RayVanny _ Vumilia (Instrumental beat)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 ноя 2024

Комментарии • 8

  • @BeatwestSalima
    @BeatwestSalima Месяц назад

    ❤❤❤❤

  • @josephinedavies2214
    @josephinedavies2214 4 года назад +3

    The best ever

  • @HawaHawa-gq8jh
    @HawaHawa-gq8jh 2 года назад

    Reivani meri biti

  • @charlesased
    @charlesased 4 года назад +1

    LYRICS
    It's bob manecky
    Iyeee yeiyee eenh(AM records)
    Mmmh
    Verse 1.
    Iwe kibatari ama mwanga wa mshumaa,kwenye kigiza cha jionii.
    Pika dona ngang'a enh tulishushie na dagaa,ukisha toka sokoni.
    Kisha tufunge safarii itayochukua masaa,utokwe jasho mgongonii.
    Na venye namachacha ee,nikikushika kibaha utamu hadi kinondonii.
    Bridge:
    Kuna muda nawaza hivi nitakupa nini,sina mbele sina nyuma masikini.
    Chakula shida na tunalala chini niambiee.
    Wenye mapesa,Vogue na maramboghini wasije fanya ukanipiga chinii.
    Bado nawaza hivi nitakupa nini utuliee.
    Sambusa,kacholi bamia eeh aaah tukipata pesa ni sangaraa.
    Mchicha,mtori,bamia eeh aah kama tukikosa tunalalaa.
    Chorus:
    Kwa hiyo mama usijalii(Vumiliaa)
    Iyeee vu-uumilia,Iyeeiyee (Vumilia)
    Kesho tutapata mupenziii iii.
    Vumilia(Vumilia),vu-uumilia Vumiliaaaa(Vumilia).
    Kesho tutapata mupenzii.
    Verse 2.
    Najua unatamani high west,make up,weaving za Dubai na China.
    Ule pamba nyepesi set up,cheni ya dhahabu yenye jina.
    Oooh ooh basi mama vumilia,nakupigania mpenzi subiria.
    Ooh ooh acha kujiinamia,punguza kulia atatusaidia.
    Eti mapenzi si moyooo,mapenzi ni pesa kama kweli masikini yatatutesa.
    Uchoyoo usinipe presha naomba unipendee.
    Bridge:
    Kuna muda nawaza hivi nitakupa nini,sina mbele sina nyuma masikini.
    Chakula shida na tunalala chini niambiee.
    Wenye mapesa,Vogue na maramboghini wasije fanya ukanipiga chinii
    Bado nawaza hivi nitakupa nini utuliee.
    Sambusa,kacholi bamia eeh aah tukipata pesa ni sangaraa.
    Mchicha,mtori,bamia eeh aah kama tukikosa tunalalaa.
    Chorus:
    Kwa hiyo mama usijalii(Vumiliaa)
    Iyeee vu-uumilia,Iyeeiyee (Vumilia)
    Kesho tutapata mupenziii iii.
    Vumilia(Vumilia),vu-uumilia Vumiliaaaa(Vumilia).
    Kesho tutapata mupenzii.
    ENJOY GOOD MUSIC 🎵🎶💗

  • @boonchannels8707
    @boonchannels8707 Год назад

    Very nice. Hey Papa Dope pro am Boon Uganda.. I wanna connect with you..

  • @prinsesmodester4523
    @prinsesmodester4523 4 года назад +1

    We love you rayvanny