Shuhudia vitu vinavyosababisha saratani ya koo 'kunywa pombe, Tumbaku'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 окт 2024
  • Daktari bingwa wa magonjwa ya uzazi na wanawake kutoka hospitali ya Salaaman iliyopo Temeke, Abdul Mkeyenge ameeleza vitu vinavyosababisha saratani ya koo ikiwa ni pamoja na unywaji pombe kupita kiasi na utumiaji wa tumbaku.

Комментарии • 3