MZAZI MWENZA | LOVE STORY 💕 2024 FULL BONGO MOVIE
HTML-код
- Опубликовано: 15 сен 2024
- Follow Bravoo Genius on Instagram / bravoogenius
Follow Bravoo Genius on Facebook / bravoogx
Follow Bravoo Genius on TikTok www.tiktok.com...
#harmonize
#nandy
#keshoyangu
#juxbado
#zuchu
#hemedychande
#clamvevo
#wakewenza
#nimekoma
#bongohits
#mswahiliwasafitv
#mrmkazi
#mariooyanga
#moskobodocomedy
#moyomashine
#babalao
#latestnollywoodmovies2022
#wasafifestival
#diamondi
#tokamwanzodiamond
Yan mwanao aumwe kutoa pesa ya matibabu mpaka mm ndo nimlete kwako, nyoo utasubir sana , n bora nikaingia maden kea sabab ya mwanangu kuliko kufanya hiki alichofanya huyu dada
Bravo nakumbuka nilisha kuambiaga ww Ni fundi sana unauliza kichwa ukiachia kitu binafsi kinanikosha piga Kaz mwamba utatoboa ❤❤❤❤
Shukrani sana 🙌🏽🙏🏽
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 bravo from mozambiq
@@bravoogenius bravo uyo dada sofia anatumia jina gani na ww unatumia jina gani
@@bravoogeniusfb na inta uyo dada sofi anatumia jina gani na ww unatumia jina gani
Uyu mwamba nitaanza kumfatilia naona ana kanzi nzuri sana👏👏
Umechelewa mbona
Nakufuatilia sana bravoo mwendo wa kupambana
Yeah, Asante sana 🙌🏽🙏🏽
Bravoo baba yani wewe u genius wako unautumia vizur kwakila kitu movie zako nzur broo nikupe maua yako from USA nakukubali sn
Shukrani sana 🙌🏽
Much love from Kenya Safi kaka Bravo
Thank you
Kali sana director Bravoo natazama from kenya...
Thank you
Unaweza
Shukran sana
Wafula Comedian from Kenya 🇰🇪 Good job bravo
Thank you
Nzuri sana
Asante sana
Daah nimefulahi sana nimemuona mwanangu gama 🕺🏾🕺🏾🕺🏾🕺🏾🕺🏾🕺🏾🕺🏾🕺🏾🕺🏾🕺🏾🕺🏾🕺🏾🕺🏾tukwa bai mwamba gairo
Gama boy Gairo boy
Nzuri❤
Asante sana
Yan hii move inanihusu kabsaaa
Safi Sanaa
Asante sana
Kama mm mkenya niko nawe bega kwa bega. Hadi mwisho wa mchezo😋na sitachoka kufatilia movie zako
Bravo we ni kiboko 🎉🎉🎉🎉🎉
Bravo genius unaweza kaka
Shukrani sana
Usiamini mke hata kama ulimuowa atakusaliti second yyte 😊😊😊
Hawa kina mohamed sijui wana nini😂😂 eti king’ang’anizi😂😂😂😂😂😂
Good job broo😊
Unyama nimwingi sana😢😢
Akili mingi❤❤❤
🇹🇿🇹🇿❤❤❤
Nice🎉🎉❤❤
Thanks
🎉
Hiyo nikawaida kwa mwanamke alie zaaa na mwanaume mwingine hapo kuchomoka ningum sn
Sio ngumu kuachana na mzazi mwenza endapo hutahitaji msaada wowote kweke beba majukumu kama mama na usihusishe babake akitaka kumuona mtoto si hata ndugu wapo watampeleka akamuone na arudishwe sio lazima mumeet
Na akitaka kumuhudumia si anaeza lipa ada direct shule sio kila mwezi uongee naye mtoto hivi mara hivi kama ni vitabu uniform aambiwe shule ili kuepuka mambo kama haya learn how to move on
Duuh😂