MCH DANIEL MGOGO - UTAJUAJE YAKWAMBA ORIGINAL YAKO IPO NDANI (OFFICIAL VIDEO)
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- Mch Daniel Mgogo - Utajuaje Yakwamba Original Yako Ipo Ndani
Mahubiri, Preaching, Eliona Kimaro, KKKT, KKKT Kariokoo, KKKT Kijitonyama, Messages, kkkt, eliona kimaro, daniel mgogo, mch eliona kimaro, rev eliona kimaro, mch daniel mgogo, sermons, teaching, preaching, kkkt kariokoo, kkkt kijitonyama, tanzania, bongo, ujumbe, neno, personal growth, lutheran church #mahubiri #chapeolawokovu
Natokea Kenya nakusikiliza nikiwa saudi arabia ,,ubarikiwe mtumishi wa mungu🙏🙏🙏
Nategea kutoka Qatar pastor ubarikiwe sana nami nimebarikiwa pia njia ya kwenda mbinguni ni moja
SHETANI ANAPATA TAABU SAAANA. CHANGIA KABISAAAAA NENO HAI LISAMBAE KOTE ULIMWENGUNI. BODABODA WANAPACK WANASIKILIZA . HALELUYAAA.
Rwanda tunakupenda sana mungu akubaliki
Mchungaji Daniel Mgogo na shukuru kwa kazi nzuri ya mungu unayo fanya ukabarikiwe sana
Maubiri yako mchungaji iko na uzito kwa maisha yetu naomba siku moja nikashirike nawe katika ibaada zako may you be blessed for blessings as your brother's and sisters.
Thanks. man of GOD unahubiri kama Rev Pastor. Mach. huko Democratic of CONGO kweli aliponya roho zawengi. Hata wachawi kanisani wa moja wanahanguka. 😍😝😍
Bora maneno yaniumize lakini nipone katika jina la Yesu
Ubarikiwe mtumish wa Mungu
Mchungaji nimebalikiwa sana nikiwa kenya meru
Saudi Arabia l represent you mtumishi continue na ubarikiwa sana kwa jina la Yesu
Mungu azidi kukupa chakula Cha uzima tupate kuuona uflame wa Mungu
🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunawakilisha kabisa...neno lanijenga sana haswa wakati huu mgumu wa changa hili LA korona virus
Uchumba wa Mudaaaaaaaa mrefu, kuishi na bila ndoa.
kweli mtumishi ubarikiwe sana
Nabarikiwa Sana na mahubiri yako Mch . mungu aendelee kukutumia ili tuponywe
Miili roho ubarikiwe sana mtumishi Wa bwana .
Barikiwa sana mchungaji
Asante saaana baba muchangaju mungu akuzidichiye Mara elfu kwa ufunuo umetubariki saana
Nabarikiwa sana hakika tunakushukuru sana
nabarikiwa sana mchungaji najifunza vitu vingi sana
Haki mchungaji Mungu akuinue zaidi Mimi ni mkatoliki ambaye nimempa Yesu maisha tangu nilianza kukusikiliza sijawahi kukuacha,kila nikiingia ofisini nafungua RUclips .Na kweli lift ni balaa.
💜💜
Amee baba
Habari nzuri sana mchungaji... Barikiwa sanaaaa
Baba Mungu nijalie neema nipate kujitambua.
Ubarikiwe sana baba yetu mungu awenawe tumepona mtumishi
Nikazi njemaaaaa
Ubarikiwe Baba, napona kutoka songea,barikiwa mno,naponaa kwa jina LA YESU
So nice pastor I watch you all the time you nice pastor
Mtumishi wa mungu barikiwa sana mahubiri yako ni kweli yana antivuris manake sisahau
Yaan ukweli mtupuuuu
Thanks for good message poster may God bless you
Unagusa wengi barikiwa sana
Amen baba mchungaji ubarikiwe sana Mungu akutie nguv Kwa huduma ya hiyo
I like the message may God bless you man of God
VERY TRUE INJILI NI YESU HATA KM UNA VIRUS INJILI NI ANTI-VIRUS📌 💯🔥🙌🙌🙌
Ubarikiwe
Mungu akubalike mtumishi kwa neno la kweli
Amen
Amen Amen Amen 🙏
Mungu akubarik mchungaji
Nakupenda Mtumwa wa Kristo Yesu wangu akutunze
maubiri saf na salama ubarikiwe mtumish
Mchungaji
Uko
Vizur
Mungu
Akubariki
Amen ❤❤❤❤❤❤
asante San muchungaji unani faliji san mungu akutiye nguvu San naomba uniombee mungu anikumbuke
AMEN! BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU WA MUNGU
Mungu nipe Roho ya unyenye kevu
Mungu ndie muweza
Umepokea maaana umeomba sahihi
Mungu akujarie mtumishi
oooh mchungaji nimebarikiwa sana na mafundisho yako.naweza pata wapi kanda zako? niko kenya.
Nimefurahi watumishi
Hahahaaaaa nimebarikiwa na mahubiri yako baba ubarikiwe.
Balikiwa Mtumishi Ukweli mtupuuuuu! kabisa.
Amen mtubishi ubarikiwe sana
Ubarikiwe na BWANA,tuko pamoja Veronica Sadi toka songea
Ubarikiwe sana mchg,nabarikiwa na mafundisho yako.kutoka babati.
ubarikiwe mtumish mahubiri yako yanatufundisha mengi sana mwenyenzi mungu akupe nguvu ya kupiga hatua moja zaidi
Mtumishi sijutii kutumia MB na muda wangu, barikiwa saaana
Kindole K Mzee Wa kulipuka nakupenda mchungaji Mgogo unafundisha
@@hidayamgala899 namuelewa sana
amina baba
Ubarikiwe mchj mungu akubariki katika yote
Wow they sung well...bless u praise team
Ubarikiwe sana mchungaji
Glory to God
Well said
Nami niombee mtumishi niponeee
Kenya tunawakilisha
Nipo nairobi,mi mfatiliaji sana wa channel yenu youtube,natamani siku moja nihudhurie mkutano kanisani mwenu.......kanisa linaitwaje na kabisa lipo wapi haswa,mungu na awazidishie neema hii zaidi
Jacob Kisim me too
Ubarikiwe sana mtumishi
Mungu niongoze niwe kiumbe kipya cha original. Nisamehe Kwa yote.
amina
sema baba
Asante pester
Ni ukweli ninakufuata kila mara nikiwa hapa USA, ubarikiwe mchungaji .
Amen Man of God
OK, Pastor nabarikiwa Mungu akuongezee upako by pastor Emanuel Umbu
Amina
Diiiiiioiiiiiiio
Listening from Boston
Ameeen
Nabarikiwa kila nikifungua RUclips ubalikiwe
neno lako lanitia moyo, -kenya
mungu ni mwema kila wakati
Barikiwa Sana mtumishi wa mungu!
Ameni
AMEN AMEN
Mabinti tupo hahaha hahaha mzee baba nimebarikiwa
😂😂😂😂😂 yaan me huwa nabarikiwa na cjawahi kuacha kucheka mahubiri ya huyu mtu
Somo lako limenisaidia sana.
Barikiwa sanaa
Ubarikiwe mtumishi
Muchungaji Mungu akbariki sana
una matunda gan wakati ata maua huna
😀😀😀😀😀😀😀
umenigusa mtushi.
Nawezaje kupata namba ya mch
mchungaji mimi naomba nikupe namba yangu uwe unanirushia whasaap nafarijika sana
Asilimia kubwa
ubarikiwe
Aminaaaa
Amen
Amina
Ubarikiwe saana mtumishi
Barikiwa sana mchungaji
Uko vizuri mtumishi
Asante mch mgogo mahubiri yako yananibariki sana jina la bwana libarikiwe.
Amen
Amen
Amen