![Core lyricist](/img/default-banner.jpg)
- Видео 13
- Просмотров 411 244
Core lyricist
Добавлен 9 мар 2023
Lody Music - Kubali Lyrics Video | Unayempenda kampenda mwengine, huyo mwengine naye ana mwengine...
[Lyrics]
[verse 1]:
Yeah! Unalewa nini?
Wakati mwenzako ameshakuacha
Yaani hakutaki tena
Unampigia nini?
Akiona namba yako tu anakata
Huyo sio wako tena
Hata usiwaze kulipiza kisasi
Kwa vijembe vingi huko status
Kwenye moyo wake huna nafasi easy
Tena usiwaze kujipiga risasi
Usijinyonge usijigasi
Kwenye moyo wake huna nafasi easy
[chorus]:
Usilazimishe
Utazeeka vibaya
Asikulazimishe no no no
Unaenda mishe mishe
Ndani analeta malaya
Asikubabaishe ooh! yeah yeah eh
Amekuacha we, umeachwa
Kubali kubali
Utampata wako mtapendana, kwa dhati
Amekuacha we, umeachwa eeh!
Kubali kubali
Aah! Mapenzi yanauma eh
[verse 2]:
Unayempenda kampenda mwengine
Huyo mwengine naye ana mwengine
Mwengine naye kapendwa na mwengine
Moyo sukuma da...
[verse 1]:
Yeah! Unalewa nini?
Wakati mwenzako ameshakuacha
Yaani hakutaki tena
Unampigia nini?
Akiona namba yako tu anakata
Huyo sio wako tena
Hata usiwaze kulipiza kisasi
Kwa vijembe vingi huko status
Kwenye moyo wake huna nafasi easy
Tena usiwaze kujipiga risasi
Usijinyonge usijigasi
Kwenye moyo wake huna nafasi easy
[chorus]:
Usilazimishe
Utazeeka vibaya
Asikulazimishe no no no
Unaenda mishe mishe
Ndani analeta malaya
Asikubabaishe ooh! yeah yeah eh
Amekuacha we, umeachwa
Kubali kubali
Utampata wako mtapendana, kwa dhati
Amekuacha we, umeachwa eeh!
Kubali kubali
Aah! Mapenzi yanauma eh
[verse 2]:
Unayempenda kampenda mwengine
Huyo mwengine naye ana mwengine
Mwengine naye kapendwa na mwengine
Moyo sukuma da...
Просмотров: 379 141
Видео
BIEN - INAUMA | DIMENSION mashup lyrics video
Просмотров 2,5 тыс.Год назад
#sautisol #lyrics #mashup #bien #inauma #dimension
Yatapita - Diamond Platnumz lyrics video
Просмотров 16 тыс.Год назад
#yatapita #diamond #platnumz #lyrics lyrics: [chorus]: Yatapita yana mwisho Ipo siku tutayasahau Watatuheshimu walio tudharau Kaza moyo, nivumilie Amini tutayasahau Watatuheshimu walio tudharau (Wote) Na ntakununulia (Vyote) Mawigi na simu (Vyote) Ntakuzawadia (Vyote) Pochi zenye thamani (Vyote) Nawe uende waringishia (Vyote) Utembee kwa uskani (Vyote) Na vioo ukiwafungia (Vyote) verse 1: Aloiu...
Zuwena - Diamond Platnumz
Просмотров 1,8 тыс.Год назад
#Zuwena #diamond #lyrics Lyrics: [Verse 1]: Mnh! Habari gani kaka naamini unanisikia Mi mzima wa afya mama mungu anasaidia Toka ulipotuacha mahututi anazidiwa Bibi presha presha nae akatangulia Bado twakuombea ulale salama pema Japo moyoni nna dukuduku Natamani kusema, niseme eeh Zile mali wosia ulizotuhusia Tuligawa salama Zuwena zote tukampatia Tusiwe ndugu lawama Ila... Zuwena kaka, amebadil...
Jay Melody - Sawa Lyrics video
Просмотров 3,5 тыс.Год назад
#jaymelody #sawa #lyrics Jay Melody - SAWA Lyrics: [Verse 1] Mapenzi tu, Nimepagawa hamjui Ye kila mara ananifanya silali Namwaza yeye tu Anayeweka roho yangu juu Ana utoto tu Sema uzuri ananipaga asali Mi nailamba tu [Bridge] Na penzi letu ni kama sunna Na ulinzi kama suma Hata akinuna Bado unapendeza mchumba Mkimuona ananichuna Msinionee huruma Cha mtu huliwa na mtu Kutu yake chuma [Chorus] B...
Rihanna Lift me Up Oscars 2023 Full Performance lyrics
Просмотров 105Год назад
#Rihanna #Oscars2023 #liftmeup #performance
Superwoman - Nadia Mukami ft Brandy Maina, Avril, Pryshon, and Wahu Lyrics
Просмотров 462Год назад
#superwoman #nadiamukami #lyrics
Zuchu - Napambana (lyrics video)
Просмотров 1,6 тыс.Год назад
#zuchu #wcb #napambana #lyrics Zuchu - Napambana Lyrics: Naamka asubuhi, sina hata buku shi ndala Cha kukila sijui, bora hata pa kulala Chumbani matandabui, mende wamefanya utawala Na mjomba panya haelewi, riziki yake hasara Eh kwachakwacha, nakwenda nakwenda Sijakubali kudoda hii ngoma haisambii Na ndoto za alinacha, sijapenda sijapenda Aliekupa kigoda, mi atanipa kumbi Eh nipate ntoke patupu ...
Kaskie Vibaya Fathermoh ft Ssaru Lyrics Video
Просмотров 5 тыс.Год назад
Kaskie Vibaya Lyrics : [ Bridge : Fathermoh] Chemichemi za uongo Story za jaba ndio utingize ubongo Ndio ubebe ka wale tikiza kamongo Bariba riba raba ana maringo (Ringooo) [Chorus ] [ ; Fathermoh] Niko na pesa kushinda babako Kaskie vibaya huko kwenu Kaskie kaskie Kaskie vibaya huko kwenu Ayi wewe Kaskie vibaya huko kwenu [ ; Ssaru] Anha Niko na pesa na ni za babako Kaskie vibaya huko kwenu Ka...