RICH MAVOKO ATUA KUTOKA SA AMJIBU DULLY SYKES KUHUSU KURUDI WCB WASAFI 'SIJAKATAA' NGOMA HAZIPIGWI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 67

  • @eliassabbath2480
    @eliassabbath2480 3 года назад +23

    mbona baada ya jpm kufarik safari za wasani to usa zmekua nyingi sana au ile biashara imerud kwa kas

    • @0712939973
      @0712939973 3 года назад +1

      fact mzeiya

    • @kephaniajames4180
      @kephaniajames4180 3 года назад +1

      Hata mimi nashangaa

    • @texastexas2545
      @texastexas2545 3 года назад +1

      Unauliza ndevu uarabuni, pigia mstar nchi ya wapigaji sasahv.

    • @annahpsimon8376
      @annahpsimon8376 3 года назад +1

      @@texastexas2545ety unaliza ndevu uarabun nimecheka 🤣🤣🤣🤣

    • @musashaweji4835
      @musashaweji4835 3 года назад +1

      Umeona hee maana zilikuwa azipo

  • @Mkidke
    @Mkidke 3 года назад

    Rich mavoko aka billionaire kid .my favorite vocalist and lyricist. Bigup

  • @memphisadel9788
    @memphisadel9788 3 года назад +7

    Team mavoko 💪👆

  • @Iffa_saeed
    @Iffa_saeed 3 года назад

    Mavoko salute #🇰🇪

  • @denicegabriel6616
    @denicegabriel6616 3 года назад +9

    Mavoko kaza Ila ajitahidi kutafuta bench la ufundi😁

  • @astonymathews6136
    @astonymathews6136 3 года назад +9

    Kila msanii watanzania anakwenda south Africa kuandaa album mbona sisikii wakienda Iraqi kuandaa album 😂😂😂😂

  • @ethanethan4437
    @ethanethan4437 3 года назад +6

    Jina LA album inakuwa siri we kuma kweli

  • @jaygift1024
    @jaygift1024 3 года назад +1

    Kenyans are proud of you bro.... Karibu kenya. Acha vanny aendelee na ugomvi.

  • @BLUEM-iz1br
    @BLUEM-iz1br 3 года назад +2

    Mavoko try to look in Burundi 🇧🇮 also✊🏿

  • @djraseddyexclusive8176
    @djraseddyexclusive8176 3 года назад +1

    Kwanini hawashirikiyani na wasani wa Zanzibar na wasani wengine Tanzania 🇹🇿 kama kuna mashirikiano

  • @collinsgabriel3090
    @collinsgabriel3090 3 года назад +1

    Welcm back my broo

  • @rashidywadobwa2792
    @rashidywadobwa2792 3 года назад

    Richard mavoko nakubali

  • @shebbyabisai2901
    @shebbyabisai2901 3 года назад +3

    Mavoko karoge boya wew

  • @bahatimtatah5680
    @bahatimtatah5680 3 года назад +1

    Hakuna msanii hapo,msanii mwenyewe kutoa ngoma hadi mwaka

    • @sumadashsumadash7342
      @sumadashsumadash7342 3 года назад

      Toa ww wimbo kila dakika.

    • @raphapatrick2184
      @raphapatrick2184 3 года назад

      we utoa nyimbo ngap kwa mwaka bwege ww

    • @bahatimtatah5680
      @bahatimtatah5680 3 года назад

      @@raphapatrick2184 acha ufala wa kutukana mtu usiyemjua pimbi wewe ninauwezo wa kukufatilia na ukajutia mm cyo size yako

    • @raphapatrick2184
      @raphapatrick2184 3 года назад

      @Bahati mtata we unanijua au unaongea tu kuwa mwanamziki na ww tuone kama utatoboa kama hauna kitu cha kucoment unaacha tu halaf usilete habar za mtu kukujua kwan we unanijua

  • @lions7036
    @lions7036 3 года назад

    bro we love you more bro

  • @arichiiiekoei9533
    @arichiiiekoei9533 3 года назад

    Angusha kitu broo

  • @Mkombozi255
    @Mkombozi255 3 года назад +3

    Huyo jamaa kwa kweli kapisha na gari la pesa😂hapo ndo kafika Hakuwi tena baada ya hapo,anasikika akitoa nyimbo ikiishachuja na yeye anapotea.maisha sio fair kwa kweli😜

  • @immamk8467
    @immamk8467 3 года назад +2

    Nakubali

  • @omaryjuma8002
    @omaryjuma8002 3 года назад +1

    Uyu jamaa ajui kujibu maswali yupo yupo tu 😂

  • @vitumbawakayanda5988
    @vitumbawakayanda5988 3 года назад

    Siwaende na pakistani nako kuna wasanii kila muimbaji anaenda south siku hz why 😂😂😂

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 3 года назад +3

    Suala sio kusafiri kikubwa toa ngoma piga hatua bado uko nyuma sana usijidanganye, uli bugi kutoka WASAFI

    • @sumadashsumadash7342
      @sumadashsumadash7342 3 года назад

      Sio kila msanii lazima akae Wasafi ndio ahiti.....! Wee uliisha jiuliza Wasafi Bila Mboso Reyvan ingekuwa ktk haki gani kisanii..!! Wasafi no Uigizaji tu nakunitutuuuua kwa pesa lakini Upupu tu pale. Ila wee endelea kubakia Wasafi nadhano very Soon tutaskia Hits zako

    • @isaachayes9783
      @isaachayes9783 3 года назад

      @@sumadashsumadash7342 huo ndio wivu wa mkosaji, Haya tusubiri hiyo very soon ambayo mpaka leo imekua ni very long, watu wanaangalia brand ambayo teyari Imeshakua na fan base kubwa, Zuchu bila brand ya wasafi asingefika hapo kwa mda mfupi sana na sio kwamba ni muimbaji mahiri kuwa zaidi kina Ruby. Endeleeni kujifanganya

  • @chandenyatto2497
    @chandenyatto2497 3 года назад +3

    Mia

  • @Mryoram
    @Mryoram 3 года назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @wilbertthomas8357
    @wilbertthomas8357 3 года назад +8

    🤣😂nae ana mabordgurd

    • @minakhamiskhamisi6193
      @minakhamiskhamisi6193 3 года назад

      Ngoj nitafute pesa aki kumbeee nawez kuwa n bodyguard one ht km sitaki kushikwa hovy 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😜😜😜😜😜

    • @chichimloli5926
      @chichimloli5926 3 года назад

      Kaz ipo

    • @mgasa_tz
      @mgasa_tz 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣

  • @allenmark5824
    @allenmark5824 3 года назад

    Fanya kazi na kingkiba,utaenda mbali juu hicho ni chuo cha mziki ambao ww unaufanya

  • @mkilalutiv5274
    @mkilalutiv5274 3 года назад +1

    Mavoko mwenyew ansemaje

  • @salmymbaraka6909
    @salmymbaraka6909 3 года назад

    MaBodyguard

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 3 года назад +3

    TUKO busy na No body ya anjela samahani msituchanganyie mada

  • @stephenmatiko2585
    @stephenmatiko2585 3 года назад +1

    Tuombee Israel jameni

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 3 года назад

    TATIZO NYOTA

  • @Jumashadhil380
    @Jumashadhil380 3 года назад +2

    Usituambie June sisi Wewe Mjinga,, June Ndo Nini?

  • @Mkidke
    @Mkidke 3 года назад

    Rich mavoko aka billionaire kid .my favorite vocalist and lyricist. Bigup