ABDUL NONDO NA MOHAMMED KAWAIDA WANYUKANA KWA HOJA KWENYE MDAHALO WA VIJANA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 май 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►RUclips: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Комментарии • 38

  • @aloyceponela3249
    @aloyceponela3249 20 дней назад +3

    Safi sana upo vinzur katibu wetu vijana

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 18 дней назад

      Nusrat Hanje mwenyewe ni sellout inayotokana na chaguzi chafu..anawezaje leo kujadili uchaguzi safi wkt yupo bungeni kwa mlango wa uhani??

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 22 дня назад +5

    CCM HAKIKA haitakuja kutoa nafasi ya katiba mpya, wanajua wazi kuwa pindi katiba itakapobadilika hawawezi kuwepo kwenye kuongoza Nchi. La pili, katiba mpya ikipatikana CCM inaogopa madai ya mengi mabaya ambayo imeyafanya ikiwa ni pamoja na kupitisha mikataba ya hovyo inayo liangamiza taifa hili, pamoja na ubadhirifu wa rasilimali za Nchi na fedha. Kwa sababu hizi tu chache ndizo hupelekea ccm kukataa kutengeneza katiba ingine. Na mwisho ung'ang'anizi wa kuwa kwenye Mwuungano ambao hauna tija na Tanganyika.

    • @JacksonFrances
      @JacksonFrances 20 дней назад +1

      Kwahiyo Ndo Umeshasalenda Tiyari!!
      Lazima Vijana Tuamke Tupiganie Taifa Letu Acheni Kulala na Uwoga Usio na Maana "

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 16 дней назад

    Asate sana
    Wanasikia lakini mmmmm ccm mungu anawaona

  • @user-uq5vm2ge4q
    @user-uq5vm2ge4q 22 дня назад

    Point

  • @MuhojaMalicho
    @MuhojaMalicho 22 дня назад +3

    Ww unasitaili kuwa chadema njoo chadema

  • @user-rh5yn3bc1o
    @user-rh5yn3bc1o 21 день назад

    Totoic lyrics

  • @user-eo4bl3do8k
    @user-eo4bl3do8k 21 день назад +2

    NI UASANII TU ,ATI MGENI RASMI MAJALIWA HAO HAO NDIO WANAOMINYA KATIBA MPYA HAO HAO WANAKUWA WAGENI RASMI ,kweli Tanzania ni nchi iliyokuwa watu wake kama mandondocha

  • @objstv6976
    @objstv6976 22 дня назад +2

    Nondo yuko vzur sana ila kama hauna D mbil huwez elewa

  • @princearjun5488
    @princearjun5488 22 дня назад +2

    Katiba mpya ndo inayo takiwa ubabaishaji wenu wakipumbavu hata pwent zenu watu wa ccm hazina maana yoyote katiba ndo inayo tumika nchi nyingi nyie mnakata katiba ili muendelee kunyanyasa watu wapuuz nyie

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 22 дня назад +3

    Abdul Nondo Piga NONDO Mpaka Mifumo Kandamizi iondoke Maaana CCM Wametufikisha Pabaya Mabadiliko Ni Sasa Maana wenzetu CHINA vs TAIWAN,,
    TANZANIA vs ZANZIB,
    ISRAEL vs PALESTINA
    RUSSIA vs UKRAINE
    Mabadiliko Ni Sasa HATUTAKI MUUNGANO KANDAMIZI na HATUTAKI KATIBA MBOVU YA CCM IMETUFIKISHA PABAYA "

  • @beatusmajumbi7125
    @beatusmajumbi7125 22 дня назад +1

    Vijana wa ccm nao wamerithi kusifia wakati vijana wa upinzani wamejikita kwenye kujenga hoja,tulipo haparidhishi

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 21 день назад

    Vijana wa ccm na wapizani nitofauti sana sawa na A na z

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes 22 дня назад

    Viti maarumu kwa vijana siungi mkono maana hapo watateua watoto zao na nashemeji zao ni bora vijana wapiganie nafasi wenyewe, au ajira za majeshi ziongezwe pasipo na vigezo vya elimu ili kila kijana apate fursa ya ajira,

  • @user-hf9kp7ys2h
    @user-hf9kp7ys2h 22 дня назад +1

    Hiyo CCM ni boya kabisa

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 22 дня назад

    CCM mmeshindwa tazama hata hoja mnazozitoa hazina mashiko. Kama kweli mnapendwa kwanini mnaogopa tume huru yauchaguzi na katiba Mpya?

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 21 день назад +1

    Nondo kaongea point kubwa alivyomaliza watu wote mngeondoka tu,huyu mzungumzaji baada ya Nondo anabwabwaja tu kutetea chama chake. Hamna kbs usawa wala demokrasia nchini kwetu,hawa ccm wanatutafuna tu kila mara wanatuchota akili. Nondo pia ameongea kama mtu mwenye kiu jangwani kapata tone la mvua kinywani so plz tuwe makini sn na hawa chawa wa ccm

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes 22 дня назад +1

    Nondo unatema nondo tupu maneno yako yanavunja vunja awo viraza wa ccm, serikali ya mitaa kukiwa na ouzo taifa zima ni funza tupu wageni wakija kutembea wanaziba pua, tunaitaji katiba mpya.

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 20 дней назад

    Dogo kaiva pongezi kwa zito

  • @barnabasmsagamasi611
    @barnabasmsagamasi611 17 дней назад

    Wewe ni chawa. Tunataka katiba. Hospitali hozo bila ya katiba mpya majengo hayo yatakuwa ni magofu tu.

  • @kashiririrkaasongwisye9487
    @kashiririrkaasongwisye9487 20 дней назад

    Viti maalumu vya nini ni uchawa huo hebu ongea hoja zinazoweza kutusogeza mbele !!!!!

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 22 дня назад

    Tume ya uchaguzi iwe huru idadi ya vijana nini fisiyemu. Acha ubabaishaji

  • @a.m_--68
    @a.m_--68 17 дней назад +1

    Ukisema tupeleke mahosipitali au mashule, swali ni je, basi tusiwe tunafanya uchaguzi tupeleke mashule na mahosipitali. Poor reasoning 😂😂😂

  • @ZakariaMnzava
    @ZakariaMnzava 20 дней назад

    Huyu wa ccm pumbavu sana

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 22 дня назад +1

    Mjumbe wa Ccm Huna lolote, wewe umetumwa kuleta hoja nyepesi za ung'ang'anizi tu. Hayo mnayosema muyalete kwanza mlianza tangu 1977 wala hamjamaliza, hamtamaliza, Yatamalizwa na katiba ya wananchi. ufisadi unazidi tu wala hakuna kuwajibishana kuzitapika!

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 21 день назад

    CCM WAMEOSA KAMA MASHOGA. HATA KUONGEA HAJUI WANACHOKITAKA🤣🤣🤣!

  • @user-ru1yk6tc7w
    @user-ru1yk6tc7w 22 дня назад

    Taratibu basi kwami ugonvi

  • @joshuarose6756
    @joshuarose6756 10 дней назад

    Nondo nimekuelew aliyefuat simuelew

  • @user-io6yj9fs2h
    @user-io6yj9fs2h 16 дней назад

    Nyie vijana wa ccm huwa mnaona hi nchi kama mali zababazenu tz niyawote sio nyie kundi lawatu wachache nababazenu

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 22 дня назад +1

    Kwa nini vijana tu,hao vijana hawana wazazi au mababu?.

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 22 дня назад

      Na wao walikua vijana, inategemea pia Kwenye ujana wao walifanya nini😅

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 20 дней назад

      Vijana Wana angalia kesho Yao, Mababu wanafikiria Jana Yao!

  • @nathanpangjanda2734
    @nathanpangjanda2734 22 дня назад

    Wewe nani kakwambia katiba inglesa mabadiliko hacha kuwadanganya watu jitume

    • @levissanga8867
      @levissanga8867 19 дней назад +1

      Jielimishe katiba maana yake nini. Acha ushabiki usio na maana.

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 22 дня назад

    WAATHIRIKA WA UTAWALA MBOVU SIYO KUNDI MAALUM KM LA VIJANA KIPEKEE BALI NI WANANCHI WOTE!
    HIVYO NI WAJIBU WA WANANCHI WOTE KWA PAMOJA KUPAMBANIA KWA KUPAZA SAUTI KUDAI KATIBA MPYA!