In TZ back in 1991 Saleh Jabir had a whole hip-hop Album that was very popular, he''s the guy that really started hip-hop here, Kalamashaka came in later probably in the mid 90s, so he's capping
Mnyamwezi Kinome cheki bro ebu fanya ivi react to another diss Noma Sana Iko na unyamwezi mwingi Sana inaitwa #255 diss by Master Kimbo ...jamaa mnyamwezi Sana kutoka pale Kilifi legendary Sana .nategea reaction yako ama vipi Van Isikikaka ndo habari ya mjini..
I don't know about Kalamashaka being the fathers of East African hip-hop, but i know that Saleh Jabir in 1991 (from Tanzania) had an album that started hip-hop in TZ, check out one of his tracks here ruclips.net/video/Ij8-ffOROjc/видео.html&ab_channel=RichardPrins
Kwenye khali kartel 4 alifanya poa but Kwa hii freestyle bado Sana flow yake iko chini alafu tongue twister yake iko chini Sana. Kiufupi Breeder LW ako poa sana .
Huyu amechanganyikiwa tu anaponda wakenya wenzake mara anaponda marapper wa Bongo Sasa ataskizwa wapi.. Khaligraph alimtoa but mbeleni Ni bidii yake Breeder halali anasaka ma collabo daily toka usingizini acha lawama
Much love from kenya...MITA inamaanisha hela,million moja za kenya...zile pesa zilishindaniwa kwa ordinary challenge
Kalamashaka are GOAT...hip hop ilianza kwao east Africa..sikiza tafsiri hii ama fanya mambo...love vigetti
Siezilalamika ju sikupata mita....hapa mita anaongelelea ni millioni, Winner alipewa 1 million...Thanks for the reactions Van
Story jaba noma kaka 🤣🤣🤣
🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪
In TZ back in 1991 Saleh Jabir had a whole hip-hop Album that was very popular, he''s the guy that really started hip-hop here, Kalamashaka came in later probably in the mid 90s, so he's capping
React to Elisha Elai na Katapilla-Over
Stori za jaba NI Stori za walevi😂😂
Alinyang'anya governor bibi just like what Juliani did
Tafuta kaa la moto mchizi atakupea history ya hip hop in East Africa in detail
Mnyamwezi Kinome cheki bro ebu fanya ivi react to another diss Noma Sana Iko na unyamwezi mwingi Sana inaitwa #255 diss by Master Kimbo ...jamaa mnyamwezi Sana kutoka pale Kilifi legendary Sana .nategea reaction yako ama vipi Van Isikikaka ndo habari ya mjini..
React Tafsiri Remix Kalamashakaa
Kalamashaka #nae nae kwanza 1992
Story za jaba ni story za imagination ile time mtu ako high
Metre kwa sheng ni shillingi millioni Moja ya kenya
mita anamanisha million
Mita in that context inamaanisha Million, mshindi wa ordinare challenge alikua awin Ksh. 1 million
Story za jaba nizauongo mazee 😅😅😅
ruclips.net/video/Ra5U6VkE1Rk/видео.htmlsi=vna9raK_pT7bw4UN
Anaongea kweli kalamashaka wako kitambo kwa game
Reaction zako ziko juu braza😂🇰🇪
ruclips.net/video/Ra5U6VkE1Rk/видео.htmlsi=vna9raK_pT7bw4UN🇰🇪💯
8:54 "Siwezi lalamika juu sikupata mita".. siwezi complain juu sikupata 1 Million. In kenya Mita ni 1 million.
ruclips.net/video/YIaVVM1fGM8/видео.htmlsi=-hLjsEqzv6vb9Oaf kalamashaka-Tafsiri hii
Kenyas finest 🇰🇪
Kalamashaka ndio kundi liloanza hiphop hapa kenya miaka ya zamani sana,enzi za akina prof jay ivi . Mita ni 1million
I don't know about Kalamashaka being the fathers of East African hip-hop, but i know that Saleh Jabir in 1991 (from Tanzania) had an album that started hip-hop in TZ, check out one of his tracks here ruclips.net/video/Ij8-ffOROjc/видео.html&ab_channel=RichardPrins
Hata ni before ya prof jay na mr 2 proud
Mita ni milioni na winner wa odinare challenge alikuwa anatuzwa milioni moja
Big up
Nash MC Respect
Fanya reaction ya lost warriors ilikuwa featured ya Kenyan and Tanzania rappers
you know bwaa!?😂😂🔥🔥
Hiyo punch ya kunyang'anya governor bibi imekupita boss....juliani alinyanganya governor alfred mutua bibi huku kenya so hiyo ndo alikuwa anamaanisha
Kalama shaka,,ukoo flani,cannibal sharama
First to comment❤
🎉❤ reaction Iko on top
ruclips.net/video/Ra5U6VkE1Rk/видео.htmlsi=vna9raK_pT7bw4UN
Hebu sample track ya ukoo flani inaitwa "tunawakilisha" by nako 2 nako. Ujue TZ ni fire hiphop
Zawadi ya odinare ilikuwa Meter yani one million
Kala mashaka niwakali ni wakutoka maumau lakini navyo jua kuna wasanii wakali wakati huo tz Mr 2 tulikua na swahili nation na darlinn p
Miter ni Million sasa kwenye Odinari ilikua mshindi apate Million moja
Mita ni 1000000
Van sikakaMsikize katishan boy k.e disi yake ni kali
gengetone "dore mi " breeder that's what he ment.
ruclips.net/video/Ra5U6VkE1Rk/видео.htmlsi=vna9raK_pT7bw4UN
Mita ni milioni
Story za jana ni story za uongo.
Hana flow pia anaishiwa na hewa akirap...bado ako chini aende breeder amfunzenbado😂
Enda uskize Over-Elisha elai na Katapilla, skiza flow bro
Elisha ni mkare
Meter anamanisha hakushinda iyo pesa 1 million
😂Odiranay challenge ya Kali Kartel by The OG mshindi alikuwa #SCAR MKADINALI
Uongo Katapila won😂😂
Katapila won
Mita ni one million
Yap kalamashaka ndio ni wakali wa rap na uko flani tucheze one ryming zenye vina
Million ndio mita man😂😂😂
Mita ni million
Ababu ni waziri wa michezo
MITA ni a million
Mita ni million moja 😅 so hakuzipata
Kutaja bazenga daddy unajikosea kijana😂😂😂
Kwenye khali kartel 4 alifanya poa but Kwa hii freestyle bado Sana flow yake iko chini alafu tongue twister yake iko chini Sana. Kiufupi Breeder LW ako poa sana .
Mita ni 1million meaning hakupata cash price was 1m odi challenge
Mbna reaction za kiba utuletei
Mita ni 1million
ruclips.net/video/Ra5U6VkE1Rk/видео.htmlsi=vna9raK_pT7bw4UN🇰🇪💯
Meter ni 1MILLION
Jaba ni mirungi
Lakini sincerely speaking..Breeder bado hajafika Elisha Elai ki_flow na lyrics..labda jina tu
Huyu amechanganyikiwa tu anaponda wakenya wenzake mara anaponda marapper wa Bongo Sasa ataskizwa wapi.. Khaligraph alimtoa but mbeleni Ni bidii yake Breeder halali anasaka ma collabo daily toka usingizini acha lawama
Huyu ametumwa na wakazi aponde rapper wakenya kumanina zake hata hamuezi breeder LW shenziii
Kuna uko flani na kitu suwer
Nope Mita it's like a milioni katapilla aliyo win
Hamfiki breeder uyo mchizi
Bado afiki kwa breeder .... mistari ya kitoto ..
Labda yy n breezer
Mita ni million