VITASA | Tazama Ibra Class alivyomchapa KO Alan Pina kutoka Mexco | Mo Boxing 30/09/2022

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 сен 2022
  • IBRA CLASS vs ALAN PINA: Hili hapa pambano zima kati ya Mtanzania Ibrahim Class dhidi ya Allan Pina raia wa Mexico, likimalizika kwa Ibra Class kupata ushindi wa KO raundi ya tisa... pambano likiwa ni la raundi kumi.
    Ni katika #UsikuWaVitasa #MoBoxing uliofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
  • СпортСпорт

Комментарии • 149

  • @thomasmakala2082
    @thomasmakala2082 Год назад +7

    I loved how referee jumped in to save the opponent, boxing is a high risk game. Someone can die in the ring. Well done Madam referee.

  • @furahambughi4977
    @furahambughi4977 Год назад +4

    Ibra umetupeperusha vema. Hongera.
    Refa Pendo Njau ni wa kimataifa.
    Best Woman Referee I ever seen.

  • @jidaryndimbo6792
    @jidaryndimbo6792 Год назад +6

    Nampongeza Ibra Classic kwa ushindi alioupata ila kakosa utambuzi wa kufahamu michezo ni fair play na ni friendship, mara baada ya kumzimisha mpinzani wake, kushangilia kwake kwa muda mrefu bila ya kuhitaji kujua hatma ya mpinzani wake haikukaa kiubinadamu. Furaha ya ushindi haikosekani ila iendane na hali halisi iliyojitokeza

  • @mickdadybakari6052
    @mickdadybakari6052 Год назад +6

    Ibrah classic ngumi za kiwango san

  • @noahmpangala3486
    @noahmpangala3486 Год назад +2

    Kwa mchezo huu niliouona sasa nitaanza kwenda kuangalia ngumi.
    Asante sana kwa Mo asante kwa refa aliechezesha mchezo asante kwa wapiganaji mmeonyesha mchezo mzuri asante kwa security mpo vizur na mnaijua kazi yenu kwa ujumla kila kitu kilikuwa kipo sawa huo ndio mchezo tunaotaka kuona kwa kiwango hicho.

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 Год назад +4

    Natumaini azam and mo boxing mmeona jinsi uwanja unavyo teleza pale kati ktk zile stika yale maandishi nafikiri material yake ya rangi yapo makubwa ndio maana yanateleza mkiweka (soft copy printing) itakuwa powa zaid lifanyieni kazi hilo please...IBRA mo 🔥💪🇹🇿🇦🇪

  • @noahmpangala3486
    @noahmpangala3486 Год назад +16

    Mnaosimamia mchezo wa boxing huyu refa mmuangalia kwa jicho la pili ikiwezekana apandishwe daraja la juu kabisa

  • @amansumary5041
    @amansumary5041 Год назад +5

    Uyu refa ree mungu amlinde aendeleee kuwa na umakin

  • @peter_paulofficialy
    @peter_paulofficialy Год назад +2

    I'm proud kwa referee, yupo viziri...apewe tuzo walah.......@Azamtv#Azamtv muangalie hilo

  • @husseinrashidi5828
    @husseinrashidi5828 Год назад +6

    Pendo yupo makini sana kabisa

  • @djkombo3752
    @djkombo3752 Год назад +7

    Kwa hiyo mmexico katoka kwao china Kuja kugombania bajaji 🧐🧐

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 Год назад +6

    Mngekuwa mnapiga hivyo hata mkiwa ugenini mngefika mbali.

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Год назад +4

    Wamexico wagumu wasenge Hawa, yaani ukipigana na jitu la mexico linakuja tu' kama CHINO, ...
    .Mzuka sana Ibra Classic, nimeona hiyo left hook alikua anakuelekeza sana Master KINYOGOLI ulipokua mazoezini, yaani unatoka kidogo na mguu wa kushoto kama unadesh vile, halafu unatia left hook, Yaani HISABATI zilezile zimekupa matokeo...BIG UP..!

  • @raphaelmshana4087
    @raphaelmshana4087 Год назад +1

    Pendo Njau ,kazi safi unastahili pongezi.

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Год назад +7

    wewe referee upo vzl
    sana pendo njau sana
    international referee east Africa

  • @lama6310
    @lama6310 Год назад +4

    Class Muuaji

  • @frankrwegoshora4705
    @frankrwegoshora4705 2 месяца назад

    Mohammad Ali asingeshangilia hv. Angeenda kumsaidia baada ya kudondoka. Legends will always remain legends

  • @mshello4231
    @mshello4231 Год назад +3

    Tanzania yangu💋💋💋

  • @omarizuberi2300
    @omarizuberi2300 Год назад +5

    Exalent refareee anafanya kazi nzuri mungu akuzidishie keep up on good work

  • @josephzitto4857
    @josephzitto4857 Год назад +4

    Nimempenda pendo njau

  • @abuuda4754
    @abuuda4754 Год назад +8

    Upendo bonge la refa, aliiona left hook ya madhara kabla right hook yakumzimisha... Hongera madam

  • @husseinchai1133
    @husseinchai1133 Год назад +2

    Pendo Njau umetisha pia

  • @mlungumasaba1786
    @mlungumasaba1786 Год назад +2

    Kazi kazi kulakwa jasho🙌

  • @leonardkapati3125
    @leonardkapati3125 Год назад +3

    Kwa style hii ndo Mana mwakinyo aliamua kujivunja mguu ebu fikiria mtu anazimia hvyo

  • @daudpaulo2867
    @daudpaulo2867 Год назад +4

    Nimegundua jama chupi ilimbana Sana ndo mana alishindwa kupumua

  • @swalehesaad1143
    @swalehesaad1143 Год назад +14

    Hawa watangazaji wanatakiwa wapewe elimu namna gani ya kutangaza huu mchezo wanaweka unazi Sana yaani utanzania na ushabiki wanauweka mbele kiasi mpaka inakuwa kero kwa tunaoangalia pambano hawatendi haki kwa wageni yaani ni Kama muda wote wanankuwa wanasubiria tukio la mtanzania afanye Jambo walitangaze hio sio profesional ya utangazaji.

    • @ambokileasheengai1140
      @ambokileasheengai1140 Год назад

      We unajua hao wageni huko kwao inakuwaje?kila nchi inambeba wake huo ndio uzalendo....ukiishi nje ndio utajua ata akijamba mwenyeji utaambiwa we mgeni ndio uliejamba,,,shauri yako

    • @barakastephano8996
      @barakastephano8996 Год назад

      @@ambokileasheengai1140 Ni kweli ndugu

    • @mahembaelias1722
      @mahembaelias1722 Год назад

      Uko sahihi coz mtangazaji hapaswi kuonyesha mapenzi yake waziwazi

    • @mahembaelias1722
      @mahembaelias1722 Год назад

      Uko sahihi coz mtangazaji hapaswi kuonyesha mapenzi yake waziwazi

    • @HD_mark
      @HD_mark Год назад

      Bongo ushamba mwingi

  • @francisbuya8357
    @francisbuya8357 Год назад +1

    Hongera sana mwamba Ibrs

  • @midiiddi7701
    @midiiddi7701 Год назад +2

    Mungu akubariki dada Pendo , Ongeza umakini, Tenda haki hivyo hivyo utafika mbali

    • @eddykatamba1008
      @eddykatamba1008 Год назад

      Bondia ibra Ni bondia mzuri Sana jamani MPENi gari

  • @youngweezy3846
    @youngweezy3846 Год назад +2

    Uyu dada pendo njau 🙌🙌

  • @yunamisilavwe3633
    @yunamisilavwe3633 Год назад +6

    Hiki ndishokilichomfanya bondia mwakinyo ajisalimishe mapema. Aliogopa kifo

  • @Gtunewaves
    @Gtunewaves Год назад +1

    Uyu bi dada naona anapatia kuchezesha game nyingi sana yani yuko proffessional sana ndo mana game nyingi kubwa huwa anakabidhiwa marefa wengine wajifunze kupitia yeye yuko proffesional sana Njau

  • @danielsamwel3628
    @danielsamwel3628 Год назад +2

    Mi nazani leo ndo nimeona ngumi nzuri

  • @patrickmohele3458
    @patrickmohele3458 Год назад +5

    Mnachelewa kuweka video mnaboa kinyama

    • @Yangadamu
      @Yangadamu Год назад

      Yaani haya jamaa wameza mzoea na kazi

    • @patrickmohele3458
      @patrickmohele3458 Год назад

      @@Yangadamu unajua kuna vitu vya kuweka mazoea ila sio kazi ngoja tuone mwisho wao

  • @samsonmamba4609
    @samsonmamba4609 Год назад

    Kazi nzuri hongera sana @

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 Год назад +3

    Sema naye huyo Mexican men ni mgumu sana

  • @mohamedally8379
    @mohamedally8379 Год назад +7

    Huu ndo ushindi sasa so kubanwa na viatu

  • @maryemanuel6122
    @maryemanuel6122 Год назад +1

    michezo migumu Class amewahi kucheza ni huu🙌🙌🙌

  • @mathewmapunda9240
    @mathewmapunda9240 Год назад +2

    Pambano zuri KASORO ilikuwa kwenye JUKWAA.Jukwaa lilikuwa linateleza sana hivyo WAANDAAJI INABIDI Watafakari juu ya Kuandaa JUKWAA..

  • @jiwekichwa2857
    @jiwekichwa2857 8 месяцев назад +1

    Safi saaaana.....

  • @lewiskombole2917
    @lewiskombole2917 Год назад +3

    Wanyalukolo sie hatunaga masihara

  • @darviswantana7669
    @darviswantana7669 Год назад

    Mnatangaza au mnamchambua Ibrah???? Tangazeni kwa haki.. Pendo umetishaaa sanaaa

  • @ramadhanisaguti2090
    @ramadhanisaguti2090 Год назад

    Umetisha

  • @manuelcyril4454
    @manuelcyril4454 Год назад

    Hii ndo tafsiri ya kula kwa jasho duuuh 🙌🙌🙌🙌

  • @DurahRich
    @DurahRich Год назад +1

    Mmechelewa ku upload the main game admin bwana

  • @rozina2161
    @rozina2161 Год назад +1

    Nimejikuta nacheka kwa sauti pigwa ngumi hadi azimie😂😂😂😂wabongo tuko vizuri💪💪my mother land

  • @piusdidier371
    @piusdidier371 Год назад +2

    The real champion

    • @suleimanmuhammed1347
      @suleimanmuhammed1347 Год назад

      Hi michezo ni mibaya sana watu washerekea mwenziwe hayupo kabisa

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 Год назад +4

    Watangazaji sio balanced, ethics za utangazaji mmeshindwa kuzizingatia, shame on,! Hata kama Ibra alikua anafanya vizuri lkn muwe wazi pale anapozidiwa, refa nae mzembe kidogo kaonyesha upendeleo kidogo na kutokuwa mwepesi kuingilia na kumsimamisha Ibra mara baada ya upper cut ya kwanza ilipomuumiza mpinzani wake, hiyo ya pili haikustahili ilipashwa kuwa ameingilia kumuokoa, kwa uzembe huu wa marefa mtakuja poteza mabondia ulingoni hapa nyumbani

    • @morganrobinson3542
      @morganrobinson3542 Год назад

      Sheria ni kwamba hadi alambe sakafu. Ngumi ya pili ilikua sawa kabisa.

    • @alexyohansonn6619
      @alexyohansonn6619 Год назад

      Uyo refa n mkal jamaa alikuwa anapiga ngumi za kichogo ambazo sio nzur

  • @simonrusigwa3024
    @simonrusigwa3024 8 месяцев назад +1

    Pendo refaree anajua sana

  • @lugomemtamayaye9508
    @lugomemtamayaye9508 Год назад

    Kwa hiyo hili pigano mshindi anaishia kupewa bajaji pekee au na kitu kingine?

  • @justinburreta9585
    @justinburreta9585 Год назад +3

    We refarii dada siwezi kkupinga

    • @jastinmollel9592
      @jastinmollel9592 Год назад +2

      Dah Yani huyu refarii pendo njau Yuko makini na Kaz yke MUNGU azidi kumngarisha azidi kuanda viwango hadi kimataifa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @frankmwanzenga9098
    @frankmwanzenga9098 Год назад +1

    Ibraa is number one

  • @nuhumangula2168
    @nuhumangula2168 Год назад

    Tamu saana

  • @dicksonkisanga7380
    @dicksonkisanga7380 Год назад +1

    MOO BOXING MMEANZA VIZURI ILA NAOMBA MAIN FIGHTING IANZE SAA 3:30 usingizi unapunguza utamu. Ngumi hazifanyiki USA kwanini tuangalie usiku wa manane.

  • @bentv6769
    @bentv6769 Год назад

    Naombeni kujua Jina la ngoma ilitumbuiza siku ya hili pambanoo🙏🙏

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 Год назад +2

    Huyo mdada ni refarii mzuri sana sijahi kuona pia hongere sana Ibraa mabonfia kama wewe duniani ni wachache sana Mimi nakufananisha na devonter Davis wa marekani bondia wa mayweather

  • @mussamajisu9781
    @mussamajisu9781 Год назад

    Good broo

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 Год назад

    Dada pendo nakupenda sn unajua

  • @charlesolomi9514
    @charlesolomi9514 Год назад +2

    Refa 🔥🔥🔥

  • @naimabdul1231
    @naimabdul1231 9 месяцев назад +1

    Hata uwe mgumu vipi kwa ibra utakaa tu, dogo anajua sana kuadhibu jamaa anajifanya kichwa ngumu utakuja kufa uwanjani bure😂

  • @Karromiatz
    @Karromiatz Год назад +1

    Sifa za wahaya zimezidi et malikia Elizabeth II ni muhaya og 👉👉ruclips.net/video/gO0mTbwMCXg/видео.html. ruclips.net/video/gO0mTbwMCXg/видео.html

  • @Karromiatz
    @Karromiatz Год назад

    Usiku wa vitasa KAGERA kuzindua lasimi 👇ruclips.net/video/gO0mTbwMCXg/видео.html ruclips.net/video/gO0mTbwMCXg/видео.html

  • @onejohnmk4753
    @onejohnmk4753 Год назад +1

    Huyu ni mmekiko kuna nchi mekiko au sielewi mm

  • @goodluckstephanmasige3450
    @goodluckstephanmasige3450 Год назад

    Aisee Alan Pina amekomaa ila hakuna mkate mgumu mbele ya chai.

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Год назад

    Mandonga ajiangalie... unaweza kufia ulingoni

  • @husseinchai1133
    @husseinchai1133 Год назад +1

    Ibrahim class

  • @happykimaya6631
    @happykimaya6631 Год назад +3

    BAJAJ!!!!!

  • @moseswiliam9028
    @moseswiliam9028 Год назад +2

    Mm ndo sijaelewa au yaan ngumi zote hizo anapigania bajaji au

  • @kwilasajunior5367
    @kwilasajunior5367 Год назад +1

    Ngum sio POA wengine wanashangilia wengine wanatibiwa

  • @leonardkapati3125
    @leonardkapati3125 Год назад +4

    Mabondia wetu wakiend nje wakipigwa hvyo tunasema wameuza mechi kumbe huwa wanakutana na mabondia wenye uwezo kuliko wetu

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 Год назад +1

    Watangazaji nchi inaitwa Mexico rekebisheni midomo yenu

  • @carlosmpareemsoffe2841
    @carlosmpareemsoffe2841 Год назад

    Ibrahim class anaweza ila isije akaomba bambano na kiduku.

  • @mcopsbsm3682
    @mcopsbsm3682 Год назад +2

    Unym san

  • @gracerichard8145
    @gracerichard8145 Год назад +1

    Mh! Unakuja et du!

  • @shabanibobe4320
    @shabanibobe4320 Год назад +1

    Pongez Kwa refa

  • @Karromiatz
    @Karromiatz Год назад +1

    Love EP 10 👉ruclips.net/video/gO0mTbwMCXg/видео.html
    ruclips.net/video/gO0mTbwMCXg/видео.html

  • @ZaveliaLongo-hy3ke
    @ZaveliaLongo-hy3ke Год назад

    Ibra kakaaa

  • @yujinxhing3766
    @yujinxhing3766 Год назад +1

    Mchezo wa kuuana huu

  • @leilatmussa6533
    @leilatmussa6533 Год назад +1

    Mashaallah 🌹

  • @daudysanga8492
    @daudysanga8492 Год назад +2

    Kenge hawa wote

  • @ShaqueeBlackrapper
    @ShaqueeBlackrapper Год назад

    mexico au mekiko???

  • @nicksontety455
    @nicksontety455 Год назад +1

    Mtakuja kuleta watoto wawatu wauliwe na wataftaji

    • @eddykatamba1008
      @eddykatamba1008 Год назад

      Umetisha refa yaani upo vizuri Sana inatakiwa upewe tuzo

  • @zubeiramlanzi2480
    @zubeiramlanzi2480 10 месяцев назад

    Mtu kadanja watu wanashangilia duuh noumer kinoumer yani

  • @mohamediabdirashidi1099
    @mohamediabdirashidi1099 Год назад +1

    Tz mabondia ni watatu tu clasc ,kiduku,kidunda

  • @afrodisiusvitus9157
    @afrodisiusvitus9157 Год назад +2

    Mchale

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 Год назад

    Hyu pina mgumu san sijawahi ona

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 Год назад

    Hawa. Wstailand. Na. Mexico. Wa. Chovhoroni. Wanszitia. Aibu. Nchii. Zaoo. Tuu

    • @djkombo3752
      @djkombo3752 Год назад

      Kwakweli yaani wanatoka kwao wanakuja Tz kupigwa kwaajili ya kugombania bajaji kweli 😂

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 Год назад

      @@djkombo3752 unajuwa bei ya bajaj lakini ebu ibadilishe hiyo bajaj kuwa pesa ndo utajuwa wamepigana kwa sh.ngap

  • @zehe449
    @zehe449 Год назад

    235

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 Год назад +1

    Sina hakika na uwezo wa akili ya mtu au watu wanao shughulika na kupost matukio ktk Chanel ya Azam ya RUclips. Nadhani akili au uwezo wa kufkiria ni mdogo sana au hajui kwann yupo au wapo hapo katika kazi hiyo.

  • @onejohnmk4753
    @onejohnmk4753 Год назад

    Hahahaha kkkkk mmekiko ai

  • @ibraabuemu9231
    @ibraabuemu9231 Год назад

    UKO VZR

    • @eddykatamba1008
      @eddykatamba1008 Год назад

      Jamani wazamini maboss MPENi gari pendo njau kazi yake mzuri sana

  • @zakariaandrew1314
    @zakariaandrew1314 Год назад +1

    Mnyalutanana uwulaga chali cha vene. Mnyalukolo kaa ilibidi wakupe Dolla 10 milioni co kwa kunifurahisha uko

  • @chembejohn9605
    @chembejohn9605 Год назад

    Mutu inakufa nyie mnashangilia kwel w jmn....au ndo aina y vifoo vimetofautian

  • @dominicrobert266
    @dominicrobert266 Год назад

    Huyo pina wala sio mmexico, ni goa tu huyo. Mmexico gani mwepesi hivyo.

  • @akwinobenarddy
    @akwinobenarddy 7 месяцев назад +2

    Iringa boy

  • @musaissa7463
    @musaissa7463 Год назад

    mnatuabisha bwana kutamka mekiko badala ya mexico!

  • @kingmsanya3524
    @kingmsanya3524 Год назад

    Kwenye mchezo huu tutafanikiwa kbsaa ila mpira tuachie simba na yanga tuu kwa ajili ya mapato

  • @selemanimchana3598
    @selemanimchana3598 Год назад

    Kugombania bajaj? Duhhh bongo myoso

    • @bizbiz5023
      @bizbiz5023 Год назад

      Hivi 10 m kasaro unauchukulia poa ?? Hata ingekuwa laki 2 hapo jamaa kasha jiongezea credit usiangalie pesa tu mafanikio ni hali maendeleo ni vitu

  • @ephraimemmanuel1802
    @ephraimemmanuel1802 Год назад

    iiik

  • @rashidhemed5331
    @rashidhemed5331 Год назад +2

    Kama linarudiwa kwao ibra anapigwa jamaa si mbaya ila hongera kwa ibra

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 Год назад

    Pina anaonekana ndizi sio bondia mzuri, ibra kakutana na ndizi.