😭😭😭😭jamani Lauren kanifanya tu hata nimwage chozi,, Diana naye anawivu mpaka anashindwa kuficha sasa yy aliacha mpenzi wake alitaka mwenzio aishi bila mwenza mshenzi sana 😏😏😏😏
Lorine lorine lorine nimekuita mara tatu mdogo wangu kubali urudi shule umwaibishe babayako na yule shangazi wamchongo wallah ningekuwa mm hata nisingewajua kabisaa nijue tuu family yakina hao James bs
Diana lazima akubliane na matokeo alio yachaguwa tena lazima ayaheshimu maamuzi ya watu wengine nasikukitumia ceo chake kama fimbo yakuwadhulumu na kuwanyanyasa wengine
Kwann unajua uko namchumba wako halafu unaenda kulala namwingine eti penzi lasiri sasa hapo lingekuajee Kama huyo kijana hakuwa kwa sherehe zamkubwa wake diana ungekuwa unafungua kitabu kwawatu wawili?ilaiposiku Choxi la huyo sijui ndojames utalilipa halafu mtu amekuwa shem wako tena unamwambia usimuone na mwanamke kwani huo mkataba upo kwacampany jamani huyu sasa sio mzima
Wakwanza ni WA Congo kabisa tuko apa
Nauna kweli chr 😊😂
🔥🔥🔥
Huyu boss nae vipi ..sasa Oen asiwe na mahusiano ..madam wa hovyo ..thanks director..I love ur work
🔥🔥👌
Nmewahi namie
Asate sana simlizi mix d oen
Nyinyinyi hisimulizi nitamu sana yani mimi mim hapa nyie simuliz nimeipenda😂😂😂😂😍🤩
😭😭😭😭jamani Lauren kanifanya tu hata nimwage chozi,, Diana naye anawivu mpaka anashindwa kuficha sasa yy aliacha mpenzi wake alitaka mwenzio aishi bila mwenza mshenzi sana 😏😏😏😏
❤❤❤
Jamani jamani ya mapenzi nimeyavuliya shati
Huyu mtunzi ni noma nusu
Lorine lorine lorine nimekuita mara tatu mdogo wangu kubali urudi shule umwaibishe babayako na yule shangazi wamchongo wallah ningekuwa mm hata nisingewajua kabisaa nijue tuu family yakina hao James bs
Bolat akubali aondokane na azabu ya dunia
Diana lazima akubliane na matokeo alio yachaguwa tena lazima ayaheshimu maamuzi ya watu wengine nasikukitumia ceo chake kama fimbo yakuwadhulumu na kuwanyanyasa wengine
Waooo waoooo waooo jaman nimechelewa wapi 💃 muwe mnaniambia mwenzenu kuwa jamaa vitu tayari huku 😂😂
Usijali 😂😂 tomorrow I will call you
ahsante sana D on na mtunzi silent killer kwa kazi yetu nzuri
Diana naye anawivu wa kijinga kwa mtu ambaye kamuacha mwenyew😂😂😂😂😂
Nashuku huyu Lauren ndo bae wa oen
❤❤❤❤enjoy
Shukraniiii saaanaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wivu nao nikali dayana
Eti wa kwanza ni wa wapi. Mm mm hapa kutoka 254 na nko chonjo
Safi wa home
alp
Tunaendeleaaaaaa🥰🥰🥰
Kwann unajua uko namchumba wako halafu unaenda kulala namwingine eti penzi lasiri sasa hapo lingekuajee Kama huyo kijana hakuwa kwa sherehe zamkubwa wake diana ungekuwa unafungua kitabu kwawatu wawili?ilaiposiku Choxi la huyo sijui ndojames utalilipa halafu mtu amekuwa shem wako tena unamwambia usimuone na mwanamke kwani huo mkataba upo kwacampany jamani huyu sasa sio mzima
😂😂
ON tuletee simulizi yakichawi naona kma kunavipengere nimevisahau
😄😄na wewe ushakua mchaw?
@@SimuliziMix🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅
❤❤
❤❤❤