Yaani Hilo jengo la PSSSF Mwanza nimekuwepo wakati linajengwa mwaka 2005 mpaka 2006 kama msimamizi awamu ya kwanza maana limejengwa Kwa awamu mbali mbali nimepata ujuzi wa kutosha na pesa pia mpaka nikabadilisha makazi yangu hapo Mwanza. Yaani nazidi kufurahi maana miaka sasa ni mingi sipo hapo japo Nina mji wangu Isamilo. Big up bro
Najivunia kuzaliwa mwanza ❤
Jiji zuri sana, hongera
Safi sana
Yaani Hilo jengo la PSSSF Mwanza nimekuwepo wakati linajengwa mwaka 2005 mpaka 2006 kama msimamizi awamu ya kwanza maana limejengwa Kwa awamu mbali mbali nimepata ujuzi wa kutosha na pesa pia mpaka nikabadilisha makazi yangu hapo Mwanza. Yaani nazidi kufurahi maana miaka sasa ni mingi sipo hapo japo Nina mji wangu Isamilo. Big up bro
Hongera sana, hakika u-mzalendo wa maendeleo ya Jiji la Mwanza
Mashaallah
Mbona una tutisha napicha zako tumaona kama Kuna jengi imeporomoka alfu we una sifia sifia uwe making na upigaji wapicha zenu
Umakini wetu umeishia hapo, samahani sana. Tuko tayari utufundishe!