Mazishi Ya Mutula Kilonzo, Mbooni
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- Seneta wa Makueni marehemu Mutula Kilonzo amezikwa leo nyumbani kwake Mbooni. Rais Uhuru Kenyatta ni miongoni mwa viongozi wa kitaifa waliohudhuria mazishi hayo. Walimtaja mwendazake kuwa mtu aliyekuwa na msimamo thabiti bila ya kujali athari za msimamo huo. Mutula alifariki shambani mwake Maanzoni wiki tatu zilizopita.
Good question.
He was a ICC witness
ghai Alikufanga lini aki.rip
why do these characters speak english in a village