IJUE ASILI YA JINA LA MWAKALELI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 31

  • @nurukapoja7759
    @nurukapoja7759 4 года назад +4

    Kwetu mwakaleli najivunia kuwa mzawaa nakupemda asante mungu kwa mwakaleli

  • @kambanimwanyulu7570
    @kambanimwanyulu7570 2 года назад

    Am proud of you Mwangoka, mwalimu wangu.

  • @tuponemwaisela5529
    @tuponemwaisela5529 2 года назад

    Naupenda mji wa mwakaleli
    Ndiko alikozaliwa babaangu na akazikwa uko
    Na mama a ng u pia ni mtu wauko uko mungu akulinde mamaangu

  • @amosimwangonji1067
    @amosimwangonji1067 4 года назад +2

    Tujuane waku mwakaleli mweeh

  • @noelmichael9425
    @noelmichael9425 3 года назад

    Nikisikia neno Kandete ninafurahi sana. Kandete kwa Babu zangu Kyela nmezaliwa Dar es salaam nina tafuta maisha.

  • @gloriamwakibolwa6972
    @gloriamwakibolwa6972 6 лет назад +4

    Tunaipenda sana Mwakaleli yetu

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 4 года назад

    MWAMKALILE babu wa mama yangu, NSUMBULE baba wa mama yangu , MWAKABUTA baba yake na baba yangu MWAIJELE babu yake na baba yangu jamani hawo wazee wetu hivi ni kweli ni kazi ya mungu au ni mkono wa mtu (mabepale) baba wa tukuyu rungwe, mama wa mwakaleli ,yaani bora mtu ataaabike lakini tuonane vizazi vyote lkn mtu asipate taabu uku uko peke yake Familia ni muhimu sana ktk maisha yetu ya Amani ! Eewe Mungu mweza yote mwenye siri zote tukumbushe BABA!!!

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 4 года назад +1

    Mimi mtoto wa mwakaleli busokelo hoyeee

  • @mozespaul7138
    @mozespaul7138 2 года назад

    Maana ya mwakaleli ninini?

  • @emanuelmwalukasa7723
    @emanuelmwalukasa7723 6 лет назад

    Nawaona ndugu zangu hapo mwangoka,josia mwakalengela,mwasyebhule mungu awabariki

  • @mwasisobajohan7641
    @mwasisobajohan7641 3 года назад

    nyumbani Mwakaleli 🙏

  • @happynyonga4536
    @happynyonga4536 6 лет назад

    Nakupenda kwetu jomoni

  • @EphraimMwandemange
    @EphraimMwandemange 8 месяцев назад

    Hao wanajaribu kuelezea hivo jina LA mwakaleli limetokana na MTU mmoja alikua anaumwa alikua akishinda amelala kwenye mkeka hivo watu walikua wakipita toka isange bumbigi walikua wakipita halo Kila wakipita wanamkuta kalala wakiuliza haliyake inaendeleaje yule jamaa aliekua anaumwa alikua anasema kwakilugha ndipapakalili hivo mungu mwakapalila alishindwa kuita kalili akalibatiza jina mwakaleli hats wengine wakaanza kusema tupite kwa mwakalili (kinyakyusa alindagha pakalili pojo mwakalili ka ikulinda nkalili

  • @yonamwakalobo5289
    @yonamwakalobo5289 8 месяцев назад

    Wazungu walishindwa kutamka neno MWAKALILI mahali walipofikia na kulala hapo. Ndipo wakatamka MWAKALELI Kumbuka akalili ni (kilago) hiyo ndiyo asili ya mwakaleli/mwakalili.

  • @Mnyaqbrand3966
    @Mnyaqbrand3966 2 года назад

    ruclips.net/video/oj28_NvjGVk/видео.html
    Mwakaleli boy ☝️☝️

  • @reinfredyhera5658
    @reinfredyhera5658 5 лет назад +2

    KIASILI WANYAKYUSA MBEYA SIO KWAO.ASLI YAO NI UPOGOLONI.

  • @stellahbrave4821
    @stellahbrave4821 6 лет назад

    mwakaleli ubini Wang mwakalile duuuh atare

  • @officialmbeyaone3572
    @officialmbeyaone3572 6 лет назад

    Kwetu jamani Mimi natokea mbambo

  • @nisilemwalwiba4639
    @nisilemwalwiba4639 6 лет назад

    baba yangu mwangoge nimefurahi kukuona

  • @oshenimelari1180
    @oshenimelari1180 6 лет назад

    mwe kukujha kwa mpuna nkukumwike

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 6 лет назад

    akaja ka luki nu lukama tukuyu yetu hoyeee mvua January hadi December ndaga Kyala gwetu utuganile

  • @lukadelik3652
    @lukadelik3652 5 лет назад

    Nikweri. Majina. Yarifamika. Wa watu malufu

  • @rachaeldaimon1260
    @rachaeldaimon1260 6 лет назад

    Mwe kukaga

  • @ebenezerfreight3309
    @ebenezerfreight3309 6 лет назад

    Lufirio unatokea Makete

  • @upendoagrey6991
    @upendoagrey6991 6 лет назад

    kwetu kuzuri jamani

  • @emanuelmwalukasa7723
    @emanuelmwalukasa7723 6 лет назад

    Mwakaleli yetu

  • @امينهامينه-ع6ه
    @امينهامينه-ع6ه 6 лет назад

    pazur hadi laha