Jmn mama Kanuwa nakukumbuka nilipokuwa nafanyia Hindu mandal hospital. Nakumbuka unaishi karibu na makumbusho M-MUNGU AZIDI kukujaalia afya njema mamaangu jmn. Hunaga maringo mgonjwa wetu, Pole sana sana umejaaliwa moyo wako mama kanuwa. Mungu awabariki. Allahu KAREEM.
Great Job done By HVG! Kudos!
What a loving husband and family in general. Mke/Mume Bora hutoka kwa Mungu. Mke Mbaya huharibu ndoa/ familia kwa mkono yake mwenyewe.❤