of God be up on me to tapping the same talented voice, I receive in Jesus name amen. For am looking forward to this ministry to Glory fyi our Lord in heaven.
Ak sauti yako imefanana na ya martha
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa nyimbo zako nzuri....🥰🥰...Sina mashaka na Baba....Sante sana naskia kufarijika sanaa....😭😭...haikua rahisi katika maisha yangu.....kupitia uu wimbo wa Sina mashaka na Baba mikononi mwake nisalama...🙏🙏🙏
God bless u so much mtumishi
Mungu akubariki Kaka washila unaimba nyimbo nzuri sana
Ubarikiwe kijana
I may be late watching this but this is more great performance I have ever come across 🙌🙏🏼
Waooo mtumishi Wimbo kma wangu kidogo ziendane hongera sna wimbo mzuri sna
Mungu akubariki kwa kipaji ulicho nacho akupe nguvu zaid uendelee kukua zaidi na zaidi 😍😍
We miss your songs in our church (revival spring joy of love church kongowea )
Nyimbo hii imenibariki sana ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Eka nyimbo Kwa mdundo Tuweze Ku download your songs are blessing me alot
Oh haleluya more grace mtumishi🔥🔥
Woow nyimbo zako ni nzuri sana mungu akuzidishie zaidi na zaidi washira
Well Done God bless you
Hapo chacha Chenye Mungu anaeza fanya hakuna mwanadamu awezaye fanya Mungu akuinue zaidi bro
Mungu azidishe mipaka ya baraka zako kwa kazi nzuri unayoifanya mtumishi wa mungu
Alinijua toka tumboni mwa mama barikiwaaaaaaaaaaa sanaaa Mungu akipenda tufanye Nazi ya pamoja
Ubarikiwe mtumishi waMungu unanibariki sana kwanyimbo izo
Hakika Mbingu zimenithibitisha Mungu akutunze Mtumishi ufike viwango vya juuuu , 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wow, God bless you brother
Oooh wat a wonderful masterpiece 😢,this is beautiful I say,Lord I tap into this grace.
Hallelujah 🙏🙏 ameniwazia mema,wapi nduru ya yesu,I feel like Niko church,mipango mema juu yangu🙏🙏
Neema izidi zaidi
Hao dancers wawili mmoja mwenye dreads mbona supu supu na pia hajiekewi
Wonderful
Akika mungu anatuwasia mema ooh hallelujah Growly be to God
Aaaminia hii ni kaali 🔥🔥🔥
Oyaa I say pmja bigwaa
Welcome once more in jws tunakupendaa sanaa
❤❤❤❤love sana I need a colab with you
Haleluya Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 barikiwa mtumishi wa mungu
Nice Nice Wachira, MUNGU Akutangulie Zaidi
Hongera sana mtumishi wa Mungu, ananiwazia mema hakika
For the glory of God be up on me to tapping the same talented voice, I receive in Jesus name amen. For am looking forward to this ministry to Glory fyi our Lord in heaven.
You could have announced uko Mombasa tukuje I wanna meet you tupange kazi kubwa
Powerful song barikiwa sana
I just love your voice brother nakupenda bure
Amen mm Sina mashaka na baba na jua ataniinua na ubarikiwe
Hongera sanaaaa
Bwana ananiwazia mema😍😍😍
Keep it burning brother may God bless you Elshamah
Jamani Mungu aendelee kukutia nguvu asee uko vizuri
It was hot 🔥🔥🔥 karibu Tena
Woooooow brooo 💥💥💥💥💥🙌🙌🙌🙌🙌🙌
hongera Rafiki yangu kwa huduma kubwa hii Washira
Amen nashukuru kakangu
Nashukuru Rafiki yangu na Mimi naisubiri kolabo yangu na wewe Kifaa cha kazi ya injili nyakati zote.
Nakuona washara by pasta samson dar salam nismbiambie mtumish
Wooooow allelluyha 💥💥💥💥🎉🎉👏👏😘💯
Awesome blessings bro
What an amazing voice
I love 💕 this
more grace dear
Hoo hallelujah more grace mtumishi
Baraka tele mtumshi
Mimi Sina mashaka na baba mikono mwake niko salama Asante mtumishi Wa mungu
Wow beatiful
wow...mimi nimechaguliwa😇🙏🙏
Always a blessing
Wao!beutiful😊 and more grace.
awesome work this one of my favourite song from you! natamani kufanya moja nawe,i like the power in you huo moto ni mkali
Nmeenda iii yinbo
Feeling blessed listening to you
Nikajua matha mwaipaja
Hallelujah nimebarikia sana
Amen ananiwazia mema yesu touched song to me
Blessings my spiritual brother
#SINA MASHAKA
Ni brother kwani?
more grace wachira powerful songs
🎉am welcoming him at jws kakamega🎉
so amaizing,barikiwa sana brother washira💥💥💥💥💥💥
Mungu akusaindie sana kijana
Great live performance there brother
Barikiwa kakaangu
This is really grace from God,I can feel the spirit
Mungu azidikukuinua Kwa huduma uliyonayo kaka
Ameeeen Ameeeen Ameeeen grory to Jesus I know my star 🌟 will rise in Jesus name
Motoooo
Waoooo uko brother God bless you
GLORY GLORY GLORY BE TO GOD AM SO BLESSED
🔥🔥 what a powerful song
Your are blessed man of God,great work
Glory to God..
More grace bro
So wonderful 👍 and Amen
Safii sana wimbo mzurii sana
Ebu leta video ya huu wimbo kaka,, baraka sanaa
Hope one day l will meet you
Hallelujah 🙏 be blessed
Martha mwaipaja, jamani mtafte huyu kaka mfanye collabo
Hallelujah 🎉🎉
🔥🔥
Awesome song and performance
God bless you ❤
Aisee MUNGU akubariki sana nabarikiwa mnoo na nyimbo zako
God bless you
Glory Glory Glory
Viwango
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Nataka kukualika kwa arusi yagu , cjui Kama utaweza udhuria
Yes nitafute kwa hiyo number nimeweka kwa bookings
@@elshamahwashiraHy hujambo
This is nice
Owsome
Hallelujah Amina 🙏
Amen❤
Elshamaaah
Congratulation
Ameeen 🙏👏.
Hallelujah
Unakumbuka umekua apa kilimani quickmart ukasema utatoa kakitu ama umesahau
Amen
👏👏👏👏
❤️❤️❤️❤️
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sufficient grace