Jinsi ya kuongeza speed ya simu yako kiurahisi | fwata njia hii uone maajabu katika simu yako

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 64

  • @jackjosseph5664
    @jackjosseph5664 3 года назад +3

    We mwamba ni noma thnkx napitia video zako zote yani zooote

    • @Vinei
      @Vinei  3 года назад

      Asante kaka 🙏🙏

  • @makawan_Bway5478
    @makawan_Bway5478 Год назад

    Ahsante saaana Broh khaaa simu yangu imepoaa sahiz🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @Lamecky
    @Lamecky 2 месяца назад +1

    Asante sana brother cm yang imekuwa vzr xax dah asant broo😅😅😅

    • @Vinei
      @Vinei  2 месяца назад

      Pamoja

  • @EliezaLameck
    @EliezaLameck Месяц назад +2

    Mkali kaka

  • @hamzaibrahim6295
    @hamzaibrahim6295 3 года назад +1

    Asante sana bro mungu akupe afya nzuri 🙏🙏

    • @Vinei
      @Vinei  3 года назад

      Shukran kaka🙏🙏

  • @YokenKelese-v6t
    @YokenKelese-v6t 5 месяцев назад +1

    Nakubali Sana kazi zako kaka

    • @Vinei
      @Vinei  4 месяца назад

      Pamoja sana bro

  • @keraboy7250
    @keraboy7250 3 года назад +1

    Bro asante sana tunaomba video ya free internet maana za saa hvi naona zinasumbua bro

  • @SAIDIOMARY-fv9bg
    @SAIDIOMARY-fv9bg Год назад

    Ok mzigo umekubali Asante kusomo

  • @ibrahimsalum56
    @ibrahimsalum56 2 года назад +1

    Kaka unatishaaaaaaaaaaa
    Big up broo!!
    Blessed Sana kwako

    • @Vinei
      @Vinei  2 года назад +1

      Pamoja sana kaka

  • @TadeiGabriel
    @TadeiGabriel Месяц назад

    Asante sana

  • @VicentSanga-mw1ms
    @VicentSanga-mw1ms 6 месяцев назад +1

    Braza unajua 👊✊🇹🇿🇹🇿

    • @Vinei
      @Vinei  6 месяцев назад

      Pamoja sana

  • @JumaPaz
    @JumaPaz Год назад +1

    Thank you bloo

  • @Abla_habiba02
    @Abla_habiba02 Год назад +1

    Safi sana 😊😊😊

  • @CharlesKiuzio
    @CharlesKiuzio 5 месяцев назад +1

    Kaka unajua San👍

    • @Vinei
      @Vinei  5 месяцев назад

      Pamoja

  • @MudyFauzia-uh2sy
    @MudyFauzia-uh2sy Год назад

    Thanks brother God his help you

    • @Vinei
      @Vinei  Год назад

      one love bro

  • @ShabaniRamadhani-l6y
    @ShabaniRamadhani-l6y Год назад +1

    Bro iyo ipo noma nimejaribu ila ss mm nilikuwa nashida kwenye cm yangu ukidownload game linakuwa linakuja kwenye screen fresh ya cm ila ss ukiplay lina kubali kwa sekunde kisha lina jitoa je tatizo nnn

  • @JohariMbugau
    @JohariMbugau 4 месяца назад +1

    Wow

  • @mussakasaku1975
    @mussakasaku1975 2 года назад

    Very nice

  • @samwellucas2999
    @samwellucas2999 6 месяцев назад +1

    Broo nielekeze mm wa Tecno spark 20 pro+ izo system hazipo

    • @Vinei
      @Vinei  6 месяцев назад

      Lazima ziwepo japo sehem tofauti

  • @JacklineAnzuruni
    @JacklineAnzuruni 11 месяцев назад +1

    Kk hunaga kz mbovu🎉

  • @kweteboy7245
    @kweteboy7245 Год назад +1

    One love bro

    • @Vinei
      @Vinei  Год назад

      pamoja kaka

  • @ShabaniRamadhani-l6y
    @ShabaniRamadhani-l6y Год назад +1

    Bro iyo ipo noma nimejaribu ila ss mm nilikuwa nashida kwenye cm yangu ukidownload game linakuwa linakuja kwenye screen fresh ya cm ila ss ukiplay lina kubali kwa sekunde kisha lina jitoa je tatizo nnn😊

    • @Vinei
      @Vinei  Год назад +1

      Tatizo processor ya sim yako haina nguvu

  • @hamidundwali5686
    @hamidundwali5686 2 года назад +1

    👍👍

  • @GilbertApolnary-qb5fh
    @GilbertApolnary-qb5fh Год назад

    Bro yaan wew huw no mkweli

  • @sidinichihongo8889
    @sidinichihongo8889 2 года назад +2

    Ndugu yangu Asante maana sim yangu ilikuwa inaganda hata kuandika meseji umenisaidia kaka

    • @Vinei
      @Vinei  2 года назад

      One love bro🤝🤝🤝

  • @MdabuloDispensary
    @MdabuloDispensary Месяц назад +1

    Haiwezi kuleta shida hii setting?

    • @Vinei
      @Vinei  Месяц назад

      Hapana

  • @JamesMgomba-x5v
    @JamesMgomba-x5v 2 месяца назад +1

    Bro mbona sim inajiflash?😊

    • @Vinei
      @Vinei  2 месяца назад

      Ni kawaida

    • @JamesMgomba-x5v
      @JamesMgomba-x5v 2 месяца назад

      @Vinei bro nielekeze jinsi ya kupata mb bure mtandaoni

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 Год назад +1

    Hilo neno mbona halipo

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 6 месяцев назад +1

    Naomba namba yako kaka

    • @Vinei
      @Vinei  6 месяцев назад

      0624741607

  • @shatabway2202
    @shatabway2202 2 года назад +1

    Tuelewi bana mara .5x mara off tueke gani

  • @rukaiyaothumani
    @rukaiyaothumani 2 года назад

    Kwangu abonyezeki

  • @washingtonv199
    @washingtonv199 3 года назад

    Infinix mbona sioni

  • @OttoPetro
    @OttoPetro 6 дней назад +1

    Mbona Infinix sioni oni hiyo

  • @DalizzyaliMussaalua-h7u
    @DalizzyaliMussaalua-h7u 24 дня назад +1

    Akika nikweli.

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 Год назад +1

    Matapeli tu hao wa bando za watu njaa itawaua

    • @Vinei
      @Vinei  Год назад

      unatoka kijiji gan bro😀

  • @LivardoGabliery
    @LivardoGabliery 5 месяцев назад +1

    Da akuna kama wwwwwww

  • @veronicamathias-u7b
    @veronicamathias-u7b 4 месяца назад +1

    Mbona me inagoma

    • @Vinei
      @Vinei  4 месяца назад

      Sehem gan

  • @jescaswai2343
    @jescaswai2343 2 года назад

    Infinix haina neno develop option nifanye je

    • @Vinei
      @Vinei  2 года назад

      Hakuna simu ambayo haina kaka

  • @F.M_media
    @F.M_media 2 года назад

    Simu yangu mbona haina

    • @Vinei
      @Vinei  2 года назад

      Basi install

    • @sharifanuhamwamedi742
      @sharifanuhamwamedi742 Год назад

      Nenda setting chini kabisa pameandikwa system bofya hapo Kisha bofya advanced utaina neno rimeandikwa development option

  • @samwellucas2999
    @samwellucas2999 6 месяцев назад +1

    Broo nielekeze mm wa Tecno spark 20 pro+ izo system hazipo

    • @Vinei
      @Vinei  6 месяцев назад

      Lazima ziwepo tu japo sehem tofauti