KITALU 1. Yaamkini ukiwa ndani yake Kristo hata umekuwa kiumbe kipya yakale yamepita na tazama yamekuwa mapywa ndani ya kristo ya ulimwengu yatapita na yatatoweka Bali waliompokea Mwana Wa mungu aliwapa kufanyiwa watoto wake.² Kiitikio Kama kitalu kilicho tayari kuanguka sitatikisika sitayumbishwa yeye akiwa ndani ya maisha yangu ni mwingi wa huruma akatia wimbo mpya kinywani mwangu mwamba wangu tena ngome yangu unifanyie tena kiumbe kipya.² 2. Tazama mkono wa bwana haupunguki hata usiweze kuokoa Maovu yenu yamewafarikisha dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone wala sikio lake si zito liweze sikia kwake yeye sisi sote tumepata njia ya kumkaribia baba katika roho.²
I was a Catholic, even taught Catholic Priests in a Seminary.. until a scale fell off my eyes and saw the only remnant church of God, the only chosen of Heaven above, fully imbued with the Spirit of Prophecy ( Rev 12:17). Where everything is guided by the written word alone.. please cross while there's still time ( Rev. 14:6-12)
Have you ever wondered why all Adventist songs have the same tempo and composition regardless of the region...? It's guided by the Same Spirit of Prophecy ( Rev. 19:10; Rev. 12:17)
When the words of the Bible are put to Song... The Result is Magical 👌🏽 Mungu Atufanye tuwe viumbe vipya...Amen 🙌🏾 Blessings on Heavenly Echoes Ministers 🙏🏽
@@ruthobilo4548 Yamkini ukiwa ndani yake Kristo hata umekuwa kiumbe kipya Ya kale yamepita na tazama, yamekuwa mapya ndani ya Kristo Ya ulimwengu yatapita na yatatoweka, bali walompokea Mwana wa Mungu Aliwapa kufanyika watoto wake Kama Kitalu kilicho tayari kuanguka, sitatikisika sitayumbishwa, Yeye Akiwa ndani ya maisha yangu Ni mwingi wa huruma akatia wimbo mpya kinywani mwangu Mwamba wangu tena ngome yangu hunifanyia tena kiumbe kipya Tazama mkono wa Bwana hupunguki hata usiweze kuokoa Maovu yenu yamewafarikisha, dhambi zenu zimeuficha uso wake msione Wala sikio lake si nzito liweze sikia Kwake Yeye sisi sote tumepata njia ya kumkaribia Baba katika roho
Before we can fly to the heavens we shall all gather in one big choir called heavenly echoes and sing our voice to the heavens... Before I breath my last breath on this earth I would want to sing in this choir so help me God
God bless you Heavenly Echoes for a nice piece, however one man there should be reminded this is gospel, you know him he needs to be controlled,the moves!!
KITALU
1. Yaamkini ukiwa ndani yake Kristo hata umekuwa kiumbe kipya yakale yamepita na tazama yamekuwa mapywa ndani ya kristo ya ulimwengu yatapita na yatatoweka Bali waliompokea Mwana Wa mungu aliwapa kufanyiwa watoto wake.²
Kiitikio
Kama kitalu kilicho tayari kuanguka sitatikisika sitayumbishwa yeye akiwa ndani ya maisha yangu ni mwingi wa huruma akatia wimbo mpya kinywani mwangu mwamba wangu tena ngome yangu unifanyie tena kiumbe kipya.²
2. Tazama mkono wa bwana haupunguki hata usiweze kuokoa Maovu yenu yamewafarikisha dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone wala sikio lake si zito liweze sikia kwake yeye sisi sote tumepata njia ya kumkaribia baba katika roho.²
Tafadhali tuelezee maana ya neno Kitalu 🙏🏼 tuimbe zaidi tukiwa na maana ❤ Mbarikiwe!!❤❤
I love the song
Eneo ndogo kama bustani iliyopandwa miti ya matunda.
@@SunnyShine-xk4tr plant nursery
@@hezekiahachola5355 Kama kitalu killcbo tayari kuanguka sitatikisika . wanamaanisha Nini.
I am a Catholic but I deeply love this song🔥
Same case
Mimi hata sijielewi 😅😂😂😂
@lydiah😂🤭nyagol7386
I was a Catholic, even taught Catholic Priests in a Seminary.. until a scale fell off my eyes and saw the only remnant church of God, the only chosen of Heaven above, fully imbued with the Spirit of Prophecy ( Rev 12:17). Where everything is guided by the written word alone.. please cross while there's still time ( Rev. 14:6-12)
Have you ever wondered why all Adventist songs have the same tempo and composition regardless of the region...? It's guided by the Same Spirit of Prophecy ( Rev. 19:10; Rev. 12:17)
Heavenly echoes mnaweza 🙌🏿🙌🏿 comment hii iwafikie kutoka jirani yenu Tanzania na leo n kitalu concert all the best
I love your songs 🎵 they are so sweat🎉🎉❤❤
Tenor, tenor, tenor, tenor ❤❤❤❤❤❤❤
God bless me with a husband mwenye hushiriki SDA ndo tukuwe tunaimba hizi nyimbo pamoja....my love for SDA is something else....kwanza choir❤❤❤❤❤
God will.... just trust him
Just join any SDA church, you'll be sure to find one.
God is always faithful 😊
nipo hapa beiby pia mie natafuta bibi wa dini
Inbox
Njoo for konekshons
I am not even SDA, but my loyalty to HEM.... Mungu azidi kuwaongoza, msitingizwe na mwovu
me too
Be blessed
Someone please like this comment, I will always want to come back here
😂😂😂
Am not a seventh Adventist member but my friend mama cherish made me watch this more than once❤
Miranyi, Mungu akubariki baba... This has been a wonderful piece...❤❤❤❤
Is he the one who wrote the song ?
Wow congrats miranyi
Amiinaaa...
Lyrics tuimbe pamoja....Mungu awalinde muendeleze kazi yake kwa imani
Wow finally.... representing Arise and Shine Ministers and Thee Blossoms Family🎷🎷🎷🎷🎷🎷🎷
Catholics walioguswa❤
im here
Hehe, tuko wengii!!!
Guilty as charged❤❤
The composer of this song is very humble hata huwezi fikiria ni yeye alitunga huu wimbo,Miranyi be blessed sana❤
Woow the way i love the miranyi's😊
@@SheilaimaliSame same❤❤❤
@@HylineBwonda ❤️❤️
The Miranyi's family so proud of your work. Receive your flowers
I'm a Catholic but I am obsessed with Sda songs❤️😚
Me too
AMEN🙏🙏🙏
Same here
this is typical me
Me too
Kwani Catholics ndio wamejaa huku😂❤..I really love this song
Soon I will join you SDAs
Karibu sana dada.
Karibu sana 🤗
Join now
@@RuscoOuma thanks 😊
Karibu dadangu
SDA you normally take me to another level when it comes to your songs.yaaani Wacha tu.kudos
Woooouuuu so preciously Truly Truly isay you Guys indeed your the best singers ever ❤😂😂😂
Thanks!
Thank you Cate. 🙏🏽 For supporting our Ministry
I am catholic and I love sda songs nice song 🎉🎉🎉🎉🎉
@HEM when do you plan coming to Kampala, please consider it,
Invite us and we will come 🙏🏽
Wah this is a masterpiece like all the rest, yenu ni talanta ya Mbinguni, keep blessing us
Finally it is out
Very powerful song and the videographer needs a reward
God bless you team
Heavenly echoes should be at 100K subscribers ❤
the long awaited song
hata hatukungojea yesu hivo wakuu😂😂😂😂
When the words of the Bible are put to Song... The Result is Magical 👌🏽
Mungu Atufanye tuwe viumbe vipya...Amen 🙌🏾
Blessings on Heavenly Echoes Ministers 🙏🏽
Lyrics please
@@ruthobilo4548
Yamkini ukiwa ndani yake Kristo hata umekuwa kiumbe kipya
Ya kale yamepita na tazama, yamekuwa mapya ndani ya Kristo
Ya ulimwengu yatapita na yatatoweka, bali walompokea Mwana wa Mungu Aliwapa kufanyika watoto wake
Kama Kitalu kilicho tayari kuanguka, sitatikisika sitayumbishwa, Yeye Akiwa ndani ya maisha yangu
Ni mwingi wa huruma akatia wimbo mpya kinywani mwangu
Mwamba wangu tena ngome yangu hunifanyia tena kiumbe kipya
Tazama mkono wa Bwana hupunguki hata usiweze kuokoa
Maovu yenu yamewafarikisha, dhambi zenu zimeuficha uso wake msione
Wala sikio lake si nzito liweze sikia
Kwake Yeye sisi sote tumepata njia ya kumkaribia Baba katika roho
Aminaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
See u all in heaven 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Before we can fly to the heavens we shall all gather in one big choir called heavenly echoes and sing our voice to the heavens... Before I breath my last breath on this earth I would want to sing in this choir so help me God
😊😊
If its God's will so be it...
kitalu no Nini maana yake
This song sangre when I was in camporee mombasa station and taita taveta 2024
Kazi safi HEM MUNGU AWABARIKI
Lyrics From Mckenzie media studios loading .......
Who else is back after the mega concert😊
😂
Ni Mwingi Wa Huruma❤
mmmh finally this is nice
Heavenly Echoes Ministers the best❤️💯
AMEN 🙏🙏🙏🙏 BE BLESSED
More than the best✨♥
Sitatikisika sitayumbishwa yy akiwa ndani ya maisha yangu ❤woooow what a song
Mungu asifiwe kwakuwapa ninyi kile kipaji tchakutunga nyimbo nzuri tena tamu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wimbo mtamu mno, nimebarikiwa na huu wimbo jamani , mbarikiwe sanaaaaaa 🙏 kwa kutangaza maneno kupitia wimbo mwishi milele
My favorite after New kings biblos group, Jakom unite back the group use the position to unify every member of HEM, it is a great piece.
Very true
gift for you from candy hope mutindi mungu awa bariki🤩🥰😇😛😋
I love the message, vocals and the video too💥🔥 keep it burning to higher levels
When you're rooted and built in Christ and become a new person. There is no way anything can come into your life, you and I shall be strong in Christ.
Amen 🙏 💯
Good job HEM .....may God bless each of you
Ndio kudrop sasa kitalu🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Out of Storm the best has come out thanks to Jesus he is in the storm. HEM give your all to God’s glory. Be blessed for the good work. Quality pap
in order to be perfect one,you should pass alot of challenges which will make you strong im leah from Tanzania
Excellent 👌 Glory to the Most High,HEM
My favourite choir....keep the message going out to the world
I love Heavenly Echoes Ministers.
Kitalu among many many other songs are just amazing.
Big tune.
Heko Bw. Ennoch.
You are a chosen people.
Wonderful music. Praise God❤
Praise be to God!
Amen and thanks Lamech
Thank you 🙏
Wao wao,, this is nice wao I love this my all time choir keep it up the good work Amen
Mungu atukuzwe Kwa kazi safii🙏
Good piece my son likes your songs and looks forward to joining you
Hakika ni wimbo mzur xan
Aminaaaaaaaaaaaa always blessed
Ndabaramukije mugire umugisha
Iyindirimbo nishasha
ya GP Happy-Ric Family Senior
unve gato amajambo ayigize
abavyeyi beshi babaho bipfuza kuronka abana Imana ibabahaye barabahararuka bakabafata ibisazwe
Bashira akazi imbere bakibagira umugisha Imana yabahaye bashitse nomurugo bashikira Kuri terefone
abana babaragije abungere aribo bakozi
umwana aripfuza kuyaga nabavyeyi mugabo abavyeyi ntakanya bafise
Mana tubabarire umugisha waduhaye ntagaciro tuwuha
Mugenzi nawe woba uri mubatitaho abana?
Uja kukazi bakiryamye ukagaruka baryamye?
mbega ivyurondera uzobironka ryari
ko Bose bapfa babirondera ntawurashika kubimuhagije
dusha twokwihanura bigishoboka.
Murakoze MWe mugiye kwongera kuvugurura mukaba hafi yibibondo vyanyu Imana ikomeze kubibahezagirira Amen
ruclips.net/video/DF2vWpOWLCM/видео.html
@0:16😂, this man feeling the beat in His nerves😂
Eeeeeish. Indeed we were made for Heaven. I love this my friends 💓
Sitatikisika sitayumbishwa yeye akiwa ndani ya maisha yangu. ❤❤❤❤
Kumbe Kitalu alikuwa Ken Jasuba
😂😆
God bless you Heavenly Echoes for a nice piece, however one man there should be reminded this is gospel, you know him he needs to be controlled,the moves!!
Wow hii wimbo inanibless ahundred times thooooooooohh😂
Lovely! Well done my people. Yet another powerful piece by the mighty Echoes. Mungu azudi kuwabariki
Thank you Mummy you are the best ❤❤❤
My best choir never dissapoints😊😊...wow.. This is so heavenly indeed, just like your name Heavenly echoes. AMEN🙏
Amina
My favorite group on the beat again 🎉🥰🥰 Happy Sabbath preparations and thanks for the melodious
song🙏🙏
Nimekaa kitako nikingoja ❤❤❤❤❤❤
❤❤❤ Aminaaa
@Blacksugah safi sanaaa
I am amani like watching sda songs good work 🥰🥰👍
Wonderful piece. Amen
Absolutely amazing....God bless you all 🎉🙏🙏🙏
❤❤Tazama mkono wa bwana haupunguki😘
Amen
My all time choir...I love heavenly echoes like no other choir...keep it up cuzo Enock miranyi and your choir..good work cuzo❤❤❤❤❤❤
God bless heavenly echoes🙏🙏
Moto kama pasi, To God be the glory
Mungu asifiwe ❤❤❤🎉🎉🎉
This song ❤❤
HEM Mungu awatunze, Maana si KITALU tu Bali nabarikiwa na nyimbo zenu zote!
The song is amazing.. Alafu huyo pianist ❤🔥
I heard this song today for the first time and I really loved it,and like the message of the song,naomba Mungu anifanyie jambo jipya maishani mwangu
Stanza 2 issa vibe.. God bless you and keep your ministry more & more strong despite.
This is wonderful ❤The song hits differently 😊Amen
Whoever composes your Music, Wah!!! Barikiweni sana wadau.
Amen🙏
All the best mentors🙏 Mungu awabariki sana Sana 🙏🙏🙏🙏
Woow my favorite choir ❤
Nice song
Finally 🔥🔥mungu atukuzwe....kitalu❤
Chebooo✅
Boss✅
Lavie ✅
..hii ni masterpiece ajaaab!🔥🔥
Amen...Amen....
My favourite song that I will be singing in heaven.
Twangoja tu basi eeeeh
May the song be a blessing to everyone who will watch
🙏🙏🙏🙏
amen
Amina! Baraka Tele!
Tuzidi Kujihusisha!
The place we call home🏠 family after home. More love ❣️ my people
This is the best song I have listened❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Finally it is out of kitchen HEM keep it burning launch imebakia sasa tukanyage sasa
This song should hit 5m views
It's one of the best
A very wonderful piece 🙏🙏, Thanks to God for HEM.
Amen
kundi la kwaya lililo na ubora wa uimbaji heko kwenu💯
There's something beautiful about originality 😍
hi
hi
hi
Hapo Sasa.. Vikanyagi sacco Haloooo 😂... Wimbo iko tamu
Hiii ni noma saaaana ....🔥🔥🔥🔥
It is my best song. Heavenly echo s
Pleased to see my best chorister kitengela east, Peninah sing with this choir..well done heavenly echoes
💥💥💥💥🙏🙏🙏