PATANISHO: Mama yangu alimrushia mama mkwe cheche za matusi (Episode 1, June 2019)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 122

  • @sareeskye1964
    @sareeskye1964 5 лет назад +12

    2nd one here wapi likes za wanagulf

  • @linahmuli5187
    @linahmuli5187 5 лет назад +19

    Nipewe likes Leo, nimetry sana

  • @lionsdota1989
    @lionsdota1989 4 года назад +4

    Kama umependa mama njeri gonga like tafadhari😂😂😂😂 thank you Soo much mum kwa msamaha na roho safi

  • @keiyokimarujoel.2701
    @keiyokimarujoel.2701 5 лет назад +7

    Gidi for sure wewe ni Pastor.Gidi na Ghost Shemanzi.
    Gidi wabariku...Amen...
    Fungua kanisa bwanaaa...
    God bless you.
    Mama Njeri ako poa.

  • @prettybabygalmichelson6557
    @prettybabygalmichelson6557 5 лет назад +9

    Shida yetu cc wakikuyu tunapenda watoi wetu sana.ukiskia tu ako na shida fulani kuja hapa tukae na ww.

    • @realqueen9049
      @realqueen9049 5 лет назад

      Haha

    • @sweetthirty7671
      @sweetthirty7671 4 года назад

      Ooh yes. That's us na hatuanguki anguki.🤣🤣🤣yaani tutiragua gua

  • @everlynmanigamaniga818
    @everlynmanigamaniga818 5 лет назад +2

    Patanisho inawezana na gidi, ghost kicheko tukimsaidiaga 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @silviaminaya9289
    @silviaminaya9289 5 лет назад +5

    Mimi no 2 wapi like zangu

  • @diananafula2165
    @diananafula2165 5 лет назад +7

    Western oyeee wanaume wetu wanahiyo Tabia 😂😂😂😂😂

  • @mimmohsherrykaesther5375
    @mimmohsherrykaesther5375 5 лет назад +7

    🤣🤣😂😂😂😂😂😂🤣😂🤣😂😂ati ama wewe ni pastor wao

  • @babradomenic7564
    @babradomenic7564 5 лет назад +1

    Huyo mama ni mpoa sana.

  • @mamayaoharistar4599
    @mamayaoharistar4599 5 лет назад +4

    Shetani ashindwe kabisa .Amen mum.

  • @herbertmoriangoakaraurau8203
    @herbertmoriangoakaraurau8203 5 лет назад +14

    Haki mama wengine ni wazuri. Ladies before you get married to another tribe and your parents Are not ready. Try your best and let your parents agree that nowadays ni mapenzi
    The last time I called my mom she automatically asked me lazima aone mpesa kwanza ndio anisamehe. Families are all the same. Good luck

  • @catchnymphs3254
    @catchnymphs3254 2 года назад

    Long life mama Beatrice. Your the best mum ever

  • @cecilianjoroge6622
    @cecilianjoroge6622 5 лет назад +4

    Huhuhuhuuu ati aongeleshwe kiswahili kwa utaratibu kwekwekweeee

    • @annieann0012
      @annieann0012 5 лет назад

      😂😂😂😂

    • @annmitsira3141
      @annmitsira3141 5 лет назад +1

      Mwenyewe anambia mamake tena sikumbukiiiiiii woi.. Kiswahili Mama anajua

    • @cecilianjoroge6622
      @cecilianjoroge6622 5 лет назад

      Sana ata kumlikooo 😅😂😂😂

  • @prettybabygalmichelson6557
    @prettybabygalmichelson6557 5 лет назад +7

    Mother luv.mpeni likes hapa

  • @mariyanegoodone172
    @mariyanegoodone172 5 лет назад

    Gidi forever tumekubali you are pastor Wa kupatanisha watu wamekosana mamilioni wakisikiza..Congress Gidi be blessed patanisho ya leo

  • @amoswekesa1476
    @amoswekesa1476 5 лет назад +3

    Mumeasi atapalilia miwa ashangae

  • @teresagitonga8749
    @teresagitonga8749 2 года назад

    This was very impressive. You are a great mum mama njeri. Be blessed

  • @Jmwamuchemi
    @Jmwamuchemi 5 лет назад

    Asanteni kwa kuprolong patanisho cos it was very short before 👏👏👏👏👏👏

  • @catherinealiviza96
    @catherinealiviza96 4 года назад

    Hahahahaha...bwana yko hiko kwa hiyo mtangasi aky wamama.

  • @moulinemoulinr9136
    @moulinemoulinr9136 5 лет назад +2

    Shiko naye na kupelekea mathe moshene😂wololo mama anasirika haraka aki msi sirishe mama

  • @shalumaenterprises4058
    @shalumaenterprises4058 4 года назад

    Happy ending, i love it. Long live Mama Beatrice

  • @godsproperty2956
    @godsproperty2956 5 лет назад +1

    Some sisters though!! Pthooo ....hata wangu ako hivyo anachunguzanga ya wangu anafikisha nyumbani kwa mum bila Mimi kujua..nkt

  • @annnjogu972
    @annnjogu972 5 лет назад

    Wow nice Patanisho..thanks mama Kui

  • @mmilly8952
    @mmilly8952 5 лет назад +1

    Wapi likes from Iraq

  • @phylliswanjiru1532
    @phylliswanjiru1532 5 лет назад +11

    Sasa sisi tuko outside Kenya 🇰🇪 tutapatanishwa lini na ninataka kupatanishwa 🤣🤣🤣🤣

  • @joysorewitindi8542
    @joysorewitindi8542 4 года назад

    Wow good mom sound like a mature mom

  • @ulimacoxwagichohi
    @ulimacoxwagichohi 5 лет назад

    Karibu giddy have missed you ghost yake ni kucheka

  • @sheilachisika8143
    @sheilachisika8143 5 лет назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣Mama kisungumkuti.

  • @nurumwangaza8581
    @nurumwangaza8581 5 лет назад

    Wow,huyo mma amenifurahisha.

  • @sarahkiama5228
    @sarahkiama5228 4 года назад

    Hahahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣wa kikuyu na kiswahili ni kama maji na mafuta.

  • @bevkate6047
    @bevkate6047 5 лет назад

    Wao wananipipigia simu vile manaka uko😂😂😂😂😂😂

  • @godsproperty4665
    @godsproperty4665 5 лет назад

    Shetani ishidwe kabisa 😂😂😂

  • @knowledgeawakening4328
    @knowledgeawakening4328 5 лет назад +3

    Ebu huyo bwanako ajue... Wakikuyu tutihakagwo macuru... Next time ajicunge tabia zake.

  • @Zaza-bt1hx
    @Zaza-bt1hx 2 года назад

    The mum is making sense

  • @aishaamohamed453
    @aishaamohamed453 5 лет назад

    Mama yuko vizuri sana

  • @xoxomacx2539
    @xoxomacx2539 4 года назад +1

    Mama Njeri almost took over the show😂😂😂😂 very entertaining

  • @asikokimeuniceeunice9158
    @asikokimeuniceeunice9158 5 лет назад

    This is great Mum abarikiwe

  • @leahjohn193
    @leahjohn193 5 лет назад

    huyo mama nimbaya sana

  • @monyivam9821
    @monyivam9821 5 лет назад +2

    Sometimes ikiolewa ni vizuri mtu alsolve problems zake peke yake sio vizuri kuingiza family yako ndani unaaribu cos Wayne wengine hawapedi

  • @veronican3486
    @veronican3486 4 года назад

    Huyo mtangasi

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 5 лет назад

    🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭kikuyu itatumaliza nilisirika sana gidi na ghost hivi karibuni mtakua pastor manapigia simu makae hapo gidi imaitwa mehemehe c muchene

  • @samuelkamau1777
    @samuelkamau1777 5 лет назад +1

    Manapigiangia mimi simu

  • @kihikiunderstanding5766
    @kihikiunderstanding5766 5 лет назад +1

    😂😂😂 Hpa hamjaelewa ni jubilee na ODm

  • @sheilachisika8143
    @sheilachisika8143 5 лет назад +1

    🤣🤣🤣🤣Wewe we paster wao ama ni rafiki.

  • @Zaza-bt1hx
    @Zaza-bt1hx 2 года назад

    Waaaaaaah two sides of the same story 🧐🧐🧐🧐🤣🤣

  • @bettyoluoch9774
    @bettyoluoch9774 5 лет назад

    Hii ni kali ya wk

  • @aishaamohamed453
    @aishaamohamed453 5 лет назад

    Mama nimama nani kama mama

  • @mamayao9816
    @mamayao9816 5 лет назад +2

    Uchungu wa mwana aujua ni mama

  • @annmitsira3141
    @annmitsira3141 5 лет назад +1

    Wamama wapewe hekima

  • @sofymoha
    @sofymoha 5 лет назад

    Mama yuko xawa hana ubaya

  • @carolynemoraa8350
    @carolynemoraa8350 5 лет назад +1

    🙄🙄🙄🙄🙄Waaaaa mama shiko yawa

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 5 лет назад +5

    Wapi like ya mutangazi?

  • @OneLove-lc7os
    @OneLove-lc7os 5 лет назад

    Mathee ata mimi nataka kuku😅😅😅😅

  • @sophieaden5367
    @sophieaden5367 5 лет назад

    I’m happy unapenda kwako

  • @timcarl1898
    @timcarl1898 5 лет назад

    Sisi tuko hapa na wewe uko wapi

  • @janemwangi317
    @janemwangi317 5 лет назад +14

    Akii kikuyu tulikosea wapi na kiswahili. ? 😂😂😂

  • @prayerchamber1600
    @prayerchamber1600 5 лет назад +1

    Lakini mama ako sawa....kupigia mama simu kila mara eti mna shida nikumpa stress bure

    • @mmilly8952
      @mmilly8952 5 лет назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eee swity pia wewe una penda patanisho

  • @carolcarolyne.musungu.4905
    @carolcarolyne.musungu.4905 5 лет назад

    Amen.

  • @mamayao9816
    @mamayao9816 5 лет назад

    Mechene mengi ngaii

  • @annieann0012
    @annieann0012 5 лет назад +2

    kui usiende momeas....mama amesema

  • @atuyade1
    @atuyade1 5 лет назад

    Mama anafikiri Gidi ako na Beatrice wake.

  • @lashymreal6555
    @lashymreal6555 5 лет назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂 hii nayo

  • @doricasmakungu918
    @doricasmakungu918 5 лет назад

    Mama mzazi balla tupu

    • @annmitsira3141
      @annmitsira3141 5 лет назад

      Mama Hana Shida anapewa mshene na msichana pls... This mom ametoa hajui

  • @timothyandala4458
    @timothyandala4458 5 лет назад

    I also went thru the same situation

  • @harrietasiago173
    @harrietasiago173 5 лет назад +3

    Kwani Leo mbona mmechelewa ku-upload patanisho?

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 5 лет назад +2

    makosa niya huyu msichana sio mamake

  • @maryannmwauravlogs9970
    @maryannmwauravlogs9970 4 года назад

    Who is listening this 2020 🤣🤣

  • @Muslimpurerecipe
    @Muslimpurerecipe 5 лет назад

    Start today GIDI and a Ghost Ni Pastors😆😆😆

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 5 лет назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂mum spare my ribs aky eti wewe ndio pastor wao ama ni nani?, Uko na bwanake apo na alikua amesema anajua RADIO JAMBO 😂😂😂 Gidi leo umeulizwa swali la kwanza toka uanze patanisho

  • @remicksambani7428
    @remicksambani7428 5 лет назад +3

    Kutoka leo Gidii wewe ni Pastor wa patanisho...lol

  • @hanifamulwa3963
    @hanifamulwa3963 5 лет назад +1

    Women should learn how to keep there issues mwatoa udaku kwa boma zenyu mkirudiana mwaanza huyu ni mbaya kitu kidogo mbio mbio keep ur sheet together.........

  • @gracekamau4413
    @gracekamau4413 5 лет назад

    Huyu msichana ikiwa ana shida ataeda kimwabia Nani...mama ni lazima ajue jinsi ya kutatua juu mzazi ni wa kushikanisha watoto wake

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 5 лет назад

      Atafute mtu kwa plot ama shaganzi!

  • @nyoikenjeri7672
    @nyoikenjeri7672 5 лет назад

    Wewe Gidi ni pastor yao?

  • @trizahwairimu6376
    @trizahwairimu6376 5 лет назад +1

    Learn what to tell your mom,not all mushene should go to mum,direct conversation is better for her than phone,your mum is trying to defending you but u dont understand wangui.

  • @euniceevans7780
    @euniceevans7780 5 лет назад

    Next time solve ur problems without engaging ur relatives

  • @cathiebrown8932
    @cathiebrown8932 5 лет назад +2

    Stop telling your family members u r problems