This is a great song and it has great meaning . The song of the redeemed . The 144,000 . I want to be in that number . If its your wish , say AMEN . Zambia
Been listening to this song the whole week and am being baptized tomorrow and looking forward to sing the song with the redeemed of God and with the lamb of God
niiona tu hata kabla cjaskiza nkajua tu this is that ujumbe.........😍😍huu wimbo. wa mpwa utakaoimbizwa na Yesu mwenyewe lazma ntauimba pamoja nayi tukifika mbinguni🙏🙏🙏🙏
I used to sing this song in 2022 while in form four high school life was not easy and I thought I will never make it to university.... the song encouraged me like eeeh bwana unipe matumaini now am in campus glory to God
I sing aloud to this song every single time I am walking my dog 🐕 and it comes on. White people look at me puzzled...what is this woman singing (OFF KEY TOO)? She must be crazy 😝🤣🤣🤣. I just love this song so much. Happy Sabbath from beautiful California. Be blessed.
The saints aky nmependa hii wimbo jamani napenda nishike nairudia Kila wakati mnaimba vizuri sauti sana sana endeleeni na huo moyo jamani ,wacha Alto Mungu tu
Looking great. Need to do that dress, amazing. Mungu Azidi Kuwabariki Sana. Sitaki Kuwa Mbaguzi, Best Singing Group🙂, Nimebarikiwa , Nami Pia Natamani Niwe Katika Kikundi Ambacho Kitaimba Wimbo Mpya
I can see one of my great friend and alumni of KUSDA(Kenyatta university Seventh day Adventist)
I wish there was a million like buttons such that everytime I watch I leave a like
Amina kwenu mnaimba kwa hisia kubwa mno mbalikiwe watoto wa MUNGU mnanikumbusha mbali sana
Nawapenda sana wasabato nataman hata ningekua na mume wa kisabato ndoto yangu ingekamilika uuuwiii
Usijal utapata ❤❤❤❤
Huyo msichana wa "hapo ndipo penye subira" akunywe soda kumi kwa bill yangu..Amen
😂😂😂😂
She has a beautiful voice
Wacha me nimpatie crate
@@evalyneondari6254 And a nice 😊
Apewe BMW kwa bill yangu
Bado nasikiliza huu wimbo sichoki kabisa
Mbarikiwe sana Saints Ministers
Much love from 🇹🇿🇹🇿
najaribu kufikiria sautu nzuri kushinda hii itakuwaje hiyo, sipati jibu, big love from +255...nimesikiliza wimbo mara nyingi sitosheki loh...
Mpooo vizr the saints
I love this,may the good Lord bless you ,one day nitakuja kujoin SDA,naipenda nyimbo
Nianga la Muziki uchezwao kwa ustadi mkuu,,,🙏🙏🥰
Good and so nice song Mungu awabariki sana na kuwalinda
This is a great song and it has great meaning . The song of the redeemed . The 144,000 . I want to be in that number . If its your wish , say AMEN . Zambia
Ameeen
Amen!
Asant waimbaji,,,Mko vizuri,,,,Mungu wenu Yuko nanyi
Thank you napata hamasa na mim kuimba.hapo ndipo penye subiraaaa
Mungu awabariki
God Bless🙏🙏
This song is nice I love it and umepimwa
Amen.
I love this song so much mbarikiwe sana
Been listening to this song the whole week and am being baptized tomorrow and looking forward to sing the song with the redeemed of God and with the lamb of God
Amen. Stay Blessed Wambui. May God lead you to the path of safety all the days of your life. May you never tire in this journey.
@@thesaintsministers Amen.
Amen
Hallelujah 🙌🙌
AMEN SISTER
Barikiweni
I like this choir because they don't display those annoying matching styles. Keep it up
Finally someone said it
This is the best
The Alto part 2:56♥️♥️♥️hapo ndipo penye subira😍 Awesome
Sina lakusema kweli ni mungu tu
Sawa, njo nini amuta weka mu yutube chenga ya ambassada of krist chor, Mina Salamiya mbote munjina ya Yesu mukombosi wetu.
Natamani sikia new nurse like this natamani habar njemaa
Amina
Its amizing song 4me whoever . I like it
Nimewatching 10 times sijui nitatoka huku kweli. Am blessed.
May we not miss heaven to sing with christ as the master chorester,spirit filled song is new each day.
Jamani hii kwaya ya unabii mbarikiwe sana, nyimbe zenye prophecy znavutia sana mubarikiwe FROM TZ
Amen. Barikiwa sana Paschal. 🙏
This is my heart song hey
Mwenyezi mungu awabiri katikA Kaz yenu ya uinjilishaji
Mubarikiwe sana nayote yakawe mema kwenu
Mbalikiwe
Wimbo mtamu, mzuri, wimbo mpya😊👌👌 Of my favorites!
Videographer on point.
Huu wimbo ni mzuri sana kila sikua napenda kuuskiliza
niiona tu hata kabla cjaskiza nkajua tu this is that ujumbe.........😍😍huu wimbo. wa mpwa utakaoimbizwa na Yesu mwenyewe lazma ntauimba pamoja nayi tukifika mbinguni🙏🙏🙏🙏
Nawapenda sana,nyimbo zenu zinanibariki.Mbarikiwe na BWANA kwa huduma ya uimbji.
the Bess Iko sawa and beats very lovely my church we always win
hello my good friend,
Thank you for your friend's warm support.
I wish you always happiness and health. thank you
Mmbarikiwe tena zaidi I can't get enough of this song 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
video production on another level, good job.
sitosheki jamn kuusikiliza mungu awabariki❤❤
Listening in 2023, to confirm hio kinubi,,apo kwa wapiga vinubi weh,
The alto in this is everything . 🥰 especially the kushinda hii part. Gorgeous
Yaani uniform, voices, composition and the videography all dope. Soul enriching rendition. Mbarikiwe sana @Saints Ministers
Only righteousness will make them enter
Amazing ❤
Titus 2:13 Looking for that blessed hope, and the glorious appearing of the great God and our Saviour Jesus Christ;
Amen mbarikiwe sana kwa wimbo mtaamu MUNGU nisaidie na Mimi na familia yangu tuwe miongoni wa watakaoimba mpya. MUNGU Baba yetu UTUWEZESHE. Sooote.
Amina.
I used to sing this song in 2022 while in form four high school life was not easy and I thought I will never make it to university.... the song encouraged me like eeeh bwana unipe matumaini now am in campus glory to God
Wimbo mzuri nina Imani nitaimba wimbo huo nifikapo kando ya bahari ya kioo mubarikiwe sanaaa na muwe na Sabato njema
God bless you abundantly.. nina inani nitaimba winbo wa washindi
I sing aloud to this song every single time I am walking my dog 🐕 and it comes on. White people look at me puzzled...what is this woman singing (OFF KEY TOO)? She must be crazy 😝🤣🤣🤣. I just love this song so much. Happy Sabbath from beautiful California. Be blessed.
Karibun. Tz muungane na group letu LA JCS
My god bless uuu gays.natamani pia kuimba huo wimbo mungu niwezeshe.
Mungu awatunze....mbarikiwe ....u really inspire me so much...tokea kwa ule wimbo wa kuna matumaini mti uliyokatwa...
Sijachoka kuusikiliza huu wimbo mbarikiwe sana.
Its 2024 and this song just sounds brand new. Winnie made this video more beautiful 😊
Nabarikiwa San na Hawa watumishi wa baba
Can imagine how sweet music will be Jesus leading us in the song of Moses and the lamb
Amina tujitahidi wote tukaimbe huo wimbo Mpya.
God bless you abundantly
I needed these words now than any other time. Keep healing the souls, your reward is with him🙏🏾🙏🏾
Siku iki karibu sana kweli. Ninajisikiya ndani yangu kwamba niko karibu na siku hii kabisa
Amen wimbo mtamu mzuri wimbo mpya unakuja walai😍😍😍😍😍
Am Blessed
I love you so much. From Rwanda
Amen. God bless you.
Ee Mungu Baba tusaidie🙏🙏🙏
Nice song mungu awabariki sana
My all time choir nawapenda sana
The song is nice,the voices and thr dressing code .I just love everything about you Saints Ministers.. God bless you this year 2024.
I would love to invite this powerful group of preachers to my country Zambia, please help me what I can do children of my father. Happy Sabbath.
Mbarikiwe kwa wimbo huu
Ombi langu ni niwepo pale pia nami. Niuimbe wimbo huo mpya
AMEN mubarikiwe sana natamani na mimi nikaumbe huyo wimbo 🙏
Wow lovely nice massage 💖💖💖💖
The saints aky nmependa hii wimbo jamani napenda nishike nairudia Kila wakati mnaimba vizuri sauti sana sana endeleeni na huo moyo jamani ,wacha Alto Mungu tu
Ameni🙏🙏
Amen,, ni ombi langu Bwana
annointed song. it has uplifted me. the dark skinned lady in spectacles is really happy and jovial thinking about the sight of being heaven
This is my best song be blessed guys😭❤️❤️
Mungu awabariki nawapenda
Wow, this song is really captivating, inanipa tamaaa ya kuenda mbinguni
Atanipa sauti nzuri....kushinda ili...
Wimbo mzuri mwisho ,ila uachieni tuudownload Basi vijana
Wimbo mzur xn na ndo maana nakubali xn kaz zenu, mungu awe p1 nany daima milele
Nawapenda sana Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda, mtunzi yuko vizur
Wimbo mtamu mzuri malaika hawautambui
Naurudiarudia atanipa sauti nzuri kuliko hii
God bless you 💞. Following from Zimbabwe
Endeleen kubarikiw
Wow wimbo mzuri sana mwenyezi mungu na awabariki next time mkiimba nami mnijulishe nije tuimbe sote na kazi ya mungu isonge mbele
Leo n February 2022 lakn wimbo bado uko hoti kama umetungwa leo mchana. Mungu awabarik sana sana sana
God bless you and increase your zeal to spread the gospel of Jesus Christ
Much love from Zambia love u guys I wish to meet you in person especially suzen
Looking great. Need to do that dress, amazing. Mungu Azidi Kuwabariki Sana. Sitaki Kuwa Mbaguzi, Best Singing Group🙂, Nimebarikiwa , Nami Pia Natamani Niwe Katika Kikundi Ambacho Kitaimba Wimbo Mpya
Kuwa kanisani
Hallelujah ni yeye mwenyezi Mungu muumba vyote. Sabato njema Msanii
This people though😘😘😘😘beeeeest of all saints ....you just on top
Wimb mutatu jmn mubarikiwe San❤️❤️❤️
Amen nabarikiwa na nyimbo zenu mnapatikana wapi kwa Nairobi nahitaji DVD hii
what a song! Mungu awabariki na awape sauiti nzuri
Wimbo mtamu,sauti nzuri so cool barkiwa sanaaa🥰🥰🥰