Ben paul!! Maisha ni kuishi baba! Ishi! Hatuna muda wa kutosha hapa duniani! Ishi kadri uonavyo ni sahihi!! Naisubiria kwa hamu hiyo kazi mpya! Bila shaka itakua itakua hot sana kama kawa!
Goood my brathar Mungu akuongoze kwa kila hatua alilinde penzi lako lidumu na lifike mbali mbali sana awape amani upendo mafanikio zaidi Hongera pia dada Zama mahojiano mazuri unajua sana imetulia na unauliza maswali amabayo ni rahisi hata matazamaji kujifunza kitu hongereni na Mungu awaongoze
This interview looks very mature this guy benpol ametulia anajibu maswali vizuri Hakuna kelele unbea hakuna this guy is so handsome arnelisa ulipata mutu
Ben Pol, you truly dating an amazing woman. I can attest to that. Though I have never met her, she was kind enough to book a holiday on full board for me and my partner for 5 good days at a 4 star hotel. Inclusive of airport transfers and plane tickets. I salute her!!!
Kuachana na yote picha na sauti viko poa sana classic interview zamaradi anajua kuchokonoa akili sana, anauliza vinavyokuhusu, Ben Paul hii ndio best interview toka nimjue
Ben Nilikuwa nakutana naye kwenye bus alikuwa anaenda ifm kusoma yeye ni humble hivyo hivyo mkimya then anaibuu sijuii alikuwa anaona soooho nyimbo inahit yeye yuko Kwa dalalaa but all and all Mungu ni mwema
Naipenda couple ya ben pol na anerlisa wako humble sio kama celebrities wengine wa tz. Halafu wanapendezana. Mungu awajalie couple yao idumu milele kifo ndio kiwatenganishe na sio maneno na matendo ya wanadamu. Yani mimi nilikuwa Naipenda couple moja tu kim kardashian na Kanye West lakini hii ya ben pol na anerlisa imekuwa couple ya pili kuipenda. Nawapenda sana na siko tayari kuwaona mumetengana yani Mungu amuweke mbali kabisa shetani asiwasogelee. Ahaha nimeongea sana ahaha anyway, NAWAPENDA JAMANI BEN NA ANERLISA ❤️
Nice interview not invading too much privacy space and brilliant questions kudos to Zara and beanpoles so mature of you both and congratulations to BenPol and Anerlisa, May you have a blissful healthy relationship
Diamond learn from this dude. Mature, collected, smart, intelligent, humble and very handsome.
Lena Mut stop comparing pple
Lena Mut, unataka kupigwa nyembe wewe! 😂😂😂😂
Simon Aluvale do you know the meaning of compare?
There's difference of boys n gentleman
Ben paul!! Maisha ni kuishi baba! Ishi! Hatuna muda wa kutosha hapa duniani! Ishi kadri uonavyo ni sahihi!! Naisubiria kwa hamu hiyo kazi mpya! Bila shaka itakua itakua hot sana kama kawa!
Kiukweli zama nakupenda unamhoji MTU kwa hekma sana haupo kiumbea umbea mungu ajalie kazi zako
Hongera sana Ben Paul! Undeserved huyo dada ur so hammble sana. Mungu awapiganie mdumu milele
Big up Kenyan sisters kwa kutulelea vzr kaka zetu.Though Kiba km katuangusha hv!
Mwenye Interviews Zake... Legend Zamaradi Mketema 👏🏾
Such a humble brother, amejitahidi sana kuongea kwa discipline na good choice of words......
This guy is very HUMBLE,down to earth.....take care of our Sister from Naivasha
Am from also Naivasha...went to Highway Primary school..Doha now
Usijali ❤️❤️❤️❤️
Owen Dancan nice hustle inabidii
Nakupendaga benpol kakangu nikutakie maisha marefu
Zamaradi I like your Interviews. Keep the ball rolling.
wewe ni ben pol nautabaki ben pol big up bro wakenya twakukaribisha
Zamaradi so classic keep it dada
Dada Zamaladi Huko vizuri sana kwenye interview Unajua kazi yako that why Ben Paul akupuyanga ameenda straight mmeeleweka vizuri Good job 👏
Congrats mgogo wetu... Mungu akuongoze zaid
Hongera sana Ben Paul Mungu awatunze wewe na Anerlisa 🙏. Aseeee nimefurahi mno
Good mature interview, hakuna umbea, other journalist to learn from zama
You have a beautiful smile keep shining wishing you and our gal Anerlisa all the best.
👍👏💪 #Ben poul nakuelewa kutoka kitambo sana ila kaka ongeza bidii sana naona ukifika mbali na kazi zako
Two monsi😃.....! Nampendaa ben hanaga Mambo mengi🔥🔥
I jst love this couple, may God bless u, this man is very humble n anerlisa too.
Ben pol is very smart.....full of wisdom
Dhaaa na Ben kanenepa ka pendeza Mungu abariki mahusiano yenu
Goood my brathar Mungu akuongoze kwa kila hatua alilinde penzi lako lidumu na lifike mbali mbali sana awape amani upendo mafanikio zaidi
Hongera pia dada Zama mahojiano mazuri unajua sana imetulia na unauliza maswali amabayo ni rahisi hata matazamaji kujifunza kitu hongereni na Mungu awaongoze
I never knew Ben till today yess I know Him but not more like now... God bless you you’re a real gentleman 🙏🏾
Jameni ni mtanashati na heshima zake! Anerlisa ana bahati sana!
Best of luck bro usiwaze maneno ya Watu wabongo sku iz tushawazoea kwa maneno yao bigup zamaradi it was a nice show
Love you benpol and our anerlisa...may God protect you guys...sasa tupee mziki mzuri niko mkao wa kula
Good matured interview, Ben pol hongera sana!all the best in all your endevours..
This interview looks very mature this guy benpol ametulia anajibu maswali vizuri Hakuna kelele unbea hakuna this guy is so handsome arnelisa ulipata mutu
Sauti yako zama, Mungu azidi kukutunza mamy😘😘😘
Ben Pol, you truly dating an amazing woman. I can attest to that. Though I have never met her, she was kind enough to book a holiday on full board for me and my partner for 5 good days at a 4 star hotel. Inclusive of airport transfers and plane tickets. I salute her!!!
Wow ahe really has a good heart
Wow
Such a matured interviewee.....and the interview, very well presented....much love
Congratulations ben... Tuletee annerlisa nkuhungu uyo!
Zama Nakupenda ulivyo Sema sheta
benpol I love yue huringi....that makes me to love yue each and everyday..... all the bect bruh😘
Ben Pol is so Wise , Kudos 💫💫💫💫
Respect to Ben pol na Annerlisa ❤
All the best and congratulations to Anerlisa and Ben Pol.MUNGU awatangulie daima,AMEN.
I have loved the interview... the calmness is so amazing. Big up to you both!
Perfect match btn our own anerlisa na Benpol💞💞
Zama unajua kazi yako haswaaa! Go girl.
Hapa Kaka na Dada yaani I learnt a lot ... From kwa Benpol , Zama na Ana
Mi kiukweli nampenda sana Yule Dada,yaani Mungu awafanikishe ktk mipango yenu yote
Ben pol ungependeza kama ungekua na sijda wallah nimeangalia uso wako sijda ingepatikana ungependeza zaidi wallah
Meenah Sayeedy we chizi nini..mwambie mumeo aweke sigda
I just love ben waaaah this guy is humble
Bomba la interview........content za humu ndani zina weza kubadilisha mtu na kuinspire wengi
Executive still water😍😍
Congratulations Bro Ben pol nakuelewa sana
Very humble guy, seems like Kenya has the goodies 😎
Wow this guy is very humble and down to earth
Ben p, matured. tehe ukipata muda wa kukaa nae ndo utajua uzuri wake.good.
Makini sana brother na mtangazaji
Mwanamke kamili na nusu kamu interview mwanaume kamili such lovely 💋
Zama ni mzuri yan gud lukn, chocolate colour..
Zamaradi your blessed jamnnn mpk Raha your my role model
Ila avae ushungi though n maisha yake and life is choice Zama n mwanamke wa kiislam
Maturity on another level. Big up Anna and Ben
Mature persons..Good work Ben..zama tz interviewers should learn a thing or two from you
Nice humble couple. Wish you all the best. Love you guyz😚
Zama , you make me not get tired of watching and listening to any interview you chair ....I miss that show....take one /action
Kuachana na yote picha na sauti viko poa sana classic interview zamaradi anajua kuchokonoa akili sana, anauliza vinavyokuhusu, Ben Paul hii ndio best interview toka nimjue
I love Zamaradi what a smart women,beautiful queen,outstanding diva....interviews zake zote ni on point
Ben Nilikuwa nakutana naye kwenye bus alikuwa anaenda ifm kusoma yeye ni humble hivyo hivyo mkimya then anaibuu sijuii alikuwa anaona soooho nyimbo inahit yeye yuko Kwa dalalaa but all and all Mungu ni mwema
Shemejiree twakupenda sisi kama mafans
Nice interview sio mambo ya Umbea am happy for u waadishi wa habari ndio hiii anatakiwa sio mambo ya ukudaaa
yoote ya Ben sijayaona . nimekuona wewe tu zama nakupenda sana sana sana
Interview ya kikubwa sana Eshima ipo kwa wote.🙏🙏🙏
Very nice and all the best
Fantastic 👌
Benpol we ni noma naona umedress hatari firee na hublot OG 😆
Refreshing interview indeed! 👍☺
noma bro pizzey
Congrats ben,nice couple
Executive waters ipo tz hongera benpol and ourkenyan girl ana
Ben Pol ❤️ Anerlisa👌
sure benard hana shida kabisa....ukikutana nae na ukimuomba kupiga picha hana noma
Very humble man Of God.
Naipenda couple ya ben pol na anerlisa wako humble sio kama celebrities wengine wa tz. Halafu wanapendezana. Mungu awajalie couple yao idumu milele kifo ndio kiwatenganishe na sio maneno na matendo ya wanadamu. Yani mimi nilikuwa Naipenda couple moja tu kim kardashian na Kanye West lakini hii ya ben pol na anerlisa imekuwa couple ya pili kuipenda. Nawapenda sana na siko tayari kuwaona mumetengana yani Mungu amuweke mbali kabisa shetani asiwasogelee. Ahaha nimeongea sana ahaha anyway, NAWAPENDA JAMANI BEN NA ANERLISA ❤️
King of RNB TZ
May God bless your union.you deserve each other 😍
love this Guy
Zama nakupenda sana dada yangu natamani kuwa km wewe unatabiya ninayo pendaga
Very humble and hundsome man
Executive still 💦, semeji 🇰🇪
Nakwambia RUclips inlaws we be here representing! lol Topiii
Best interview
Congratulations Ben Paul and Anerlisa
I really liked this interview😍
nampenda anelisa na ben pol
Zamaradi anafanana na demu wangu wa burundi sanaaa. Nayeye nimuzuri binti wakabila ya kitutsi
Interview nzuri sana imetulia sana I like it 🙂
mgogo asie na tabia za kigogo, tofauti na yule babaake mkubwa kabisa yule nahodha wa pale mjengoni
Nawapendaga Ben&Ana ....kila la kheri
Best interview ever
God bless you
I love Tanzania so much
mimi ni shabiki wa kwanz wa hii cople, YESU wa mbinguni awalinde msije kuachana jamani
Kongole shemeji.+254 dam dam.
Nice interview not invading too much privacy space and brilliant questions kudos to Zara and beanpoles so mature of you both and congratulations to BenPol and Anerlisa, May you have a blissful healthy relationship
Beanpole ndo nini
Ben Pol mwanangu sana
Ongereni nyote yani nilipenda iyi interview
Ben pol u look Gentleman
Umetumia Dictionary Basaga
Love u
Ben poul , kizazi Sana mwana