#BMGTV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 24

  • @josephmwanaupanga731
    @josephmwanaupanga731 3 года назад +9

    rip magufuli

  • @yonamsemo6634
    @yonamsemo6634 2 года назад +1

    Vile vibanda vya kukatisha ticket za ndege havina hadhi ya kimataifa, yani Mwanza inatakiwa kitoke kitu flani hivi amazing kifananie kweli kimataifa.

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 3 года назад +2

    Umeongea vizuri sana engineer

  • @laheonlinetv2161
    @laheonlinetv2161 3 года назад +1

    BMG tuletee update ya ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 3 года назад +7

    Wameshaanza majungu na kuwavunja moyo wa engineer wetu . Kila kitu ni tume ambazo hazina hats tija na sina chelesha maendeleo

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 3 года назад +2

      Watu wanakula pesa kwenye tume🤣

  • @fanuelonesmo2964
    @fanuelonesmo2964 3 года назад +5

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN .......SIJUI KAMA HUU MZIKI ATAWEZA KUUCHEZA .....MAANA SGR ILIKUWA IANZE KUTESTIWA MWEZI HUU IKASOGEZWA MPAKA MWAKA UJAO HILI JENGO NALO ZIIIIIII

    • @itwaaky75
      @itwaaky75 3 года назад +1

      Aliyekuambia mwaka ujao ni nani? Ilitakiwa 2019

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 3 года назад +1

    Good obsevation

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 3 года назад +3

    Oh wamesimama tena

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 года назад +1

    Wamefanya majungu hawa viongozi na sasa mradi umesimama? Labda sababu engineer alikuwa mzawa ndio fitina na majungu yakapikwa

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 3 года назад +4

    Utasemaje kulikuwa na mapungufu halafu hutaki kuyataja? haya ndiyo majungu sasa, vijana wamefanya kazi kubwa, sasa mnaleta siasa zisizokuwa na tija. Sisi tunahitaji kiwanja cha ndege. Kwani ni miradi mingapi ambayo imejengwa na kumalizika kwa force account? Haya ni majungu makubwa.

  • @markgeorge2929
    @markgeorge2929 3 года назад +2

    Hivi Mwanza inamatatizo gani? Miaka na miaka ilisemwa ujenzi wa jengo la abiria. Kulikuwa na kasi nzuri uwanja huo kujengwa. Leo ati kunaanza visingizio mara tume mara nini? Mwanza inatakiwa kuwa na hadhi ya jengo zuri na la kisasa. Japo hata hili lililojengwa mie nasema halijakaa kimataifa zaidi. Linasifiwa tu lakini siyo!

  • @aishaasumany561
    @aishaasumany561 3 года назад

    Kazi ya samia hio lifisadi likubwa asipo uriwa huyu mama atatuletea vita nchi yetu

  • @laheonlinetv2161
    @laheonlinetv2161 3 года назад

    Tunataka jengo liishe ucheleweshaji wa kimajungu uachwe

  • @nilansaid2927
    @nilansaid2927 3 года назад +1

    Yaani huyo jamaa anafikiri ana akili kuliko aliesema force account itumike?

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 3 года назад

    Hakuna chochote hapa. Ufisadi Sasa umerudi. Miradi yote itakwama kama vile Kiwanja cha Mwalimu Nyerere Dar es. Salama ulivyokwama mpaka Hayati Magufuli akaja kumalizia. CCM imejaa wezi. Dialo ndiyo mwizi namba Moja. Watanzania tunarudi nyuma.

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 3 года назад

    Kuna Mambo mkiyaendekeza tutachelewa kufika

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 2 года назад

    Ungeyataja, nyie ndoo mnataka kuleta ufisadi; fosi akaunt imetuletea mafanikio makubwa. Mnataka tu uchunguzi ili kuzidi kutumia hela za umma. Mtaumaliza kwa hela nyingi zaidi wakati 13bilioni zingeumaliza. Rip Magufuli

  • @adamkasasa8660
    @adamkasasa8660 3 года назад

    HATA WANAWAKE WANAWEZA KUONGOZA NCHI

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 3 года назад +1

    Hii mijitu ovyo kabisa ni wajungu tu pumbavu zao , vitu gani engineer vimempita mbona husemi, muunde tume bla bla mnapoteza muda tu mbona watu wana akili za matope , acheni majungu acheni ujenzi uendelee

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 3 года назад

    Sasa fedha zinatumika kukodi ndenge. Mafisadi wamerudishiwa fedha walizowaibia Watanzania. Mafisadi wanaosemwa wawekezaji sasa wamerudi. Tanzania haiko salama kwenye uongozi wa Samia. Serikali ya Samia haina tofauti na serikali awamu ya nne iliyotekwa na wezi na Watanzania wakateseka sana. Chini ya Kikwete walishindwa hata kuumalizia muradi wa kiwanja cha ndege Dar es Salaam, Hayati MAGUFULI akaja kumalizia. Katibu mkuu mwenyewe Dialo ni mwizi na mukwepa kodi namba moja. Sasa tunaongozwa na cartels. Mungu atusaidie.

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 3 года назад +1

    Hakuna chochote hapa. Ufisadi Sasa umerudi. Miradi yote itakwama kama vile Kiwanja cha Mwalimu Nyerere Dar es. Salama ulivyokwama mpaka Hayati Magufuli akaja kumalizia. CCM imejaa wezi. Dialo ndiyo mwizi namba Moja. Watanzania tunarudi nyuma.