Congratulation dear👏👏 Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi,,,,Mshukuru Mungu adharani ili azidi kukuinua adharani,,,Mungu wetu sio wamaficho usimfiche Yesu mfukoni, muonyeshe kwa watu ili watu wamuone Mungu kupitia wewe🥰🙏🙏,,,,,I love you❤
Since u started the ministry in class 3 I have been 4 lowing u...hata uki graduate kumaliza shule ya msingi I was here on utube baby boy goodluck in the high school may u lead in every subject an give the best final grade to join university in Jesus name 👐👐👐
Nyimbo nzuri sana, hasa kiitikio, ila mumsaidie kwenye nyimbo nyingine asiweke mashairi ya kimichambo michambo (walisema ......). Mtu wa Mungu unatakiwa kushukuru na kusifu. Haya ya kuwasema wengine waachiwe watu wa taarabu na singeli.
Mpambanaji hachoki mdogo wangu nakupenda sna na ni mfuatiliaji wako sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Tanzanian macho kwako mdogo wangu hakuna asiyekupenda
Mungu akubariki zaidi na zaidi ili uwafundishe wengi,,kipekee nakupenda sana na zaidi ya sana kwani ninapo unavyoimba navarikiwa mno mungu akulinde na mabaya yote
Kwani watoto wakipewa kipaji sisi wengine tulikuwa wapi..Ee Mungu saidia kijana huyu..kazi nzuri unayoifanya natamani
Nakuona dogo pambana sana mdogo wangu
je t'apprécie très fort 💪
Much love mtoto yohana ,,,,,,salamu nyingi kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Na kweli mungu n wa ajabu,,,,,, huyu mtoto anaenda mbali sana,,,,,washindwe wanaotabiri uongo zao za kurudisha mtoto nyuma katika jina LA yesu
Hongera kwa kumshukuru Mungu kwa kila Jambo
Mungu akutunze akugikishe viwango vingine ktk kutimiza kusudi lake
Uko vizuri sana kijana wangu mungu akulinde Kila unapoinuka
Congratulations 👏👏👍 big up Antoni
KEEP IT UP, MUCH FROM KENYA AND WELCOME AGAIN TO KENYA WE LOVE TANZANIA PEOPLE
Congratulations kwa nyimbo nzuri
A boy knows much to sing, may God raise you moreee
Namwombea yohana pamoja na wtt wote mungu awabari nakuwalinda siku zote
Congratulation dear👏👏 Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi,,,,Mshukuru Mungu adharani ili azidi kukuinua adharani,,,Mungu wetu sio wamaficho usimfiche Yesu mfukoni, muonyeshe kwa watu ili watu wamuone Mungu kupitia wewe🥰🙏🙏,,,,,I love you❤
We injoy your songs from zambia 🙏🇿🇲🎸
May God continue blessing you as i watch your songs i can't control tears of joy and happiness .....from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu akusaidie Sana
I love this song❤❤
Hongera tutarajia ata uko unakoenda utafaulu sana ubarikiwe sana
Hongera sana ndugu yangu
Congratulations 🎉 yohana mtoto mdogo ,,, nmeshuhudia neema ya yesu inakuzunguka Kila wakati mungu na akubariki zaidi na neema izidi kuwa nawe milele
Continue serving lord 4rever
May Almighty continue lifting you each and everyday of your life.
Listen from kenya
Congratulations 🥳🥳🥳🥳 kenya tunakupenda sana
Congratulations Yohana. Much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen ubarikiwe sana Tena Sana na hongera sana 🙏🏽 be bless 🙌🏽 Congratulations 👏🏽
Napenda san sifa
Wish you all the best as you continue schooling ahead watching from kenya
Huu wimbo umeniingia moyoni mpaka nka subscribe anyway good job mtumishi yohana🙏
Keep going your blessed much love from kenya
I love your song ❤❤God bless you🇰🇪🇰🇪
Since u started the ministry in class 3 I have been 4 lowing u...hata uki graduate kumaliza shule ya msingi I was here on utube baby boy goodluck in the high school may u lead in every subject an give the best final grade to join university in Jesus name 👐👐👐
Amen 🙏
Congratulations kijana . Keep on shining... You great... Let your mission be a blessings to many.... #From kenya
🇰🇪
Amen glory to God
Nyimbo nzuri sana, hasa kiitikio, ila mumsaidie kwenye nyimbo nyingine asiweke mashairi ya kimichambo michambo (walisema ......). Mtu wa Mungu unatakiwa kushukuru na kusifu.
Haya ya kuwasema wengine waachiwe watu wa taarabu na singeli.
Ndio wanaomtungia Wakubwa yeye Hatungi
Umesahau WaTanzania wengi ndio uimbaji wao?Sijui nani Aliloga Injili ya uimbaji?
Hongera Sana mdg wangu kwa kukumbuka kumshukuru Mungu. Wengi tunaomba tukijibiwa tunasahau hata kumshukuru Mungu,,,,
Wuuhh enjoying the powerful song here at Kenya 💞💞 lots of love Anthony 💞
Hongera sana mwana wa Mungu, Mungu ashindwi kamwe,be blessed 🙌Yohana.Amen
Amen 🙏🙏🙏🙏
Mungu akuzidie Baraka na neema kaka
Hapa Kenya 🇰🇪 nakuombea
Wow great work young brother, we love you as Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kabisa broo nzomo
Antony ongera my boy.....ume weza
Mpambanaji hachoki mdogo wangu nakupenda sna na ni mfuatiliaji wako sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tanzanian macho kwako mdogo wangu hakuna asiyekupenda
Big up yohana GOD bless sana
Hongera sana mwanangu mungu azidi kukupandisha viwango kwa viwango ilove you so much
Mungu akubalik sana yohan napenda San nyimbo zako
Nakupend pia mola azid kukuinua ,amin
Thank you God for helping the boy through good hearted people church ; well-wishers etc God bless them too watching from.kenya
May God protect you mtoto. May sky be your limit in the Name of Jesus Christ ✅🙏🇰🇪💞
Mungu akubariki Sana, pastor sarah
Watching you from USA, We love you Anthony.Victory Belongs to Jesus always.
Mungu atakupeleka mbali napenda sana nyimbo zako
Mungu akulida san
Unaimba mfumo wa gossip 2
Nakupenda MDG wangu honger
Hongera Sana Kaka mungu azidi kukupandisha viwango kwa viwango,,nakupenda sana 👍
Üää0üü
Nabarikiwa na nyimbo nzuri nikiwa dubai, barikiwa sana kijana wa yesu,songa mbele na yesu atakuinua zaidi,atakutumia zaidi mpaka madui wanyamaze
Much love from 🇰🇪🇰🇪may God bless u son love ua song
I listened this song more than 10 times
Kuaibisha shetani, Mungu wetu n w ajabu, ubarikiwe Mtoto Yohana, BJ kutoka Kenya ila niko saufia sasa
Today I was traveling in a matatu then I heard this song,,,,I bought data and downloaded it,,,I have listened it twelve times today
Nataman sana mungu wak aliye Fanya wounders katika huduma yak afanye piah katika huduma yangu bye........mtumixhi Elias ximfukwe
Hi every one the way i like gospel this child let God protect him and give him what he wants in JESUS s name
Mungu awe pamoja nawe
Ubarikiwe Sana , nakuombea maisha marefu ya kuzidi kumshukuru Mungu kwa nyimbo za injili.
Good work Antony may the lord protect you son
Mxhukur mungu kwa kila Jambo maana amefanya mamb makubwa Na ya kuxhangaza katika huduma yako by Elias as gosple xinger from rukwa
May God Continues Blessings You. You blesses me with your songs. From Kenya.
Nice one you really bless me ...#Makueni Kenya
Me too
Kenya too watching awesome talented boy
From Kenya 🇰🇪🇰🇪
Mungu hakutuita tuaibike Bali tuheshimishwe. The message is at home
Be blessed Antony 👏👏👏
The product of strong parents, wazazi WA huyu mtoto Mungu awabariki sana. Wazazi Wenzangu nawaomba tuwajenge watoto wetu
Wow young brother congratulations..... blessed from Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪mungu akuongeze kibali upate kwenda mbali sana😍🔥🔥🔥
Love you so much from Kenya 🇰🇪 kitui County siku moja tutafanya collabo name,,You have nice voice and songs full of message
Wimbo zako Zina pendeza xn
Asante mungu kwa kumleta yohana katika dunia hii anabariki sana lovely my dear
Wow good work may God bless 6
Ni Elizabeth mukoya yohana ubarikiwe sana unanifanya nasikirahaa mungu akuonekanie
Barikiwa sana! Mungu azidi kulinda kipaji chako!
Hongera sana mtumishi wa mungu atakuinua zaidi ya hapo 👏👏👏🙌🙏
Hongera sana mdogo wangu Mungu akutangulie nakupendq mno🙏
Congratulations 👏, utasoma Hadi ng'ambo mtoto🙏🙏 much love from Kenya 🇰🇪
Gooood boy mungu azidy kukupandish viwango ady viwango
Bado tunazidi kukupa hongera Yohana....👏👏thumbs up .....👍👍success wishes in all that you do
Hongera Sana mungu azidi kukupigania katika masomo na huduma ya uimbaji
Hongera sana mdogowangu mungu azidi kuku Linda na kuku tetea ktk masomo yako
Wow! Kazi njema Antony may God bless u, mm ni mkenya kutoka Bungoma tunazidi kukuombea
Hongera Sana mdogo etu ubarikiwe ufike Hadi chuo kikuu
Wow ,,,, congratulations young boy keep up
am,jairas, mathia mutsoli, from Kenya, kakamega caunt please, shekeni,huyo, kijana,mkono,ako,na kipaji,ndani,mwake,barikiwa,my, yang brothr 🙏🙏, amen.
Mungu akupe nguvu young boy listening from Kenya God bless you
Go Go Antony you are a blessing Tanzania n Kenya,am in tears just now,may almighty God keep on anointing you with more n more blessings Amen
Good work yohana may GOD proctect you all the days of your life have courage when serving jesus in your youth its so hard congtrats
Nakupenda tu sana vraiment Blaise banyene toka DRC
Wooow mungu akubariki🙏 nazaidi yayote akupanulie mipaka katika elimu yako namuziki wako be blessed young boy🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu akubariki tena uki fanya mtiani wako wa kidato cha nne
Hongera sana mdg angu mungu hakukuze hvy hvy God bless you
Hongera sana Mungu azidi ukuinua ufauru kila hatua upitayo
Mungu akubariki zaidi na zaidi ili uwafundishe wengi,,kipekee nakupenda sana na zaidi ya sana kwani ninapo unavyoimba navarikiwa mno mungu akulinde na mabaya yote
Kumtumikia Mungu Kuna faida,HONGERA Sana mdogo wetu
young boy i just love you with my heart continue loving God
Hongera Sana..mwanangu mung u aendelee kukuinua
Amen amen 🙏🙌👏mtumishi wa mungu barikiwa sana na wimbo safi sana amen amen 🙏🙌
Karibu sana Kenya 🇰🇪 mm nimekupenda san wacha mungu akubariki san
Congratulations 👏👏 looks like my son love you baby boy🙏🙏
Mungu akuvushe mipaka kaka mdogo..kenya twakupenda
Wow babe boy unazidi kuwa handsome...be blessed 🙏💕... From mombsa 🇰🇪🇰🇪
Mungu akutie nguvu tunazidi kubarikiwa kwa huduma yako 🙏
hongera sana mtoto Anthony Mungu akuongoze ktk uimbaji wako ✍️🙏
Good boy with a vision
All the best 🎉,,you really blesses my heart
MUNGU awabariki sana kwa kazi njema ya mwili wa KRISTO
Napenda sana nyimbo zako bro.... mungu asidi kukubariki
Hongera baby boy Mungu azidi kukuinua
Wooooow may God bless you,,, you are actually a blessing to many,,,,
Hongera sana mungu akulinde sana Kenya twakupenda sana.
God is our Shephard...no weapon is set against is sha prosper...congrats💕Antoh Mungu atakuinua zidi kumtukuza
Give your number
Barikiwe Yohana ....endeleza huduma ya mungu hadi mwisho