Lody Music - Kubali Lyrics Video | Unayempenda kampenda mwengine, huyo mwengine naye ana mwengine...
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- [Lyrics]
[verse 1]:
Yeah! Unalewa nini?
Wakati mwenzako ameshakuacha
Yaani hakutaki tena
Unampigia nini?
Akiona namba yako tu anakata
Huyo sio wako tena
Hata usiwaze kulipiza kisasi
Kwa vijembe vingi huko status
Kwenye moyo wake huna nafasi easy
Tena usiwaze kujipiga risasi
Usijinyonge usijigasi
Kwenye moyo wake huna nafasi easy
[chorus]:
Usilazimishe
Utazeeka vibaya
Asikulazimishe no no no
Unaenda mishe mishe
Ndani analeta malaya
Asikubabaishe ooh! yeah yeah eh
Amekuacha we, umeachwa
Kubali kubali
Utampata wako mtapendana, kwa dhati
Amekuacha we, umeachwa eeh!
Kubali kubali
Aah! Mapenzi yanauma eh
[verse 2]:
Unayempenda kampenda mwengine
Huyo mwengine naye ana mwengine
Mwengine naye kapendwa na mwengine
Moyo sukuma damu sio mashine
Yanakuumiza na pengine
Hauna budi kumpenda mwengine
Mapenzi joto joto usipime
Moyo sukuma damu sio mashine
Penzi kiza kinene kiroho mbaya
Yanatesa tena vibaya
Ukitenda una retire ah!
Labda hufiki kina mapenzini
Ndo maana unaachwa matatani
Hufiki kina mapenzini (Mapenzi mapenzi)
[chorus]:
Usilazimishe
Utazeeka vibaya
Asikulazimishe no no no
Unaenda mishe mishe
Ndani analeta malaya
Asikubabaishe ooh! yeah yeah eh
Amekuacha we, umeachwa
Kubali kubali
Utampata wako mtapendana, kwa dhati
Amekuacha we, umeachwa eeh!
Kubali kubali
Aah! Mapenzi yanauma eh
(Lody Music on this one)
Kama unapenda hii nyimbo finya like
Uwa kali 🎉
Enyewe mapenzi si ya kila mtu mapenzi ww ❤❤😢 unatuumiza vibaya
Because I ❤ her i can not let he her go just like that it hurts crying
Laaaaa...ungekuwa muchungaji Basi lody Inge itwa Nabi wa mapenzi...I like
You are right
@@mugishocroyance4081 🤣🤣🤣🤣xo funny
Kweli mapenzi Yana uma
brow
Yanauma😢
Nice one
Thank you
Best of the year. Keep it up ❤❤❤
Waah
Painful
Love hurts !!
This song touched me 💕😭😭😭
Am very glad it did
Nice one,here 4rm ug.
Oh wow jaman ngoma kali xn hain bay
Usiwaze izee
I LOOVEE this!! keep up the good work man the lyrics video is PEERFEECT!!!!
Thank you so much
😮😢😢😢😢😢 hii song inanitouch mazee
😢😢utazeeka vbaya aiseeeh😢
Yani nimeria mpaka basi umenitouch mno😭😭😭😭😭
Mapenzi yanauma😢
Nice music ❤
❤such nice song
😭😭😭 mapenzi yanauma
Njoo ukweli
Waah noma sana 😢😢
😭😭😭😭staki mapenzi tena
❤❤
Bado nalia but nishakubali roho safi juu alioa na kupiga simu akampa bbi yake nilikubali kushindwa
😢usijali yapo mengi mazuri mbele, Mungu siku zote
This song can make someone cry😢
Am hear becoz of heartbreak but kuwatch hii songci thing sai nimeheal😢😢😢😢😢😢
waaa mapenzi yanatesa
Mimi nimeachwa😢
Mapenzi anauma sana tena sana
Weeeh mapenzi Ina wenyewe
Hiyo imeenda
😢 what a beautiful song ❤❤😂😭🥹🥲
Unasema ukweli
Hii ni wimbo ya 14 February😢
Uzimlazimishe asije kupenda
Beautiful song
Uligonga dpo 😢
Yana tesa mapenzi
Mapenzi nyoko
LOVE IS PAINFUL
No forcing anymore when it doesn't work leave,leave look for a better person
Yeah that’s true
Its not that easy😢
Nice one❤
Mapenzi yanauma😭😭😭
😔😢😭😭😭😭mapenzi yanauma saaaaaaaaaaana😩😫😫😫😫😫
Niliachwa na mpenzi wangu nilie mpenda kupita maelezo mwaka mmoja ulio pita 2023 /10/ hadi ivi nina mpenda sana tu 2024 /11/ aliniacha na kunambia tuachane, ila hii song nikama ina nipa funzo
Love is hard to understand,
😢😢😢😢😢inaum aisee
I love this song 😢😢😢😅😅😊😊😂❤🎉🎉😅😊
Wacha moyo usukume damu sasa nimechoka😭😭😭😭😭💔💔😭
Good song
😢😢😢😢😢😢unampigia nn aaaah.....
❤❤🔥🔥
Kweli nimetambua Ivo ndo ilivyo
Bro naomba support yako
Unayempenda kampenda mwingine 😭😭😫😫😫😫
2024 MPO APA
Mapenzi no
😢😢😢😢2024 wewe
💔💔😁😭😭😭l. , love 💕 mlove you have to do is be your own place 😜
Asikubabaishe huyo mpuzi
Nice one song, & a touching heart, how do I download this beautiful song please listening from Kenya.
Don't believe in love my friend 😢😭😭😭💔💔💔
Very true but 😢😢
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂 wow
❤
🔥🔥🔥🔥
Nc song
😢😢😢😢🥺🥺🥺
😭😭🙌
😭😭😭😭😭🙌🙌
Akii😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
No forcing issues
Yeah unless you want to get really hurt
😭😭😭😭😭😭😭😭
😢😢😢😢
😭😭😭
Today
😮😢😅😅😅😢😮
Nice one
😢😢😢😢
😢😢😢😭😭😭
😢😢😭😭😭😭😭
😭😭😭
😭😭😭😭
😭😭😭😭