Wengi i tumekua tukichukulia very lightly mambo ya uchawi, na ukiangalia mifano dhahiri na ku relate unaona kabisa, kuna mambo yanakua yanaendelea katika familia au ukoo, ambayo its typical witchcraft, Mungu atuwezeshe kushinda nguvu za kichawi ..Ahsante mtumishi wa Mungu.
Naona mpaka sasa tunawachawi saba walio dislike haya mafundisho powerful lakin wamesahu kilichompata elima na kwa hili tunaweza kushuhudia kua wamerogwa ufahamu na wamepigwa upofu. Asante mtumishi wa Mungu kwa kutufungua kiroho, kimwili na kiakili Bwana Yesu akubariki sana, akulinde na kukuhifadhi na neema yake ikazidi kwako zaidi kwa utukufu wa Jina lake Yesu Kristo, Amen.
Jamani eee nimecheka yangu yote mchungaji alipo sema Bangladesh nikamkumbuka senga,🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌ubarikiwe sana Mungu akuinue zaidi mchungaji 🙏🙏 uchawi upo na tunaitawanyisha kwa njia saba
Ubarikiwe Sana Mtumishi niliyapitia hayo, bila Mungu nisingekuwepo kwenye USO WA Dunia, zidi kuuliza Imani yangu, japo Niko mbali, lakini Kwa NENO la MUNGU, Hakika Niko salama, Nia nitanena na wengine, ubarikiwe sana
BABA KTK JINA LA YESU. NINABARIKIWA NA MAFUNDISHO YANAYOENDELEA KUHUSU SPIRIT YA UCHAWI KTK MAISHA. NINAOMBA BABA MUNGU WFTU AONDOE KABISAAAAA UCHAWI KTK FAMILY, KWANI SIJUI KWA NINI BAADHI YA NDUGU WAUZUNGUMZE. YESU WANGU UWASHUT UP KABISA. ..
Nasikiliza hili somo leo 24.1.2023 nikiwa kibaha pwani kata ya kongowe mtaa wa bamba!!! Mungu nisaidie nimalize mwendo na wachawi na waganga wasinishinde
YES CHIEF UMENIONGELEA MIMI .HAKIKA PANAUCHAWI KATIKA MAISHA NIKIANGALIA KUNA ELIMA MAHALI ANANICHAWI ICONNECT KILA MCHAWI CATCH FIRE .NA POKEA ANOINTING KATIKA JINA LA YESU LIKE FATHER , LIKE SON .. ORAY FIRE ME CONECTING FROM LEBNON.
CHIEF NIOMBEE NIMEKAZIWA NA BOSS WANGU KUCONNECT MIRACLE OIL .IMAGINE MAMA HUYU AMEKATAA . ETI NIKITAKA MAFUTA YA ANOINTING NI NUNUWE KWA INCHI YAO NAMI NILUJIBU NO NATAKA YA SPIRITUAL FATHER WANGU , OOH ANEKIMYA PLZ DENGUWA UCHAWI HUU UNITOKEE MAISHANI MWANGU .
Yani humu kwenye comments Kuna watu na viatu huyu pastor akiongea neno ambalo unakuta limekuingia utaona wanashangilia akianza kuhubilia watu na kutoa mapepo akitoa unabii wake mnakuja na comments za ajabu mnatuvunja moyo wafatiliaji jmn tulioko nje ya tz jmn
Asante kwa ufunuo huu sasa najua kama kuna kitu kinaendelea maaana si kwa uzito huu maombi kwa mbinde Bible nikisoma sielewi YESU NISAIDIE
Wengi i tumekua tukichukulia very lightly mambo ya uchawi, na ukiangalia mifano dhahiri na ku relate unaona kabisa, kuna mambo yanakua yanaendelea katika familia au ukoo, ambayo its typical witchcraft, Mungu atuwezeshe kushinda nguvu za kichawi ..Ahsante mtumishi wa Mungu.
Nabarikiwa Sana nafunguliwa pia
Somo nzuri sana kabisa
Mungu akutumie zaidi.
Asante kwa somo nzuri mtumishi
Asante Mtumishi Apostle Mtalemwa kwa Neno lako ubarikiwe Mungu akuzidishie miaka mingi sana ya utumishi wako napenda sana mahubiri yako
Naona mpaka sasa tunawachawi saba walio dislike haya mafundisho powerful lakin wamesahu kilichompata elima na kwa hili tunaweza kushuhudia kua wamerogwa ufahamu na wamepigwa upofu.
Asante mtumishi wa Mungu kwa kutufungua kiroho, kimwili na kiakili Bwana Yesu akubariki sana, akulinde na kukuhifadhi na neema yake ikazidi kwako zaidi kwa utukufu wa Jina lake Yesu Kristo, Amen.
Powerful!!! YESU akutunze Apostle somo zuri sana.
Asante chief apostle kwa somo hili Mungu ameendelea kukutumia tena kwaajiri yangu..
Natamka kila mchawi aliyechukua ufahamu wangu kamata motoooo🔥🔥
Ahsante kwa fundisho zuri baba. Ubarikiwe mkuu.
Namkubali Rev. Mtalemwa!!
Be blessed!!
God bless you man of god IS trust wengi wamelogwa kabisa makanisani uchawi upo na kiakili watu wa melogwa kabisa
Hili somo huwa nalisikiliza sana mara kwa mara
Jamani eee nimecheka yangu yote mchungaji alipo sema Bangladesh nikamkumbuka senga,🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌ubarikiwe sana Mungu akuinue zaidi mchungaji 🙏🙏 uchawi upo na tunaitawanyisha kwa njia saba
Chief Apostle Unatufunza sana 🤝🤝
Ubarikiwe Sana Mtumishi niliyapitia hayo, bila Mungu nisingekuwepo kwenye USO WA Dunia, zidi kuuliza Imani yangu, japo Niko mbali, lakini Kwa NENO la MUNGU, Hakika Niko salama, Nia nitanena na wengine, ubarikiwe sana
Hallelujah glory to God nawachukia wachawi jaman
Wachawi wote !!!!catch fireeee ,,,,Mungu wa Major 1awaumbue kama elima kwa jina la Yesu
Mungu akutunze baba yangu mlezi wa roho yangu, unayenilea kufuata njia za Mungu. Ubarikiwe mnooo. Hakika thawabu yako ipo. Asante kwa somo zuri mnoooo
Sema tupone baba yetu chief nakupenda
Apostle your too much,,Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu. Amen
Asante Chisf Apostle, kwa Somo zuri ,binafsi yangu nijifunza kitu kikubwa Sana !
It's powerfully
Very powerful prophet is ture
God comfort you
Mungu akubariki mtumishi
Nakubali uchawi upo sana tu
Barikiwa sana mtumishi
Asante apostle mtalemwa bushiri kwa neno zuri 🙏🙏 Mungu azidi kukuweka viwango vya juu
Asante sana Chief kwa ufunuo huu hakika hajaja hivi hivi umenikomboa sana
Huo dio ukweli mtumishi
Mungu akutunze kwa utukufu wake chief asante kwa somo zuri
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🤸wapigweee
Kila napokusikiliza mtumishi wa Mungu najifunza kitu kipya. Namshukuru Mungu kwa kunikutanisha na mahubiri yako hapa RUclips
Oooooh halelujaaaa ubarikiwe man of God
Hahahahaaaaaaa!!!umelogwa na mtu wa shinyanga
asante Yesu kwa kumleta chief apostle
Asante Sana Mwajina Wa Baba Yangu Mutalemwa
Hoo lord 🙏 remember me and my family in Jesus name protect against witchcraft
Exactly 💯 Apostle
Nalisikiliza hili somo leo tena 16-12-2022 nikiwa arusha sinoni mtaa wa migungani. Asubuhi saa moja
BABA KTK JINA LA YESU. NINABARIKIWA NA MAFUNDISHO YANAYOENDELEA KUHUSU SPIRIT YA UCHAWI KTK MAISHA. NINAOMBA BABA MUNGU WFTU AONDOE KABISAAAAA UCHAWI KTK FAMILY, KWANI SIJUI KWA NINI BAADHI YA NDUGU WAUZUNGUMZE. YESU WANGU UWASHUT UP KABISA. ..
Hahahaha Baba nimecheka na nimepata kujifunza kitu ubarikiwe mnoooo
Nimebarikiwa Sana.
This is God speaking
Yes, indeed 👏
Mimi itikadi yangu natambua kuna kulogwa!!! Najua uchawi umetajwa!! Kwenye biblia kwahyo uchawi upo
NIMEPENDA SOMO Lako UBARIKIWE mno.
Hakika apostle nakukubali tufundishe tupone maana uchawi upo
Ameen ushindwe kwa jina la yesu
Lovly apostle
..🤣🤣 Bangaladash....thats funny .
Somo strong sana hili
Nakukubar baba
Bigup Apostle
Asante mtumishi was Mungu
Thx dady
Aminaa
I understand the topic be blessed
Asante Sana Apostle...
Nimekielewa Apostle
🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️👏👏👏
Powerful
Wewe mchawi Elima uliyeniloga upewe upofu wa muda Katika jina la yesu it’s done ☑️
Come out from my family in Jesus name 🙏
God bless you more and more
Nasikiliza hili somo leo 24.1.2023 nikiwa kibaha pwani kata ya kongowe mtaa wa bamba!!! Mungu nisaidie nimalize mwendo na wachawi na waganga wasinishinde
#Amina.+👏 👏 👏
Amina Amina
Kweli chief hata mimi nimelogwa Mungu anisaidie🙏🏻
Hakika tunatakiwa tuwamalize tuwaue
Uchawi upo nimegundua kumbe baba yangũ alikufa kwa kulogwa
Nani amesikiza hii message 2023 kama uko pita na like
Amen.
Ahsante Sana chief apostle mtalemwa kwa SoMo zuro
YES CHIEF UMENIONGELEA MIMI .HAKIKA PANAUCHAWI KATIKA MAISHA NIKIANGALIA KUNA ELIMA MAHALI ANANICHAWI ICONNECT KILA MCHAWI CATCH FIRE .NA POKEA ANOINTING KATIKA JINA LA YESU LIKE FATHER , LIKE SON .. ORAY FIRE ME CONECTING FROM LEBNON.
Chief apostle yupo vizur sana anatembea namafunuo ya Mungu
Ame appostle
Anayejua huduma hii ilipo aniambie tafadhali, maana leo nimejifunza mno
Kanisa linaitwa ecg lipo kwnye njia kama unaelekea makongo juu
Karibu sn tupo makongo juu kituo mashine au mdaada kanisani. Karibu tuabudu wote
Ukijua habali za yesu kristo ni faida
Amina dada Sara, naomba tu nkukumbushe kua jina la Yesu linaanza kwa herufi kubwa, ubarikiwe sana na Bwana Yesu.
❤❤❤
samea mara saba sabini hizo nyama za watoto uliokula utazitapika
CHIEF NIOMBEE NIMEKAZIWA NA BOSS WANGU KUCONNECT MIRACLE OIL .IMAGINE MAMA HUYU AMEKATAA . ETI NIKITAKA MAFUTA YA ANOINTING NI NUNUWE KWA INCHI YAO NAMI NILUJIBU NO NATAKA YA SPIRITUAL FATHER WANGU , OOH ANEKIMYA PLZ DENGUWA UCHAWI HUU UNITOKEE MAISHANI MWANGU .
👏👏👏
Wachawi wa Kyela potelea mbali.
🙏🏼
Hakika
Amen be blessed
❤️🇧🇮
Amen
Mimi amina🙏🙏🙏
That is my chief iyee
Duh naona wachawi wame dislike vidio hii
Yani humu kwenye comments Kuna watu na viatu huyu pastor akiongea neno ambalo unakuta limekuingia utaona wanashangilia akianza kuhubilia watu na kutoa mapepo akitoa unabii wake mnakuja na comments za ajabu mnatuvunja moyo wafatiliaji jmn tulioko nje ya tz jmn
God bless you man of god IS trust wengi wamelogwa kabisa makanisani uchawi upo na kiakili watu wa melogwa kabisa
Barikiwa sana mtumishi
Ahsante Sana chief apostle mtalemwa kwa SoMo zuri
Amen
Barikiwa sana mtumishi
Amen
Barikiwa sana mtumishi
Amen
Amen