SHEIKH MWAIPOPO AENDELEA KUWATIKISA WACHUNGAJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 64

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 3 года назад

    Masha Allah , masheikh wetu dawah lazima iendelee..

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 года назад +1

    Masha"Allah masheik wangu

  • @scolasticakaduma9027
    @scolasticakaduma9027 3 года назад

    Waoooo. Ubarikiwe. Endelea kutufungua.

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 3 года назад +2

    Unachukia ndevu wkt Yesu alifuga ndevu!!

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 года назад +1

    Mashallah Allah 💕

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 3 года назад +1

    MashaAllah

  • @fadhilasalim7464
    @fadhilasalim7464 3 года назад +1

    wakristo mwasema yesu ni mungu. halafu nyinyi wenyewe mwasema mtoto wa maryam. mna kazi ya kudanganyana. fikirieni vizuri. msikubali kudanganywa someni kitabu chenu vizuri. hao wanaoslim wamekisoma vizuri.

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 2 года назад

      Mnaongozwa na majini nyie mtatuambia nn nyie hamna lolote ndo maana mama zenu hawaendi msikitini wakiwa kwenye siku zao kwa sababu ya majini hayapendi damu kwan uongo?

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 года назад

    Mashallhaaa shekhe mwaipopo

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 3 года назад +2

    Yani wanamkataa Issa jameni😂😂😂 wallah hawajielewi Hawa makafiri

  • @jakahthemc615
    @jakahthemc615 3 года назад

    Safi sana mwaipopo

  • @chrismassa3183
    @chrismassa3183 3 года назад

    Sheikh Mwaipopo kaziyake kuchomekeya inamaana hajawaamini walimu wake.

  • @erickmaisha4773
    @erickmaisha4773 2 года назад

    Title mnaandika ilikuwafurahisha waislamu haa

  • @chrismassa3183
    @chrismassa3183 3 года назад

    Huyu Pastor kaongeya point, na kathibitisha Issa siyo YESU KRISTU.

    • @hafsakirao3535
      @hafsakirao3535 3 года назад

      Tupe jina alilopewa (Yesu) na malaika maana hilo ni jina waandishi wa ukristo walivyo amua kumuita kwenye bibilia ya kiswahili, na Jesus ya kiingereza. Someni bibilia wenyewe wacheni kuskiza wachungaji na kushabikia.

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 года назад +3

    Kwani Biblia ni Kitabu cha Mungu?!!
    Biblia ni MKUSANYIKO WA VITABU yamekusanywa ya kweli na ya uwongo na kupewa jina Biblia !

    • @kennah03m
      @kennah03m 3 года назад

      Elimuu butuu ....quran mkusanyiko wa uwongoo

    • @samxx411
      @samxx411 3 года назад

      @@kennah03m wewe ndo elimu butu, kwani biblia ni nini???? ni yohana, mathayo, luka, kumbukumbu, petro etc ndio biblia lakini Yesu alipewa original version ya Injil kwa lugha yake ambayo saivi haipo mnatumia biblia ambayo ni mkusanyiko wa mbivu na mbichi

    • @kennah03m
      @kennah03m 3 года назад

      @@samxx411 Quran ingekua ya ukweli majini hayangehusishwaa yamehusishwa kama kina nani??

    • @wachujahabari3022
      @wachujahabari3022 3 года назад

      kennah mbona yesu kayaubiria majin na yanaamin kama wew yesu nimwan wamungu 😂😂naktk wanafunz wa yesu kuna mmoja shetan petro mbona usemi ayo au ujui shetan anawez kua jini

  • @gabrielmartin2738
    @gabrielmartin2738 Год назад

    kwann huwa mnaandika vichwa vya habari vya uongo

  • @tulitulizana3296
    @tulitulizana3296 3 года назад +1

    Kwanza mjue Jina la mtu ni now halibadiliki hili Jina yesu au Jesus ni Jina feki Jina lako popote ukenda Jina linapaki kama majaliwa akenda popote ataitwa majaliwa

  • @musasaanane2758
    @musasaanane2758 3 года назад

    Wafundisheni hao wakristu wapate kujua zaidi

  • @lileoh3893
    @lileoh3893 2 года назад

    Yani wakilisto mnafundishwa ili msiingie motoni lakini ubishi2 paulo sio mtume someni wakolinto1 11 na walinto 12 someni mpaka mwisho alafu muangalie upuuzi wake

  • @TheQuranChannel123
    @TheQuranChannel123 3 года назад

    Kwa mujibu wa bibilia, Yesu wa Bibiliani hakuwepo, he never existed, Matthew, Mark, Luke, John na Paul never existed. Hayo ni majina ya kupanga tu

  • @asriyaaljabry27
    @asriyaaljabry27 3 года назад +1

    Anakataa issa sio yesu ili azidi kukufuru 😂😂

  • @pamoles1303
    @pamoles1303 3 года назад +1

    Hivi nyie wakristo huyo Gabriel alipokuja kwa mariam alikuja na jina gani

  • @essaumpuma2981
    @essaumpuma2981 3 года назад

    Let the truth be true, issa kazaliwa mashariki ya msikiti, wakati wa yesu hapakuwa na msikiti . kaka yake mariam sio haruni kama qurani inavyo sema Bali haruni ni kaka yake Miriam na ikumbukwe haruni na Miriam wamekuwepo zaidi ya miaka 1000 kabla ya mariam

    • @زينبعليعبدالله-ز3س
      @زينبعليعبدالله-ز3س 3 года назад

      😳😳😳😳

    • @hafsakirao3535
      @hafsakirao3535 3 года назад

      Mskiti ulikuwepo, na Nabii Suleiman ndio alijenga na mpaka sasa Jews wanawaua wapalestina,waislamu sababu ya eneo hilo. Hapo ndio makaburi ya Mariam na Yahya (yohana mbatizaji) yako ndani ya mskiti. Tafuta ukweli mwenyewe.

  • @ummuhkhalfan5542
    @ummuhkhalfan5542 3 года назад

    Taqbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiri

  • @ummuhkhalfan5542
    @ummuhkhalfan5542 3 года назад

    Mm jmn kuanzia cku ile mdahalo wa kwanza wa wahadhiri ule wa ndacha hadi tukamuulizia punda point za wakristo sizisikilizagi cku ile ndacha imepindisha aya anatafsiri kwa matakwa yake yaan ukinote zile point za Quran alizokuwa anasema af ukirud kwenye Quran maana tofaut cjui wanapataga wapi ujasiri wa kudanganya watu hadharan hivyo

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 2 года назад

    tatizo la wakristo sjui Nini? bibilia imetaja mashariki Quran imetaja mtoto mashariki lakini wachungajia wanakataa sa sjui wanamatatizo gani

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 Год назад

    Waislam tunawatafuta Kwa tochi mbona hamuonekane

  • @hassanedin6487
    @hassanedin6487 3 года назад +1

    hawa wakiristo wako na vitoko at issa si yesu hhhhh

  • @kennah03m
    @kennah03m 3 года назад +1

    @ Biblia nuru ya dunia @ndacha kiboko yaaoo😂😂

    • @bessinggood8766
      @bessinggood8766 3 года назад +2

      We nawe ukafiri umekutawala mungu akupngoze

    • @kennah03m
      @kennah03m 3 года назад

      @@bessinggood8766 quran 3:11 umma wa muhhamad ndio makafirii waislamu

    • @hafsakirao3535
      @hafsakirao3535 3 года назад +1

      Ndachaa is sooooo boring, his leading you to HELL FIRE.

    • @kennah03m
      @kennah03m 3 года назад

      @@hafsakirao3535 yaani ndacha habahatishii

    • @wachujahabari3022
      @wachujahabari3022 3 года назад

      Wew endelea kumuabudu mwanaume mwenzen si waislam tunaakil xana 😂😂😂

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 3 года назад

    Yani title za clip zilivyo andikwa na utakacho kutana nacho ndani ni tofauti kabisaaa🤣🤣🤣🤣

  • @hudhaifatissa7490
    @hudhaifatissa7490 3 года назад

    Nyie makafiri msiwe king'ang'anizi Qur'an sio maneno ya Muhammad ......hajaj kubabaisha kaumu acheni uzushiii🥺👹

  • @kennah03m
    @kennah03m 3 года назад

    Ukristo rahaa uislamu matangaa

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 2 года назад

    🤣🤣🤣🤣😂😂🤣 ILA waislam Muhammad aliwapiga za uso, 🤣🤣🤣🤣🤣 , hapa Kwa issa ndo Muhammad alizidisha chumvi balaaa tunaijua Muhammad ni Muongo mkubwa duniani baada ya Shetani ILA Kwa hisa alipuyanga vya kutosha , kuwaaminisha Mamillion ya watu sio KAZI ndogo

    • @salhkasmm558
      @salhkasmm558 Год назад

      Hujamsoma Muhammad ninani ndio maana ukaamua kumtukana na ukimjua utajutia.

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 Год назад

      @@salhkasmm558 Muhammad ni Nani kwani si mwarabu mmoja WA kabila la makuresh

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 2 года назад

    Yani ukiristo ni dini ya uongo waziwazi Lakini bado wakiristo hawaoni. Vipofu na viziwi na mabubu. Hamna wajinga duniani kama wakiristo

    • @rayaali7551
      @rayaali7551 Год назад

      YAANI HAWA JAMAA WAKIKRISTO. WALLAAH. NI MIZIMBIIIIII MIZOMBIIII MIZOMBIIII. HAWA WAZUNGU WAMEJUWA KUWAPOTOSHA. WALIBADILISHIWA HADI MAJINA. AATII KWENYE BIBLIA KUNA JINA LA MIRIYAM SIO MARYAM MHH. HAKUNA KITABU HATA KIMOJA CHA MWENYE EZIMUNGU. CHENYE JINA LA MIRIYAM HAYO NIMAJINA YA MAKAFIRI YALIYOPACHIKWA NA WAZUNGU TENA HAWANA HATA AKILI WANAJIITA MAJINA HAWAANGALII HATA MAANA YAKE. ILILMURADI NI KUWAFURAHISHA WAZUNGU UKIYAANGALIA MAJINA MENGI YA WAKIRISTO. MAANA ZAKE NI IST A KISHETAANI

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 3 года назад

    Mbumbu saana hawa jamaa, 🤣🤣haiwezikani mtu mmoja akawa na vyeti viwili vya kuzaliwa ambavyo ni tofauti kabisa labda kama ni jambazi😀Isa hawezi kuwa Yesu, na kibaya zaidi mnapo semaga Quran ni ufunuo mnathibitisha kwamba ulikuwa ufunuo wa uongo kuwai kutokea 😀....eti kazaliwa chini ya mtende🤣

    • @wachujahabari3022
      @wachujahabari3022 3 года назад

      Kwaiyo munguwen kazaliw kwenye zizi la ngombe 😂😂😂🤔

    • @profs.a5412
      @profs.a5412 3 года назад

      @@wachujahabari3022 jina lako tu sioni sababu ya kukujibu🤣

    • @wachujahabari3022
      @wachujahabari3022 3 года назад

      Prof S.A 😂😂kaakimy ivoivo sinimegusa mtima nyongo wa dini yako