Huyu dada ALICHO kosa nadhan ni Elimu tu ila kichwani vitu vipo vya kutosha Sana yaani ana material mengi Sana, Big up 👊Sana shishi kuna vitu una vifanya unawapa SoMo kubwa Hawa wanao jiita wasomi na Wana kutamania na kuzitamania hizo akili zako we hujui tu ila ndio hivyo tena😅😅, big up Sana dada ang Mungu azidi kukubariki aixee😁🙏🙏 NB: Mnao jiita wasomi naamini lectures za shishi Zina wapa kitu, kazi ni kwenu kama Vodacom muendelee kubaki nyumbani au mjiongeze 😂😂
Mashaalla natamani sana ningekuwa 𝐦𝐢𝐦 jaman najitahidi kutafta pesa lakin sifiki nachotaka lakin naamin huyu huyu Mungu namuomba ipo sk atanibariki nami niwe nazo 😂😢😢😢😢😢😢😢
Hakuna kilichoharibika kitu cha msingi shilole ana upendo na ana upendo kweli na anajua kujitoa na ni kitu ambacho wengi hawawezi kukifanya sasa iwe ni yachi au sio yachi ndio kafanya sasa apewe sifa zake
Hongera sana shilole kutoa ni moyo kuna matajiri wakubwa lakini hawawezi kufanya ulilolifanta wewe Mungu akubariki sana jambo kubwa sana pamoja kuwa wanakuingizia lakini umefanya jambo la ujasiri.
Shishii hongera hatakama uwe mtumbwi umewapa rahaaa.umeonyesha wewe ni zungu la roho kwahicho ulicho jaaliwa na Allah umefanya Kwa uwezo wako.bimaana ungekua na uwezo hata ndege wangeipanda hao.matajiri wenye uwezo wengi tu hawaja wajafanya uliocho kufanya mungu akubariki sana
Kufunga ofisi Kwa ajili ya mapumziko ya wafanyakazi, nauli na vitu vingine vidogo vidogo inatosha sana Kwa Hali za mabosi wetu wa kibongo ni ngum kufunga ofisi na kuwaacha wafanyakazi washeerekee siku kama izi za mwaka mpya , so inatosha sana uko kuwatoa tu haijalishi ametumia gharama ndogo kiasi gan
@@agathakeneth6563 hakuna aliekataa ila waache uongo kutwambia wawe wanasema ukweli mie na family yangu nimekodi hio boti ya kipaa ni laki tu kutoka asubuh saa tatu mpaka saa mbili usiku nimerudi yeye anatwambia ni milioni 3 yatch tu sasa hio yatch au kiboti tu mskilize tena anasema nini?
Wabongo wanapenda sifa ila bdo sana ati milion tatu boat ya uvuvi njoo ukodi kilimanjaro huku au Zanzbar One Wanzanzibar wana hela ila kimya hwa wenzetu wanatuharibia Nchi Sifa nyingi punguzeni Sifa hizo
Ety ni moyo tuu sio hela thubutu ndo wanavosemaga waliopata fedha bila pesa kupata pesa sio rahisi acha kudanganya watu shishi food is not there without money mbona unakosea adabu mtaji wewe vp😂
Najizuia kucheka lakin najikuta nacheka tu😂😂😂😂😂yatch Kama yatch🙌🙌🙌
Manshaallah ata km ni mtumbw ,amewapa laha wenzie,Allah akubaliki
Huyu dada ALICHO kosa nadhan ni Elimu tu ila kichwani vitu vipo vya kutosha Sana yaani ana material mengi Sana, Big up 👊Sana shishi kuna vitu una vifanya unawapa SoMo kubwa Hawa wanao jiita wasomi na Wana kutamania na kuzitamania hizo akili zako we hujui tu ila ndio hivyo tena😅😅,
big up Sana dada ang Mungu azidi kukubariki aixee😁🙏🙏
NB: Mnao jiita wasomi naamini lectures za shishi Zina wapa kitu, kazi ni kwenu kama Vodacom muendelee kubaki nyumbani au mjiongeze 😂😂
Kuna elimu, kuna busara na kuna hekima. Shishi huenda amekosa elimu, lakini amebahatika hivyo vingine. Mungu ambariki.
Hongera sana sana
Hongeraa sanaa Shishi baby anaroho safiii sanaa mpenzi, Maisha ni watu haswa wale wanaokuingizia pesaa
Hongera shishi baby
Hongera sana dada shilole nakupenda sana zaidi ya sana ❤❤❤❤❤
Iyo ela uliyo tumia ungewapa posho wangekushukulu sana maana mambo ya kupanda boti hayana tija sana ni kama ushamba
Hongera sana dada shilole kwa kuwajal wafanyakaz wako
MashaAllah mwenyezi mungu akuzidishiye NI mfano wa kuigwa kwa wengine walio mabahili wanao jali pesatu
😂😂😂😂good idea
Mashaalla natamani sana ningekuwa 𝐦𝐢𝐦 jaman najitahidi kutafta pesa lakin sifiki nachotaka lakin naamin huyu huyu Mungu namuomba ipo sk atanibariki nami niwe nazo 😂😢😢😢😢😢😢😢
In shallah munqu atakuezesha
@@teedullah5708 🙏🙏🤲🤲
Hakuna kilichoharibika kitu cha msingi shilole ana upendo na ana upendo kweli na anajua kujitoa na ni kitu ambacho wengi hawawezi kukifanya sasa iwe ni yachi au sio yachi ndio kafanya sasa apewe sifa zake
Nimekupenda sna, Mungu azd kukuinua
Hiyo Yachii Mamaaa😂😂😂😂
Nakupenda Sana shilole wewe ni mkarimu kwa watu wote.
Shilole naku kubali sana from🇨🇩kuna ma bos wengin daaa😮😮
Kwaiyo iyo ni yachi😂😂😂😂😂
😂😂😂
Yaani kutoka nikutoa ujinga na sress kama pesa kila siku wanapata kuinjoi ni vizir katika maisha km pesa inaruhusu
Hongera sana shilole kutoa ni moyo kuna matajiri wakubwa lakini hawawezi kufanya ulilolifanta wewe
Mungu akubariki sana jambo kubwa sana pamoja kuwa wanakuingizia lakini umefanya jambo la ujasiri.
Hongera sana shishi
Dada nakupenda Sana
Yachiii😮 million 3, uo si mtumbwi wakuvulia chaza au una Jina ingne unaitwa yachii
😂😂😂😂😂😂😂
Fanyeni na nyinyi mbona makasiriko,hapo ni lugha tu imebadirika yote ni Yale yale
Kuna wengine wafanyakazi hawaja nunuliwa hata soda
😂😂😂😂😂mpemba
Million 3 kenya ni pesa ngapi 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂shilole unanichekeshaga Sana!!eti yaani Mungu😅😅
Wabongo bhn hiyo fiber inawasongeza tu kwenye boti iliyo andaliwa😂
Naomba kaz #shishifood
Mashallah manshallah ❤
Big love shishi aminiaaaa
Hongera sana shishi 🥰❣️💖💞
Hii ni boat ya kuvulia samaki ama ni yach mbn wazingua
Hongera sana dada shishi
Shilole nakupenda sana una ubagui ndugu yngu chezea wanyamwezi wwe atuna mbaba wala ubagui sote Ni waja ishu miaka mingi shilole waalh
Sisi bosi wetu alisema hajui sikukuu😢
Binaadamu hamna shukurani hata mfanyiwe nn subhanaallah
Hii ndo .....au ila hapa umetupga
Saizi mnatamba baadae mkiumwa watanzania tuwachangie ila bata mnakula peke yenu
Shishii hongera hatakama uwe mtumbwi umewapa rahaaa.umeonyesha wewe ni zungu la roho kwahicho ulicho jaaliwa na Allah umefanya Kwa uwezo wako.bimaana ungekua na uwezo hata ndege wangeipanda hao.matajiri wenye uwezo wengi tu hawaja wajafanya uliocho kufanya mungu akubariki sana
Kabisa
Ngalawa siku hizi inaitwa yatch daah hata April fools bado 😂😂😂😂😂😂
Kufunga ofisi Kwa ajili ya mapumziko ya wafanyakazi, nauli na vitu vingine vidogo vidogo inatosha sana Kwa Hali za mabosi wetu wa kibongo ni ngum kufunga ofisi na kuwaacha wafanyakazi washeerekee siku kama izi za mwaka mpya , so inatosha sana uko kuwatoa tu haijalishi ametumia gharama ndogo kiasi gan
@@agathakeneth6563 hakuna aliekataa ila waache uongo kutwambia wawe wanasema ukweli mie na family yangu nimekodi hio boti ya kipaa ni laki tu kutoka asubuh saa tatu mpaka saa mbili usiku nimerudi yeye anatwambia ni milioni 3 yatch tu sasa hio yatch au kiboti tu mskilize tena anasema nini?
Iwe ngalawa,iwe mtumbwi vyovyote vile.
Dah natapaje ajira hapo jamani
⛵ yacht
MV Shishii mwenyewe akiwa nahoza Mtumbwini
Uwaongeze na mishahara
Bora ww shilole Kuna mabosi wengine hata mshahara hawatoi anajijali tu yy
❤❤❤❤
Siku nyingine mvae life jaketi siyo mnaingia kwenye mtumbwi kiboya.
Eti yachi yani hizi takataka zinatuonaje hivi yachi zipo hivi?
Wabongo wanapenda sifa ila bdo sana ati milion tatu boat ya uvuvi njoo ukodi kilimanjaro huku au Zanzbar One Wanzanzibar wana hela ila kimya hwa wenzetu wanatuharibia Nchi Sifa nyingi punguzeni Sifa hizo
Mzee karume alisema kuongoza sio kusoma ,
haya ni kama yale maboti yalokuwepo foro ya kuvukia visiwani huku nilikodi elfu 40 sasa milioni 3 kaaa
Eet yatch hata kama cjui yatch lakn dada yangu hilo ni bot
Boti mtubwi huu😂😂😂
Una kitu kipekee sanaa dada shilole mung akubalki jaman
saf san shishi mm ni shabiki wako kindaki ndaki karibu moro
Mbona Uchebe humpi Furaha kama wapenda watu wafurahi ??
Hogera shshi
Me nampenda huyu mama sana ana juwa kuishi na watu❤
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏♥️💯.
Pale si msasa mavi
😊❤❤❤🎉
Dada endelea kupambana wenzako wanadanga na kuwafundisha umalaya watoto wao
M3 umeinunua hio boat (fiber) au umekodisha? Kama umeinunua hapo sawa
Yaan fibre iuzwe million 3 kweli? Fibre inauzwa Hadi mil. 100 unaongea nn wewe??
Hamna fiber ya m3 hata siku Moja
Uwa wanalipwaga gapi kwa mwezi tusaidieni tujuwe mishaara ili turudi tuombe ajira ugaibuni tumechoka jamani shishi
Hili shamba eti yachi kuna yachi pale mbona ni tofauti na zile za akina mondi
Hapo kwennye milioni tatu ndo umeaaribou hapo
Dodoma anamgahawa wapi
Kule kilimo kwanza
Hapa shilole katupiga
Unashindwa kukodiii bot zakishua hayo siyawavuviii.jierewe kama msaniii hahaha mama ntilie
Honqera shishi mimi na kufatiliya sn
Faiba hiyo ukifunua juu ni myumbwi wakuvulia mzee bot mnqzijua lakini!
Hebu kuweni waelewa hiyo inawapeleke kwenye yach bot
Ety ni moyo tuu sio hela thubutu ndo wanavosemaga waliopata fedha bila pesa kupata pesa sio rahisi acha kudanganya watu shishi food is not there without money mbona unakosea adabu mtaji wewe vp😂
HIYO ML3 BADALA YA KUKODI BOTI UNGETUMIA KWENDA KUWALIPIA GHARAMA ZA MATIBABU WALE WALIO SHINDWA KUJIGHARAMIKIA UNGEINJOI HATA KWA MUNGU ,
Sio mbaya kuwafurahisha wale wanovuja jasho kukuingizia hiyo pesa.
Kama glass ya juice anauza elfu 5 kwanini asichezee pesa wakati wajinga wanazipeleka wenyewe
Wewe msukuma nawewe 😅
@@fettyrashid9042nn imekugusa ????