Vijue VYUO VIKUU 10 VIGUMU zaidi kwa wanafunzi kupata NAFASI, pia ndio vyuo BORA zaidi ULIMWENGUNI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 49

  • @matalo0551
    @matalo0551 3 года назад +3

    Bravo,,,,,naomba Basi uje siku moja utuelezee vyuo Bora vinavyotoa FULL-FUNDED SCHOLARSHIP kwa international students..

  • @kareisindilo2776
    @kareisindilo2776 3 года назад +3

    Massachusetts MIT ni chuo bora sana kwa maswala ya IT

  • @sabrinamustafa8554
    @sabrinamustafa8554 3 года назад +4

    Love the content 👌

  • @haniabdi1620
    @haniabdi1620 3 года назад +1

    Subhanallah!!! I come across your video talking about the best colleges and Alhamdullilah my daughter made to Harvard this year. we just dropped n her in september.

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  3 года назад

      That's awesome! Congratulations

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 года назад

      Maa shaa Allah ni college au Uni? Na anasomea nn??? Mana niseme ukweli sijapata kumuona mgeni akisoma vyuo hivyo au college hizo na kuchukua cha maana. Nijuze nibadili muonekano.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 года назад

      Maisha yote utasikia anasomea music, kuimba, kuact au kuchukua somo moja tu history, chemisty. Ukweli ni wabaguzi sana.

  • @yacoubkidula8274
    @yacoubkidula8274 6 месяцев назад

    Tuanzishe Ranking ya Vyuo vya Tanzania ma Africa Mashariki

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 года назад

    Safi sana

  • @bmplyrics1570
    @bmplyrics1570 3 года назад +2

    Wakwanza mimi hapa

  • @mwendwasambay1372
    @mwendwasambay1372 3 года назад +10

    LIST😀👇
    1. HAVARD 2:34
    2. STANFORD 4:46
    3. Massachusetts Institute of Technology (MIT) 5:43
    4. University College London (UCL) 6:33
    5. California Institute of Technology (Caltech) 7:32
    6. IMPERIAL COLLEGE LONDON 8:16
    7. University of Oxford 9:01
    8. University of Cambridge 10:18
    9. ETH Zurich University 11:20
    10. University of Chicago 12:O8
    #WAZAMBULITV

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  3 года назад +4

      You are the best!

    • @anicyaedward5605
      @anicyaedward5605 3 года назад +1

      Our family friend Rissa studded there Harvard aiseeee .. congratulations to you toto lissa wahaya hakili nying aiseee

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 года назад +1

      Ukiangalia top ya UK kuna vyuo vzr zaidi kuliko UCL km Loughborough, Durham, London school of economics and politics.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 года назад

      @@anicyaedward5605, Sijui Marekani lkn kwa UK si kila alokua vyuo vikubwa ni hodari sna kuliko waliokuepo vyuo vyengine. Inategemea anachukua masomo gani. Kuna masomo yanacompatition kubwa na kuna masomo hayana compatition kubwa ni rahisi kupata. Na masomo yenye compatition kubwa ni vgumu kupata kwa wageni lkn rahisi sanna kwa wenyewe wazungu.

  • @avivtelcomms
    @avivtelcomms 3 года назад +4

    WA pili, ila uwe unalala braza sky, pia tuoneshe namna yakufanya account ya RUclips ilipe pesa kama ulivokua unatufundisha namna na idad ya views RUclips inalipa

  • @Rylee_kerrueche
    @Rylee_kerrueche 3 года назад

    Mm nshasoma chuo cha st Joseph, inshaallah watoto wangu watasoma kwny hv vyuo

    • @musasaid4413
      @musasaid4413 2 года назад

      Na mm pia nimesoma st Joseph 😁😁

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 3 года назад +2

    That is the reason why, I decided to have my children in the first world country.....God bless 🇺🇸

  • @augostinopaul3601
    @augostinopaul3601 3 года назад

    #SnS to the world

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 года назад

    Tutaishia kuona kwenye Internet 😀

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 года назад

    Noma sana

  • @a.856
    @a.856 3 года назад +1

    👏👏👏

  • @cashhussein4899
    @cashhussein4899 3 года назад +1

    God bless American 🇺🇸🙏🏾

  • @officialhysam2720
    @officialhysam2720 3 года назад +2

    One day ntasoma hko

  • @stellah3844
    @stellah3844 3 года назад

    Hatareeee

  • @danielmsangi7271
    @danielmsangi7271 2 года назад

    Tunaomba vyuo bora duniani vya tiba

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 года назад +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌.

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Год назад

    Kwaiyo udsm haimo???

  • @michealbrowntv8095
    @michealbrowntv8095 3 года назад +7

    Bruh just go to community college and save money

  • @Castelo147
    @Castelo147 3 года назад +2

    Sns mm nina swali moja, hivi kuna tofauti gani baina ya college na university??

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 года назад

      University ni ile unayosoma kuanzia foundation degree, first degree, master degree na doctor degree Ph. College ni ile sehemu unayosoma ambayo unatafuta collifications ima za kuendea University au kuanzia kufanya kazi isiyohitaji ujuzi mkubwa.

    • @amanibwire4423
      @amanibwire4423 2 года назад

      @@alhamdulillah5796 kwahiyo college hazitengeneza watu wenye ujuz? Unafaham MIT we mzee?

    • @msambanoel
      @msambanoel 2 года назад

      university ni muunganiko wa colleges

  • @xxmidnightzepetosuni8106
    @xxmidnightzepetosuni8106 3 года назад

    na university of daressalam mumekisahau

  • @pilisadiki1972
    @pilisadiki1972 2 года назад

    UDSM nayo yamoto