UKIPIGA TU SIMU INAJIZIMA? fanya hivi utatue.../screen off during calling problem solving
HTML-код
- Опубликовано: 31 дек 2024
- screen off during calling problem solving
Subscribe,like&share
Subscribe,like&share
Subscribe,like&share
Subscribe,like&share
Subscribe,like&share
Thanks
Shukuran san bro mungu akubaliki san
pamoja sana, imekubali hadi raha
THANK_u__TOO_GOOD
Nimeweza wameniba buku 5😅😅 njoo nikudei buku mdau
Saf Sana brooo
HII IMEENDA IMEKUBALI SANA ALO
❤❤❤❤❤
If there's a pin? How?
Kaka asante imekubali kwel dah
@@BabaUbaya-k9f hongera
But yangu unasema you are away from be a developer
Bonyeza zaidi ya mara tano
Simu yangu inakataa kuwaka ad nitumie nduvu kujinya button pia inajiongeza saut yewe na kujipiga picha mfurulizo hata nisipo shika simu naomba kujua tatzo nn
@@HusnaRashidi-z5t ipeleke kwa fundi akaifungue ili azirekebishe hizo sehemu ya kuwashia na kuongezea sauti ndio zina shida
ok kaka but ni kwa sim zote au ni baadhi ya simu coz ios sijuhi kaka
@@Vedimpozzy hiyo ni kwa android
Sasa hapo inafanya camera isifanye kazi piaa
@@kareemhussein1268 kivip dada hebu fafanua
@@maarifatechnique8644 sasa mm dada tena
Nmefaata maelkez ÎLÅ ukipiga kamera haikubal ss 2elekeze broo
@@abdullah.-oo1kw unatumia simu ya aina gani na model ngapi?
@@maarifatechnique8644 infinix smart 5 kaka
Uwe unazima sensor unavyo taka kupga picha my daer
@@FrolaNelson shûkråñ
Simu yangu nkiingia kwenye developer tiles haina sensor ina setting zengine tu na nkizieka on bado nikipijiwa simu inajizima nifanyeje??
@@jamaalabdulnaser3044 unatumia simu aina gani na ni toleo gani?
@@maarifatechnique8644 Infinix X622. Android version 8
Infinix x622 android version 8@@maarifatechnique8644
mimi natumia OppO reno4 5g
@@shukranMohammed-q2u mara nyingine sio simu zote zinakua na setting sawa. Ila nitalifuatilia tatizo lako
Vp kuhusu camera haikubali
@@NajmaHaji-j4x muda mwingine huwa inakua hivyo
Kwahyo ukitaka kutumia camera zima sensor
Vp kuhusu camera haikubal
@@NajmaHaji-j4x ukiona haikubali
Fanya hivi..
Ukitaka kutumia camera zima sensa, ukitaka kupiga cm washa sensa
@@maarifatechnique86442funze na iyo