Mashallah hakika mpo na bdii ya kuifikisha dini Allah aliyoiridhia. Allah awajalie kheri bighar hisabu dunian na kesho akhera. Allah Akbar awajalie afya njma pmj na familia zenu kwn nna imani wanawapa ujacr pia ktk kazi yenu anayeiridhia Allah Swt. Nawaombea wale wanaiona batil na wakaufuta uislam dini ya khaq. Napenda snaa jinc mnavyo utangaza dini yetu. Alhamdulilah binafc kuwa ktk ne'ema hii ya uislam. Jazakallah khari wajazaa. Amiiyn
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh,,, ustadhi nilikuwa nahitaji tafsir Quran kopi moja tu angalau ,,,kwa sababu kuna familia ya Babu mzaa mama wote waliritadi ispokuwa Babu na nyanya,,,Soo nilikuwa nahitaji nikawasomee huenda wakasilimu,,,,ukiwa unazo waeza nisaidia tafadhal
SWALI TU MWALIMU: 👉 Mnasemaje kuhusu Dr. Sulle Tz kusema adharani kwamba anamiliki majini na bado ni mwalimu wa kiislamu aliyeheshimika. 👉 Ametetea kwa hoja kwamba inaruhusiwa kwenye dini. ✍️ Je jambo hili ni halali kwenye dini?
Mashalla,Iam Jamila, Thankyou Straight path Dawah for this🎉
Kikuyu Muslim sisters are greatful.
Am proud of you Jamila swaleh❤
Mashallah my sister Jamila
As.alykum mrs jamila wanjiru nikwega...ni furaha sana kuona jinsi uislamu unavo sambaa...UISLAMU NI DINI YA WATU WOTE
Ramadhan in mombasa...Allah akufanyie sahali na akupe nguvu na ilmu na subra na Allah akujaalie IKHLASW....aaaaminaaa
amiin thuma amiin
Ma sha Allah tabaraka Rahman dada Jamila Allah amemuogoza alhamdulillah
Mashallah dada amependeza na mungu akuongoze katika dini ya uisilamu
Masha Allah, dada yetu jamila amependeza mno
Masha ALLAH nakubali sheik uko home sweet home. Maslimiye sana Abu Shurim.
M.a sheikh Ramadan Allah yabarak fiih
Shukran sana
Assalamu Aleikum mfike Mandera County insha Allah.
3:53 MashAllah jamila ❤
Jamla.mwanangu.nimekupenda.sanaa
Mashallah!courageous jamila ❤
Masha Allah our own jamila❤❤❤
Mashallah hakika mpo na bdii ya kuifikisha dini Allah aliyoiridhia. Allah awajalie kheri bighar hisabu dunian na kesho akhera. Allah Akbar awajalie afya njma pmj na familia zenu kwn nna imani wanawapa ujacr pia ktk kazi yenu anayeiridhia Allah Swt. Nawaombea wale wanaiona batil na wakaufuta uislam dini ya khaq. Napenda snaa jinc mnavyo utangaza dini yetu. Alhamdulilah binafc kuwa ktk ne'ema hii ya uislam. Jazakallah khari wajazaa. Amiiyn
MashaAllah
MashAllah uhkty Jamila ❤
Masha Allah
Allah u Akbar
Jazakallahu dada Jamila
Ma sha Allah tabarkallah
ALLAHU AKBAR ❤
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
Mashaa Allah
Mashallah
Masha ALLAH ❤ ♥ 💖 🎉🎉🎉
Mashallah ukienda kwa Dawah Mtaani...please waeleze umuhimu wa Salah, Sadaqa na undugu
Mashallah atawawezesha muzidi kuilimisha
Mashaallah Allha 💖
Takbir ,takbir ,takbir....
Allah awalipe shifa
Mashallah ❤
hayo ndio majiko.si na sisi tupate
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh,,, ustadhi nilikuwa nahitaji tafsir Quran kopi moja tu angalau ,,,kwa sababu kuna familia ya Babu mzaa mama wote waliritadi ispokuwa Babu na nyanya,,,Soo nilikuwa nahitaji nikawasomee huenda wakasilimu,,,,ukiwa unazo waeza nisaidia tafadhal
Hukumu ya ulevi inaanzia kwa mtengenezaji, mtengenezaji wa mkokaa atahukumiwa?
Huo ni ubishi usio wa kielimu
Sauti haisikiki
Hakuna sauti
Ipo fungua tena au usubiri kidogo
Maswali ni ajab ajab tu😮😮😮
Hao vijana wanataka kuelimishwa zaidi kuhusu mihadharati naona wengi wao wameathirika
Unatumia vibaya dini kwa mukukaa
Uyo amepingwa mhuri
Sister jamila mashallah
Eti, "hakuna Mke anaye weza kusema ye sio Mwema", what kind of questioning is that?
Ww waweza kusema kuwa ww sio mwema???? Kwanza tuliza ufahamu wa kuskiza kabla kujibu
Sikiliza mazungumzo Kwa utulivu usiwe mwenye kutafuta kosa au kukashifu
Hajauliza swali Kwanza pili amesema hakuna mke atasema yy sio mke mwema ndio ukweli huo
Dini ni roho yako mwenyewe sio nguo.Kuna ndugu yangu alisilim uko udigoni(Likoni) yapata miaka 12 na hajaenda nyumbani bara kabisaa.
Inafaa tumtafute😅
Sasa kutokwenda nyumbani na uislam unaingiana vipi
@@user-qe4wg7xd7o Ukioa mdigo wewe kwenu sahau
SWALI TU MWALIMU:
👉 Mnasemaje kuhusu Dr. Sulle Tz kusema adharani kwamba anamiliki majini na bado ni mwalimu wa kiislamu aliyeheshimika.
👉 Ametetea kwa hoja kwamba inaruhusiwa kwenye dini.
✍️ Je jambo hili ni halali kwenye dini?
Asalam alaykum sheikh Ramadhan. .naonmba lile andiko linalosema hapo kanisani ndio kwenye kiti cha enzi cha shetani
Ufunuo 2:12
3:53 MashAllah jamila ❤
MashaAllah
Mashallah
MashaAllah