Mbunge wa Kwimba awekeza zaidi ya bilioni moja kwenye kuku
HTML-код
- Опубликовано: 31 дек 2024
- Mbunge wa Jimbo la Kwimba mkoani Mwanza, Shanif Mansoor (CCM) ametumia zaidi ya shilingi bilioni moja kuwekeza katika shamba la kisasa la ufugaji wa kuku wa mayai katika eneo la Nyanguge wilayani Magu.
Mansoor ambaye ni Mkurugenzi wa shamba hilo liitwalo SMJ Poultry Egg Farm anafafanua kuhusiana na uwekezaji huo mkubwa mbele ya Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella aliyemtembelea, Januari 11, 2019. Na George Binagi-GB Pazzo #BMGHabari
Mashaallah mungu ayafanikishe malengo yako kwa jitihada zako
Kazi nzuri sana muheshimiwa!.....mwenyezi mungu akusimamie!...hakuna hajaya mayai kutoka nchi jirani wakati tunazalisha wenyewe!
Ahsante Sana kwa uwekezaji wako utaajiri watu wengi umefanya kitu kizuri Sana Hongera
Mashalah tabarakallah
Good project keep it up🖒
Hongera sana Mheshimiwa
SAFI SANA KWA VIDEO KALI KAMA HIZI ,tembelea Mr successAFRICA ONLINE tv
Hongera san kiongoz wew ni mfano wa kuigwa nmevutiwa san na nradi wako nqmi nina ndoto ya kufuga
hongera sana Mh maana wabunge wengine kazi ni kupiga tu kelele na kulalamikia serikali kwa kila jambo huku hata kiwanda kidogo cha kusindika hata nyanya ili asaidie.wakulima wake hana kudai maandamano tu kila siku wananchi tuanze kuwapima wabunge wetu kwa kuangalia ni kitu gani wameekeza ili kusaidia wananchi sio kupiga tu porojo bungeni huku wananchi wanateseka
Hongera sana kwa maneno uliyosema ni ya maana mno.Ila sielewi upande mwingine wanapokea vipi kwa maana wanawapa wananchi Ghiliba.
Hongera sana
Pamoja sana
Safi sana mheshimiwa mmbunge wewe sio yule wa kushinda mitandaoni na kuandika majungu tu
Hongera sana kaka kweli hapa kazi tuu
👍👍👍👍👍
Wow nice mbunge
Wewe Ni mbunge wa mfano,I love it
Bigup Sana naomba namba ya simu
Good Work Mbunge wetu
Young generation need this
Safi sana, na inapendeza , Mbona mahindi Mkoa wa ruvuma yamejaa hayana hata mnunuzi? .
Big up Mhe. Mbunge
Pelekeni na Nyamongo Tarime.North Mara Goldmines
Sema hao kuku wana na fasi ya kutosha. Fikilia upya jinsi ya kuwake Kwa nafasi ya kutosha.
Naomba kujua kama mtu yuko mbali pengine yuko mkoani Kigoma wilaya ya Kakonko anawezaje kuwafikisha kuku kwa usalama bila tatizo lolote ?
Hongera zake Sana
Kwa kuwa una hela za maposho inawezekana
Naomba namba za hao nahitaji mayai nipo tabor
Safi sana
Mh kwamfano nikiwanata mayai. Nakupataje?
Unafika shaambani
Thanks. Umeni inspire kiukwelii yaani nishindwe kuweka hata shamba la kuku 3000 tu kaah?
Barikiwa
Masha'allah
Capital capital capital.... 🤔
inspired
mzee Mimi mpiga kura wako,naomba kazi ya kuokota mayai nijikimu mh.mbunge wangu
Big up baba
Mheshimiwa nimeipenda
We sema unanunua mahindi bei gn ntakuletea hd hapo ulipo ila unilipe keshi
serikali ya viwanda? vipi kuhusu veta kilyaboya? usije kutuomba kura Kwimba
Tupe Rami kwimba tunaangaika Sana bn mh ,hata kwimba to mabuki itakuwa poa san
Paul mafuru umeongea cha maans
Kwimba Ni wilaya ya zammani hvy Kuna aja ya kupewa lami
Wape uhuru wao kuku mbona umewana hivyo?
Kwimba ndiyo maana haiendelei😂
Kwa nini?
Hongera
Naitwa Paulo nipo bunda Mara Tanzania naitaji kuku wakufufuga wapataooo hamsini kwa viranga kwa beii ya jumla ntawapataje???
Tutakuulizia
Nahitaji vifaranga wa nyama
andika namba
Kuku wa kizungu?
salamu mm naomba unizamini Na Mimi nifuge nipo musoma vijijini hata kuku 1000 tu mkuuu
Sasa atazamini wangapiii!....acheni kuendekeza njaa!...wewe ukishasaidiwa mwingine anaibuka kama video game vile!...wewe ni mtotowa kiume gangamara!....sio mizinga wewe!...unatia aibu!...utavishwa sketi!
Mahindi
Mweshimiwa asante kwa ujenzi wa taifa letu. Mm naomba ajira kwenye kiwanda chako taaluma yang ni veterinary lab technician ,namba yang ni 0752975293 .
Mheshimiwa mm nina diploma ya afya na uzalishaji wa mifugo niliipata ktk chuo cha mifugo mpwapwa Dodoma nimefanya kazi silverland ndani ya mwaka mmoja,hivyo bs km kuna nafasi ya naomba tuwasiliane kwa barua pepe frankkatambi200@gmail.com
Mh mbunge kazi nzuri ila shida moja hasa kwetu wafugaji wa Kahama mmeua soko mnaleta mayai mnayashusha bei kiasi kwamba sisi wafugaji wa hapa tunapata hasara maana uzalishaji upo juu, nyie mnaozalisha mayai 400 kwa siku hamuoni hasara kabisa. Ukiwa kama mbunge tusaidie kwa hili maana mayai ndo yanaendesha family sasa soko la mayai yetu wana Kahama halipo tena umeliua kwa bei mbaya
Mayai yako unayauzaje?
hilo nalo neno
Siyo mayai 400, tray 400!
Sawa na mayai 1,200!
Hata pia hapa nzega soko la mayai limeshuka kabisa
Kwa sisi wafugaji wadogo inatu costi sanaa gharama kubwa ya uzalishaji mayai yapo mengi masokoni
Tunataka maendeleo Kwimba usituletee habari zako za kuku hizo ni faida zako
Sasa hapo huoni kwamba ni maendeleo ya kwimba kwa sabbu ataajir vijana wengi na kupunguza msongamano wa wasiokuw na ajira
We mjing kwel
Nahitaji vifaranga nipo chato
Watembelee, karibu sana
Industrialized food stay away...Kuleni kienyeji support locals....
Gunia unanunua being gani
25000
Safiiiiiii wewe mtu poa mzee baba kazi kazi babaa
Safi Sana sana
Nakubali sana jambo hilo
Safi Sana sana
tuwasiliane mkuu,Nina uwezo wa kukusanyia mahindi kwa gharama zangu,nipo tarime mkoa wa Mara 0769710035.
Mura Charles Mgaya kuna mtu anahitaji mahindi Mwanza, ana mashine ya nafaka, atawasiliana nawe.
Nimependa hiyo
Nana gunia 60 nipo bsriadi nicheki 0768990446
Nina gunia 60 nipo bariadi nitafute 0768990446
Me Edward niko simiyu kama unahitaji mahindi tuongee kupitia no 0758083457
Mimi ni kijana wa miaka 22 je unaweza kuniajiri hapo na nimuhitimu wa kidato cha nne sina ajira naomba Kama itawezekana wasiliana namimi kwa namba 0743948395 Afikiano said
Nyie mnaomuomba ajira nisaidieni kupata namba zake nataka nifanye naye Biashara ya Mayai kisha nitawaajiri. Mkipata namba zake nitumieni kwenye namba 0765109287
Mheshimiwa Mimi naomba ajira nimesomea mifugo
@@kalamuyantajajr2605 mimi nahitaji mayai ya kienyeji nichek 0756055203
Safi sana