Ahsante habibty. Wengine wanafanya hizi recipe zinakuwa ngumu unashindwa ata kujaribu ila sio wewe hakika wewe ni mkombozi wa wanawake jikoni. Allah akulipe kheir inshaallah
I love it so much (not only kids who love this cake). I've tried baking 3vtimes and failed. I'll give it a try using yr recipe . Thanks so much for sharing
Nice and easy way ya kutayarisha swiss roll cake nimeipenda sana kwa njia rahisi uliyo tumia nashukuru asante I am new friend please stay connected thanks for sharing great video
MashaAllah MashaAllah Madam kama umejuz nilivyokuwa naishubiria kwa hamu recipe yako ya hii swiis roll you made my day Madam kipenzi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ i love u so so much
Ahsante habibty. Wengine wanafanya hizi recipe zinakuwa ngumu unashindwa ata kujaribu ila sio wewe hakika wewe ni mkombozi wa wanawake jikoni. Allah akulipe kheir inshaallah
Ameen. Asante sana nimefurahi kuona umefurahia hii recipe. Asante sana kwa kuangalia ❤
Haswaa wala ujakosea
Yaani umenena
Ata mimi nlikua nashauku kuifanya nikashindwa ila kwako ni very simple
Kuna baking powder hpo ama sijaona.
Mashallah nimeipenda Sana nitajaribu. Umefanya imeonekana very easy thank you shuna kwa recipe
Shunas asante snaaa najaribu mashallah inkua super mungu akubariki snaaa kwa kazi yko ya mkono
Asante sana nimefurahi umeweza 😊
Ameen shukran
mhh yummy yummy.Masha Allah shuna Nimeipenda iyo ni mzur kw kwel
Mashaa Allah ni nzuri na rahisi kuandaa❤❤❤
Mashaallah nimeipenda Allah akuzidishie ujuzi inshaallah
Maa shaa Allah Allah akubariki ktk kazi zako amin akulinde na kila husda za watu wabaya
Ameen yarabbi, shukran sana
Amiin
Mashallah nzuri kweli na nirahic piya kutengeneza nitajaribu hii inshallah nimependa sana
asante sana kwa kuangalia
Allah akulipe mamay unatusaidia sana mpendwa, jazakillahullkhaira
ameen asante sana
I love it so much (not only kids who love this cake). I've tried baking 3vtimes and failed. I'll give it a try using yr recipe . Thanks so much for sharing
Mash allah nzuri sana na rahisi kufanya allah akubarik dear
Mashaallah umetusaidia sanaa uzungu unakuaga mwingi hata mtu unaogopa kujaribu Alhamdullilah umetufanyia wepesi
Nafurahi kuona mnafaidika na video zangu, asante sana ❤
Mashllah mzuri sana ❤❤
Shukraan dear tume elewa na ni nzuri sana
Nice and easy way ya kutayarisha swiss roll cake nimeipenda sana kwa njia rahisi uliyo tumia nashukuru asante I am new friend please stay connected thanks for sharing great video
Thank you so much dear, I do appreciate alot
Iko sawa hongera Sana sister
Very very simple & nice. Thanks dear for making cooking look easy 😉
MashaAllah MashaAllah Madam hii nilikuwa naisubiria kwa hamu wallah
yees hatimae imefika 💃❤
Mashallah nilikuwa naisubir hii rec jazakullah kheri ALLAH aibariki mikono yako.
Ameen asante sana my dear
Mashaa Allah
Alhamdulillah nimeipenda kwa kweli na ntajalibu
In shaa Allah shukran
in shaa Allah dear, shukran sana
Tumeipenda Sana ni very simple but amazing ♥️
Mashallah allah akulipe inshaallah
Nimeipenda sana,!!
Nii nzuri mashaallah
Woow will definite try this one...thanks
Mashaallah pishi nzur
MashaAllah imetoka vizuri sana
Asante sana
So good nimeipenda
Asante kwa kuangalia :)
MashaAllah MashaAllah Madam kama umejuz nilivyokuwa naishubiria kwa hamu recipe yako ya hii swiis roll you made my day Madam kipenzi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ i love u so so much
I love you baby girl, asante sana kwa kuangalia.. nasubiria feedback tu sasa in shaa Allah ❤💃
@@ShunasKitchen In shaa Allah Madam soon feedback inakuja
Vzr mpendwa wangu
Mashallah nimependa pishi lako very simple
Asante sana
Maa shaa Allah Maa shaa Allah..hasbiya Lah..Allah akujaze kila la kheri my dear..kwa hii ilimu unayotupa...
ameen asante sana kwa kuangalia my dear
Wonderful sisy
Thank you so much darling for visiting my channel ❤
@@ShunasKitchen 😘😘🤝
Masha Allah nimeipenda mnoo 😍
Ma shaa Allah habibty thnx
Mashaallaah nzur na rahisi
Mashallah easy sanaa shukran
Nimeipenda masha Allah
Shukran kipenz hapa nmekupata sana
A/Aleykum W W
Mashallah,tabaralallah it looks yummy,nitajaribu in shaa Allah...❤👍
Mashaallah
Ntajaribu hii... Shukran. Seems to be easy to make.
Very easy to make, please let me know how it goes 😉. Asante sana kwa kuangalia 🥰
Nimependa sanaaa
Shukraaan hbbtyy mungu akubariki .jumma karim ❤
Ameen dear kwa sote, shukran sana. Ijumaa kareem
Mashallah nzuri 👌
You are a nice teacher
Nimzuri sana
Mashaallah ni zury
Ma Sha Allaah... Looks really simple
Woow! It came out perfect
It made me so happy 😁. Thank you so much for watching ❤
Mashaallah nimejaribu naimetoka uzuri sana,Allah ayahifadhi mikono yk,amiin
Mashallah mashallah good better best
Ni nzr sana na ni kitu watoto wanapenda sana ♥️
wana enjoy sana watoto 💓 asante sana kwa kuangalia
So good❤
Inapendeza sana
MashAllah shuna am leila u r my favourite mpishi u r blessed dear thanks .
Thank you so much habibty, I do appreciate alot 😘❤
V nice I will try too
Masha Allah nzurii
Masha allh hasbiyaallh 👌🏼 💋
Asante kwa kuangalia 😊
Mashallah best recipe Allah bareek...nimeomba sana recipe ya prawns pizza
Shukran, in shaa Allah nitajitahidi
Mashaallah shukran habbty
Masha Allah i will try it tomorrow
Masha Allah amazing
Masha Allah.Thnx for sharing.Yummy Yummy.😋
You are welcome 💓
mashallah Allah akuzidishie.
ameen asante sana
Barakallahu fiyk habibty
Shukran dear
Mashallah mamy
Mashallah
Hi!😍.love ur recipe ♥️♥️♥️.Plz nisaidie na recipe ya rasgola. All be waiting for the video. ♥️♥️♥️♥️😍😍😍🥰🥰🤩🤩. Ur a👸
In shaa Allah dear nitajitahidi
❤❤
Thanks ♥️♥️♥️👏👏👏👏😊😊😊👍👍
Mbona recipe kama mkate wa Mayai @shuna's kitchen
ni nzur san kwa kwel yaaan napenda san namna kam hii ua kupika auna mazonge meengi ni rahisi kabisa na mtu anafaaam haraka san honger san
Masha allah so yummy 💕💕💕
Thank you so much ❤
Mashallah ajaab will try this
Mashallah asante kwa kushare
Karibu tena dear
mashaallah shukran anty😋
Afwan my dear
Ma shaa Allah 😍😍😍
Asalamu Alaykum Jee mayai lote au kiini tuu shukran
Mashallah thank u dada shunus😍😍😍
Mashaallah I will try
😍🙏🏻Thanks yummy
I love it so much.
Thanx mama
You are welcome :)
Yummy yummy😋😋😋
Thank you so much
Nimefurahi
MashaAllah 😋😍
mashallah
kaZi nzur sn nimependa
Ilike it 🥰
Thanks habity 😍😍your da best
Thank you ❤
Nmejaribu kupika 😀 Ila kilichotokea Mungu mwenyewe ndiyo anajua!! 😔😔😓😓
kwanini?
Very nice
Nzuri Masha Allah
shukran sana 💓
Asalaam alaykum. Hutii baking powder ?
Mashaallah pambe
MashaaAllah nice but he wakati unaifanya unatumia how many minutes dear..
kwenye kupiga mayai inaweza kutegemea na mayai na speed ya mixer yako, saga mpaka iwe fluffy na nyeupe
I'm gonna cook mashaallah
Will definitely try
Maa shaa Allah! Nzuri sana
asante sana my dear kwa kuangalia
Assalam Alykum nataka kujua mimi sina kutambua naweza kutumia foil?
Samahani moto wa oven unaweka moto wa juu na chini au chini tupu?
Shukran sana 😍👏🏽
Maashallah it's yummy 😋
It looks very yummy and delicious
it is indeed very yummy. Thank you so much for watching ❤