Wanaumee hawajuii wanataka nn ukikonda shida ukinenepa shidaa Yan hadiii nimelia Kam nimeambiwa hayo maneno mimii Yan daaaah Hawa viumbe hawajuii wanatak nn wallah😢😢😢
Mmmh wanaume mungu anawaona meneno gan hayo kwa mkeo ht angefanya mazoez na akawa mwembamba bado angekuwa na visa harawa wa nje kamzuzua hizo ni hila tu za kusema et kanenepeana yan wanaume ni nyoko
Yan mm niwe na pesa zangu naweza kulea watoto wangu alafu mwanaume ambae ananiomba ad pesa alafu anisumbue akili yangu nitoe choz kwajili yake over my dead
Maskini pole cecy unampenda sn mumewako ushafanya juhudi zako ss keti kimnya tizama maisha yako na wanayo utaona Mola atakavyo mpiga kiboko ajute kukufanyiya manaya km hayo wacha nayo piga moyo konde uwendele na maisha yako humuwezi victor ana damu ya uzinifu
Kadiri siku zinanvoenda nazidi kutambua hawa ndugu , ukisema uwe ili uwafurahishe utalia makamasi yataisha utaanza kutoka ubongo kwa hiyo nivema tu uwe unanvopenda wewe na sio hawa ndugu
Haki vile mwanaume huwezi nibadilisha eti niwe mnene au mwembamba kama ukihisi sikuvutii,nenda kwa hao wankuvutia ninachojali ni furaha yangu PERIOD,uwi tena uniletee mapicha picha kama haya Victor utafurahi as long Nina ela unitishi
Ndoa Sio maigizo jmn haya maisha yapo Kila mahali hasa Ukiisha iahi na mtu baada ya miaka kadhaaa aloooo inaonekana mbwaa lkn yote Tisa kumi tunavumilia mengi sn
@@SalmaNguzo-h6h ukikonda atasem mwanamk gan umekauka hata pakushka spaoni kila kona mifupaa tatzo umezdi gubu mke wang ndman haunenep yn wanaume hawatabilik ndugu hata uweje kuchitiwa kupo pale pale🙌🙌🙌🙌
Haya maisha ya cecy,ndo maisha halisi ya ndoa nyingi kbc
Mm mwemyew naona wanawake wengi tunaopitia changamoto ya cecy sema hayaonekana tunaficha ili watoto wakue
Wanayataka kwani kuachana nizambiii
@@RozPeter-s5z kwel dear watoto ndo changamoto
Ukimfatisha kama anavyotaka utakoma jipe furaha kuwa na aman
Halaf Mariam mbn wanamuwekaga kwenye ndoa tu? Tena za kulia tu😭😭mie navokapenda jaman wanakalizaga tu
Duu hata mmewangu ameniliza.sana haya mambo sio kwenye picha tu
Ila Victor 😢😢, sema hii move tangu nimeanza kuifatilia inafunzo mazuri sana
Victor nakuita mara tatuuu,kwa nini lkn unamfanyia hivyo sesy,sijapendaa😅😅
😢😢😢 Duuuu wanaume xhikamoni duuuu inauma jamn kama umeona hii hata mwanaume akikwambia nakupenda huwezi muelewa hata huwezi kumjibu jaman
Yan mwanaume akifikia stage hiiii Bora uage Dunia ya mapenz Kwa sain ya dole gumba
Inaumiza Ila basi tu
Acha ninenepe hata kama niwe kama tembo wala sijali kikubwa niwe na aman na sio kumfurahisha mbwa koko mmoja
Wanene is typing 💬 😢,, victor achinjwe chrismas
Wee😂
😂😂
Wanaumee hawajuii wanataka nn ukikonda shida ukinenepa shidaa Yan hadiii nimelia Kam nimeambiwa hayo maneno mimii Yan daaaah Hawa viumbe hawajuii wanatak nn wallah😢😢😢
Kiukweli mimi binafsi yalishanitoke kabisa lkn niliondoka mazima
Nitabak singo had nakufa no stress mm
Ukiwa bonge anatafta mwembamba ukiwa mwembamba anatafta bonge ila nyie wanaume bas tu
Daah ndo maisha tunayoishi
Mbwa Koko Hawa nashukuru navijisenti vyangu vinanitunzaa
Msimlaumu huyu karogwa😂😂😂
Mmmh wanaume mungu anawaona meneno gan hayo kwa mkeo ht angefanya mazoez na akawa mwembamba bado angekuwa na visa harawa wa nje kamzuzua hizo ni hila tu za kusema et kanenepeana yan wanaume ni nyoko
Wanawake tutafute ela,tuache stress ya Mapenzi,Na Mwanaume akishajua unampenda umeisha,Fanya kazi kwa bidii kuepuka dharau,Matusi inaumiza 😢😢😢😢😢😢
Kabisayani taosha vyombo warabuninhata myaka 10 hadi nione muafaka wamaisha yangu mapenziupuzi
Mtuletee na Azam two
Yan mm niwe na pesa zangu naweza kulea watoto wangu alafu mwanaume ambae ananiomba ad pesa alafu anisumbue akili yangu nitoe choz kwajili yake over my dead
eeee hayo maneno jaman mbna makali
Yani nimeumia sana japo ni movie lakini wapo watu wanaopitia hayo kiuhalisia
Niliachia ngaz
Maskini pole cecy unampenda sn mumewako ushafanya juhudi zako ss keti kimnya tizama maisha yako na wanayo utaona Mola atakavyo mpiga kiboko ajute kukufanyiya manaya km hayo wacha nayo piga moyo konde uwendele na maisha yako humuwezi victor ana damu ya uzinifu
Mwanamke unakuwaje mnene chek dharau hz😂😂😂😂
Maisha ya cecy ndiyo ndoa nyingi siku hizi zipo hivyo😢
Kadiri siku zinanvoenda nazidi kutambua hawa ndugu , ukisema uwe ili uwafurahishe utalia makamasi yataisha utaanza kutoka ubongo kwa hiyo nivema tu uwe unanvopenda wewe na sio hawa ndugu
Yn hii ni kwel kbc ndoa nyng zipo iv
Kuwa mwanamke mwenye kujiamini cecy dharau hiò machozi hayana suluhisho
Victor matak......yakooo so wanene tufanyejeee kwa mfano
Ndo nguvu ya limbwata au
mweeee😢😢😢 ya leo
imeniuzunisha
Duh jamn Victor alaaniwe
Haya yote yapo kwenye ndoa ,aminini
Ila wanaume mhh😢😢
Haki vile mwanaume huwezi nibadilisha eti niwe mnene au mwembamba kama ukihisi sikuvutii,nenda kwa hao wankuvutia ninachojali ni furaha yangu PERIOD,uwi tena uniletee mapicha picha kama haya Victor utafurahi as long Nina ela unitishi
Ndoa Sio maigizo jmn haya maisha yapo Kila mahali hasa
Ukiisha iahi na mtu baada ya miaka kadhaaa aloooo inaonekana mbwaa lkn yote Tisa kumi tunavumilia mengi sn
Mi ndio maana najipa Raha mwengewe
😂😂😂daah unaweza ukaua mtu eti kilo 1800
Mense 💔 hierdie boek word dié 👏
Ila wanaume khaaaaaa😭
Victor atajuta siku moja
Hata niwe kama litembo poa tu nenda huko kwa viswala vyako unarudikifanyaje.hapa
Shida tuna tafuta watoto wawaganga kurogwa Bado kupo wachwi Bado wapo town
Aiseee Victor nyie uchawi Upo 😢😢
😂😂😂😂 victory kajichanganya kwa mtoto wa swailini
Washamroga siku dawa zikiisha kashapoteza kila kitu😂😂😂
Cecy l love you my favorite
Mi upuuzi huo siwezi naweza kuua mtu
Wanaume mbwaaaaa😅😅
😂😂😂😂😂
😂Kudadeki kumbe ananiongopea nami nilimwambia nifanye zoez kasema hapana Aweee nishaijua hii keshotu naanza kabla hakija niramba😂😂😂
🤣🤣🤣aweeee kitakuramba
@@Christine-rx5vdkesho mapema Sana miezi 3 kwisha😂😂
😂😂😂😂weeeee hiinayo ninoma
😂😂😂😂ila hawa viumbeee jmn ni wakuwasindikiza moton na kuni zaooo mmh to much
😂😂😂Tuwape na kiberiti kabisa
@@SalmaNguzo-h6h tena kberit cha ges mi nitawasndkza na dizel mbwa hawa 😂😂😂😂
Izi njo ndoa za sasa
Victor ni mpumbavu san
Sio akili yake Victor
jaman jaman wanaume dah
😂😂😂😂 dah
Ni Maisha tunayoishi, nimelia Kwa kweli
Kilio chaweng
Umeona eeh
Kwanamke unakila 1800 😮
Machungu anayoyapata cecy
Wamama tupunguzeni kunenepeana jaman😅😅😅
Naanzakesho mazoez😂
@@SalmaNguzo-h6h ukikonda atasem mwanamk gan umekauka hata pakushka spaoni kila kona mifupaa tatzo umezdi gubu mke wang ndman haunenep yn wanaume hawatabilik ndugu hata uweje kuchitiwa kupo pale pale🙌🙌🙌🙌
@@SwaumChawageukikonda anatafta bonge 😁😁
Dharau kubwa sana kamfanyia kwan hakumuona tangu mwanzo
Uchawi upo
😢😢😢
Mmmmmh
Vitu vingine sio moov tunaviishii 😢😢
Yani hayo mambo yapo jamnn ndani ya ndoa😢maumivu ni makali
Haswaaa
Niwengi wanapitia ila wanajikaza
@@OlpaJoyce-sr4iq sana maisha yamejaa maumivu
Tunayaishi dear