Mnazidi kuigusa mioyo ya watu wa Mungu kwa namna ya kipekee sana. Hakika tunatakatifuzwa kwa utume wenu uliotukuka, Mungu azidi kuwapa nguvu ya kufanya kazi yake kwa weledi, kusudi tuzidi kupata wokovu kupitia injili na mwisho sote tufike mbinguni katika furaha iliyo kuu kupita zote🎉
Congratulations to you all Tumaini Swai pale kwa kinanda 🤩🤩. Sound engineer Ray Ufunguo kafanya ile kitu 👌👌👌. Director Mdete, no words boss, yaani exemplary 🎉🎉. And the team as a whole. Hongereni sana. 🥰🥰🥰🥰
Kazi safi, wimbo mzuri huu
Asante sana
Mnazidi kuigusa mioyo ya watu wa Mungu kwa namna ya kipekee sana. Hakika tunatakatifuzwa kwa utume wenu uliotukuka, Mungu azidi kuwapa nguvu ya kufanya kazi yake kwa weledi, kusudi tuzidi kupata wokovu kupitia injili na mwisho sote tufike mbinguni katika furaha iliyo kuu kupita zote🎉
Amina
Sichoki kuuskiza na kuutazama huu wimbo..... Haswaa mashairi yanapendeza kweli 💯✨🎵🎶 tumeuona wokovu hakika 🥰
WanaBonifasi nawapenda sana nitakuja kwaajili yenu ❤❤❤ mnanifurahisha kulko kawaida Swai shikamooo 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥😅🔥🔥
Karibu sana kaka Jonta
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri ya uimbaji
Mbarikiwe sana...🙏
Ray,Tumaini,mdete and team as large💯🙏🙏
Amen
Kazi safi sana.
Mungu abariki.
Amen
Huu wimbo yaani. mbarikiwe sana 💖
Hakika wokovu umeonekanaaaa❤
Amen
Hakika mwafariji mioyo iliyovunjika.
Hongereni saaaaaana ❤
Tumaini Swai hongera kwa kazi nzuri sana pia.You are a blessing
Hongereni sana kwa kazi nzuri.You have done great Job!
Hongereni sana kwa kazi nzuri. Mungu azidi kuwabariki!
Amina
❤Nzuri kabisaa.. ujumbe umefika nyumbani.
Asanteeee
Hakika Wimbo mzuri Sanaa 🎉
Hongereni sana Mungu azidi kuwapa nguvu zaidi
Amina
Mshangilieni bwana nchi yote imbeni kwa furaha hongereni sana
Asante sana
N abarikiwa sana na huu utunzi makini
Congratulations....ever best
Thanksbe to God the most High
Daima katika ubora🔥👏
Asanteee
Kazi safi
Asante sana
Hongeren sana👌👌👏
kazi safi sana haowana soprano mungu awazidishie sauti hizo zizidi kumuimbia mungu
Amen
Hongera sana mpangilio safi
Hongereni saana wimbo mzuri saana,
Asante sana Monica
Hongeren sn Kaz nzur❤❤
Asante sana
Tumsifu Yesu Kristu.
Hongereni sana.
Asante sana
Milele Amina. Asante sana
hongera sana Sombetini
Sauti nzuri sana 🔥waimbaji wote wameutendea haki wimbo huu na wanaimba kwa hisia kabisa Hongera sana kwenu
Ahsante sana
Asante sana dada Anne
Wimbo Bora kabisa
Amen
Amazing❤❤ Barikiweni sana wapendwa
Amen
Amina barikiwen saana
Asanteeeee
So super
Mungu awabariki
Kazi ntamu sana nazo sauti
Asanteee
I don't know whether it's me or but always sound engineer for me 100❤🎉
@alubogladys3077. Be blessed.
You are right
Hongereni saaana kwa WIMBO mzuri
Asante sasa mdau
Asanteeeee
Congratulations to you all
Tumaini Swai pale kwa kinanda 🤩🤩. Sound engineer Ray Ufunguo kafanya ile kitu 👌👌👌. Director Mdete, no words boss, yaani exemplary 🎉🎉.
And the team as a whole. Hongereni sana. 🥰🥰🥰🥰
Asanteer
🔥🔥🔥
Asante sana dada Felistas Mburugu
❤❤❤safi sana,,,,
Asante sana
Kazi nzuri saana❤❤
Asante sana
Mungu wetu azidi kuwanemesha Katika yote.
Amen
Mnazidi kunoga tu MUNGU AENDELEE KUWABARIKI
Amen
🎉🎉🎉
Karibu
Perfect, watu wangu
Mfuasi ufuasini😁
Asanteee
Wimbo mzuri sana, hakika tumebalikiwa ❤
Endeleeni kubarikiwa
Nimebarikiwa sana na wimbo huu
Amen
Hongereni sanaa kwa kazi nzuri mnaoifanya
Asante sana
❤❤❤
I have listened to it this is the 4th time. ❤
Amen
Very nice song ❤❤
Thank you
Safi❤
Asante
Hongereni sana
Asante sana
Nice😊
Amen
❤
🌹
Tremendous✨
Thanks
❤❤❤❤
💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wow..what a wonderful song.!!!
Amen
Tanto bella 🎉🎉🎉❤
Stupenda
Nota
Ingia Swahilimusicnotes kaka
Kazi safi
Amen