#live

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 ноя 2024
  • #2024mwakawakutembeachiniyambinguzilizofunguka #arisendshinetanzania
    #tanzania #daresalam #afrika #afrikamashariki #ariseandshine #AFRICA#tanzania #dar #tanganyika #ubaloziwambinguni
    Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
    From Arise and Shine Tanzania.
    WATCH ARISE AND SHINE TV
    AZAM CHANNEL 469
    STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.

Комментарии • 53

  • @SabinaAssamoMenha
    @SabinaAssamoMenha 2 дня назад +4

    Naomba nimpate mume mkamilyfu na kazi na pesa pia maombi yangu afike kwako mtumushi amém

  • @realemma2312
    @realemma2312 День назад +1

    Naomba rehema ya Mungu juu yangu na familia yangu

  • @AsiaRamadhan-dr2uu
    @AsiaRamadhan-dr2uu День назад

    Kesi yako imekwisha amen 🙏 amen 🙏

  • @restutakizilla5170
    @restutakizilla5170 2 дня назад

    Naomba uzao wa watoto wangu wangu wafunguliwe Amen

  • @HafsaMussa-b2k
    @HafsaMussa-b2k День назад

    Mungu nijalie nipate kazi kirahisi

  • @IssahLupanda
    @IssahLupanda 2 дня назад

    Mungu naomba unisikie kilio changu niajiliwe na halmashauri ituajili amina

  • @realemma2312
    @realemma2312 День назад

    Kila njonz mbaya yote nateketeza Leo katika jina la Yesu

  • @LucyLugutu-ys7sk
    @LucyLugutu-ys7sk 2 дня назад

    Naomba mungu familia yangu ifunguliwe

  • @LaguuGella
    @LaguuGella 2 дня назад

    Mungu naomba unisote na maadui mungu kitabu Cha warumi kikawe tiba kwangu dhidi ya maadui wachaw mashetan mapepo nafunga madhabau ya kuzimun kwa jina la yesu na Damu ya dhaman

  • @PlakisedaJaphety-p5r
    @PlakisedaJaphety-p5r День назад

    Mungu nisaidie kesi zangu ziishe

  • @PatrickMwamwanyeta
    @PatrickMwamwanyeta День назад

    Mungu naomba nipate pk pk ya mkataba kilahisi 1 biashara yangu ifungulie 2 niunganyishe na watu sahihi 3 nomba nipate mtaji mkubwa4 mwakani nijenge 5 nifungue duka 6 nataka nilipe madeni kilahis 7 mungu wanipe madeni kilahisi nawo wadahi 8 fungua familia yetu mapepo mabaya 9 kaka yangu Yuko Zambia naomba Anunuwe Gali 10 naomba nije ninuwe Gali yakutembelea 11 dadaang pacha namuombea ainuke nakuwangaza apate biashara dadaang anauza dagaa biashara yake a
    iweinatembea mda wote munde mama yangu baba 12 ameni🔥🔥🔥🔥🔥

  • @NyomolageHashimu
    @NyomolageHashimu 2 дня назад

    mungu mfungue mdovo wangu baraka kamuli aweze kufauli mtihan wake wa form 4 utakaoanza kesho tarehe 11

  • @IssahLupanda
    @IssahLupanda 2 дня назад

    Mungu nifungulie uzao mibaraka amina

  • @LaguuGella
    @LaguuGella 2 дня назад

    Mungu ujibuye maombi naomba unipe ufauli kadri wewe utakavyo penda .shusha moto kwa watesi wangu wote Bwana kesi yangu imekwisha kupitia jina la yesu na Damu

  • @janethpeter2078
    @janethpeter2078 2 дня назад

    Naomba mtaji wangu ukue nipate wafadhili

  • @VerroAloisi
    @VerroAloisi 2 дня назад

    Mungu niletee niweze kufaulu mtihan wang utakaoa tareh11

  • @realemma2312
    @realemma2312 День назад

    Mungu naomba kaweke uliz Kwa kaka yangu Tobias mwepushe na mabaya yote

  • @ErickNgoda
    @ErickNgoda 2 дня назад

    Naomba mungu biashal a langu ifunguliwe

  • @janethpeter2078
    @janethpeter2078 2 дня назад

    Naomba ninuliwe uchumi wangu kwa ujumla

  • @BernardMwalubandu
    @BernardMwalubandu 2 дня назад

    Mungu naomba umponye mwanangu brian apone

  • @SharifaMohamed-r4c
    @SharifaMohamed-r4c День назад

    Naomba nifungue madeni yaishe na nyumba yangu iweze kuisha kiurahisi

  • @AsiaRamadhan-dr2uu
    @AsiaRamadhan-dr2uu День назад

    Napokea 🖐️✋✋🖐️🔥🔥🔥

  • @MwanaidiKizeve
    @MwanaidiKizeve 2 дня назад

    Naomba uzao wangu kufunguliwa na kupata uponyaji wa afya zao

  • @AsiaRamadhan-dr2uu
    @AsiaRamadhan-dr2uu День назад

    Amen 🙏

  • @anteriusalex
    @anteriusalex 2 дня назад

    Amen

  • @RaymondKawala-hy9qx
    @RaymondKawala-hy9qx 2 дня назад

    Amen amen

  • @AsiaRamadhan-dr2uu
    @AsiaRamadhan-dr2uu День назад

    Usiongope amini tu usiongope amini tu usiogope amini tu

  • @AnnaSilwimba
    @AnnaSilwimba День назад

    Mungu nawomba FUTA agano zawuchawi kwenye nyumbani kwangu ,watoto zangu at kwenye familia yeti FUTA

  • @janethpeter2078
    @janethpeter2078 2 дня назад

    Naomba nyota yangu ifunguke kiurahis

  • @AsiaRamadhan-dr2uu
    @AsiaRamadhan-dr2uu День назад

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮 amen 🇳🇬🇳🇬🇳🇬🙏 amen 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 amen 🙏 amen 🙏

  • @janethpeter2078
    @janethpeter2078 2 дня назад

    Naomba nipate hela kesho faza anitumie

  • @PrincesG-v3q
    @PrincesG-v3q 2 дня назад

    amina

  • @janethpeter2078
    @janethpeter2078 2 дня назад

    Naomba nipate hela ya kufungashiaia simpo

  • @MwanaidiKizeve
    @MwanaidiKizeve 2 дня назад

    Naomba nifunguliwe kiuchumi na alama zote mbaya ziteketezwe na moto wa roho mtakatifu

  • @AsiaRamadhan-dr2uu
    @AsiaRamadhan-dr2uu День назад

    Napokea

  • @AsiaRamadhan-dr2uu
    @AsiaRamadhan-dr2uu День назад

    Asate mungu wagu

  • @AnjelikaMahenge
    @AnjelikaMahenge 2 дня назад

    Amina

  • @AsmaMasaninga
    @AsmaMasaninga 2 дня назад

    Saut

  • @YusterJosephat
    @YusterJosephat 2 дня назад

    Wanao dai naninawo wadai

  • @janethpeter2078
    @janethpeter2078 2 дня назад

    Mateni yaishe

  • @janethpeter2078
    @janethpeter2078 2 дня назад

    Josefu atembee

  • @AndrewMsml
    @AndrewMsml 2 дня назад

    Tuko pamoja

  • @zakariakapinga9862
    @zakariakapinga9862 2 дня назад

    sauti jamani

  • @janethpeter2078
    @janethpeter2078 2 дня назад

    Nataka maden yatoweke yote

  • @janethpeter2078
    @janethpeter2078 2 дня назад

    Mtoto atember

  • @janethpeter2078
    @janethpeter2078 2 дня назад

    Na dada wanitumie

  • @HendryNdunguru
    @HendryNdunguru 2 дня назад

    NOMBA nipate Hela 2 niwe na nyumba 3 nipate kazi 4 niwe na gari 5mke abadike 6 niowadai wanilipe 7 watoto wapate kazi 8 niwe mtulivu na kuzitunza Hela 9 nipate pikipiki 10 nipate mifugo nhbe na mbuzi 11 niwe na mashamba 12 niweze na malinyingi

  • @AndreTomeAlide
    @AndreTomeAlide 2 дня назад

    Amém

  • @anteriusalex
    @anteriusalex 2 дня назад

    Amen