SIMBA MWEUSI - EPISODE 13 | SEASON 2 |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • #chumvinyingi #season2 #simba

Комментарии • 96

  • @ButoyiRukiya
    @ButoyiRukiya 6 дней назад +5

    Duuh nimewahi afu imeyishiya pazuri

  • @KilimaNandwa-z9o
    @KilimaNandwa-z9o 5 дней назад +1

    Chumvi please unajuwa nakufwatilia pande zote usiseme na simba please harakisheni simba mweusi

  • @HillaryMachano
    @HillaryMachano 5 дней назад +7

    Chagama muongo😁😁😁

  • @justineonline6556
    @justineonline6556 4 дня назад +1

    Aliyecheza kama dr simba anatupanga bado kazi yake haijaonekana.

  • @StephanoKambangwa
    @StephanoKambangwa 5 дней назад +5

    uyo cheupe ni mtoto wa taxmosh

  • @joufflyngmutangaza306
    @joufflyngmutangaza306 6 дней назад +5

    Ni shida 😂😂😂😂😂🔥🔥🇨🇩🇨🇩

  • @SaimonLaban-p9d
    @SaimonLaban-p9d 5 дней назад +2

    Yani uyo mukone hajui kuigiza Tangu ezi izo na kanumba

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 дней назад +4

    Mwinyi mkuu sasa utafanyaje hapo

  • @FabianNtimba
    @FabianNtimba 5 дней назад +4

    Sim mmezimaaaaa?🫡

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 5 дней назад +5

    Kwa Cumvi kumeanza kucangamuka🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 дней назад +4

    Tupe batuli wetu mwinyi mkuu

  • @chejutv4794
    @chejutv4794 5 дней назад +4

    Mamkwe hayupo msituni itabidi waje siku nyengine❤

  • @NasmaChipila
    @NasmaChipila 5 дней назад +6

    Wananita nani miooooh!!!🎉🎉🎉

  • @mbarakmkanyi2224
    @mbarakmkanyi2224 4 дня назад +1

    Kazi imepangwa vp .....usiseme haiendelei , simba mweusi balaaa tujueje sisi mashabiki wako

  • @khadijahhussan182
    @khadijahhussan182 6 дней назад +5

    😊Ila jmn mwinyi mkuu ni Li handsome👌

  • @ElizaOswad
    @ElizaOswad 3 дня назад +1

    Kaka chuvi ongela kwakazizako naenda sa movi zako vipikusu nyau mbona kahauponae yakweli kk

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 дней назад +4

    Hence mzee wa mapenzi

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 5 дней назад +6

    Pashambe akiigiza mganga au mchawi ni nomaa

  • @Halima-x1r7r
    @Halima-x1r7r 6 дней назад +4

    Nawapenda kaz yenu nzur sana❤❤❤❤👏

  • @Smooth-vy5ky3qp6s
    @Smooth-vy5ky3qp6s 6 дней назад +4

    Chumvi wa kijijini mukali kabisa 😂😂😂

  • @AllyMsuya-ut5qf
    @AllyMsuya-ut5qf 6 дней назад +5

    ❤❤❤ WACHAAAAAA KURUKUTANTA MANTETERE. HUUU MSEMO USHANIHARIBU

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 5 дней назад +7

    Bashambe mbona kama sikuamini unacheza naakiri ya bwanamku🎉🎉🎉

  • @DavidOduor-b3l
    @DavidOduor-b3l 6 дней назад +5

    From Kenya Nairobi

  • @hamisuuhamadi1663
    @hamisuuhamadi1663 5 дней назад +1

    Chagama muongo promax😂😂

  • @GgGgg-z8x
    @GgGgg-z8x 6 дней назад +5

    Kazi nzuri❤bt munachelewesha mpaka tunasahau

  • @MrMiwani-oz9dw
    @MrMiwani-oz9dw 6 дней назад +5

    Sikombari na chumvinyingi gang movi zako kari sana broo chumvi

  • @soldd-xz5ue
    @soldd-xz5ue 5 дней назад +9

    Chumvi nimeipenda hiyo nyimbo, halafu much love kwa movie zako❤❤❤❤

  • @dtv6734
    @dtv6734 5 дней назад +4

    MachoMacho SkombiSoo

  • @SaidiKazungu-f8m
    @SaidiKazungu-f8m 6 дней назад +5

    Pamoja sana nawafuatilia vizuri sana 👍 mko vzuri big up 👍.

  • @EmmanuelOpili-e2u
    @EmmanuelOpili-e2u 5 дней назад +4

    🎉🎉🎉 kazi nzuri kine

  • @SalhaNassor-m7t
    @SalhaNassor-m7t День назад +1

    Kaka chumvi sikuhz mnachelewa sana kutoa episode tunasubir mpaka siku2 tunaona kimya, so rai yangu kwangu kama shabiki yenu naomba mjitahid sana kutoa new episode. Pia Mungu awabariki awatie nguvu katika majambo yenu

  • @mbarakmkanyi2224
    @mbarakmkanyi2224 6 дней назад +6

    Yote 9 10 chagama ndo mkombozi wa kine😂😂😂😂😂😂

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 5 дней назад +2

      Kama inaniingiya kicwani iyo😂😂

  • @BoscoMzur
    @BoscoMzur 6 дней назад +5

    Amsi amemsahau kabisa batuli yupo uhuru

  • @mnyakitz2007
    @mnyakitz2007 6 дней назад +4

    MADOA HATAKI UMBEA😂😂😂😂

  • @MariamGuyo-c2w
    @MariamGuyo-c2w 5 дней назад +5

    Nipeni like zangu jamani niko na njaa nizifanye supu ila chumvi nakupenda hataka nitakuwa mke wa pili sina shida 😢😢😢😢😢😢

  • @John-n9c8f
    @John-n9c8f 5 дней назад +1

    Mm wa 79 nizingatieni ssa

  • @chelahkenyah3596
    @chelahkenyah3596 4 дня назад +1

    Move imenboesha

  • @JaysonZinga-l7u
    @JaysonZinga-l7u 6 дней назад +5

    Mimi huyoooo

  • @MazanzaOfficial
    @MazanzaOfficial 5 дней назад +4

    Great Job Chumvinyingi Gang🔥🔥🔥👏👏👏

  • @JITULAMTUMBA101
    @JITULAMTUMBA101 5 дней назад +5

    Bilashaka sasha ni muhaya maana anapenda kusifiwa😂😂😂🙌🙌🙌

  • @KhadijaSallum-b7l
    @KhadijaSallum-b7l 4 дня назад +2

    ℕ𝕚𝕝𝕚𝕞𝕚𝕔 𝕦𝕠𝕟𝕘𝕖𝕒𝕛𝕚 𝕨𝕢 𝕜𝕚𝕕𝕠𝕕𝕠𝕞𝕓𝕚 𝕒𝕘𝕙😂😂😂😂

  • @SalamaCharo-q6k
    @SalamaCharo-q6k 6 дней назад +5

    Waoooow mfalme wa kidodomi shikamoo

  • @PrisilajakoboKimario
    @PrisilajakoboKimario 6 дней назад +5

    Mm wa10

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 5 дней назад +2

    kidodombi Ni mtu hatari sana
    kwenye hile mfalme kidodombi

  • @HazardBoy-h4w
    @HazardBoy-h4w 6 дней назад +5

    Kaz inayofuat kaen Management tuandae kaz moj mbl kidg azifk kw wakat ni bola tutulie kwny siries moj ata ubunif unakuw mkubw , piaa tujitaid , mafunzo , yanafanyika kwny maisha yet😊

  • @abdulsombyamiles864
    @abdulsombyamiles864 6 дней назад +6

    Alafu mmeishia pazuri jamani 😊

  • @MussaRevocatus
    @MussaRevocatus 6 дней назад +6

    Hapo xawa naipenda xan simba

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 6 дней назад +5

    Mashallah ❤❤❤❤❤mungu abaliki sana kazi zenu

  • @HhBbh-tn5uh
    @HhBbh-tn5uh 6 дней назад +5

    Kine watueka sana😢😢

  • @SalamaCharo-q6k
    @SalamaCharo-q6k 6 дней назад +5

    Pashambe wewe nimzuri ila izo ndevu nyoa

  • @abdulsombyamiles864
    @abdulsombyamiles864 6 дней назад +5

    Nimekuwa wa kwanza aisee
    Maana nilikuwa na hamu sana na hii episode ili nijue kinacho jiri

  • @SifaKasimu
    @SifaKasimu 6 дней назад +7

    Inaonekana docta simba alikuwa handsome sana😅

  • @RathikaRathika-o9i
    @RathikaRathika-o9i 5 дней назад +3

    🎉🎉🎉🎉

  • @amosziro4152
    @amosziro4152 6 дней назад +11

    Wakwanza kutoka Kenya chumvi nyingi hoyee nipeni likes zenu

  • @abdulsombyamiles864
    @abdulsombyamiles864 6 дней назад +6

    Leo nimewahi aiseee
    Nipeni mauwa yangu 🎉

  • @mariammariam5723
    @mariammariam5723 6 дней назад +5

    Kweli wakwanza mie ❤

  • @KimsitiThedon
    @KimsitiThedon 6 дней назад +5

    Ufu wanagu ❤😢

  • @HamisiMachinda
    @HamisiMachinda 6 дней назад +6

    Chumvi pombe imekukubal baba 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😂😂😂😂

  • @HhBbh-tn5uh
    @HhBbh-tn5uh 6 дней назад +7

    Boss chumvi mbona watueka siku hizi❤❤❤❤❤

  • @WardaKambi
    @WardaKambi 6 дней назад +6

    Mtuwee Simba mweusi Kila siku lkn USISEME tutangalia mwakani😅😅😅

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi День назад

    Mungu akubariki sana bro simba kwa kazi yako nzuri ❤❤❤❤❤❤

  • @SumaVelli
    @SumaVelli 6 дней назад +5

    Batuli ni kubakwa tu mwanzo mwisho

  • @richardgodfrey9020
    @richardgodfrey9020 6 дней назад +5

    No chendu no nyau wanaume wana songesha jahazi kinoma

  • @FatumaJuma-i8q
    @FatumaJuma-i8q 5 дней назад +1

    Chendu nyau maina mlikuwa mnatupa raha sana

  • @RakmaRakma-o9b
    @RakmaRakma-o9b 6 дней назад +4

    🙏🙏❤️❤️❤️🇧🇮🇧🇮

  • @PascalIlunga-zs6xi
    @PascalIlunga-zs6xi 6 дней назад +4

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🙏

  • @VeronicaBonafasi
    @VeronicaBonafasi 6 дней назад +4

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂

  • @Nicky-r5c
    @Nicky-r5c 6 дней назад +5

    Wakumi na Saba Leo bana likes kwa wingi watu wangu wa Simba mweusi tunakukubali sana🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @NtacobanzizaLeatitiazilfa
    @NtacobanzizaLeatitiazilfa 5 дней назад +2

    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 дней назад +5

    Chumvi ukimaliza simba mweusi na usiseme plz tupe kazi moja moja hivi utajichangqnya

  • @gayanestory4357
    @gayanestory4357 6 дней назад +4

    ❤❤❤

  • @MaryNyota-xh9rw
    @MaryNyota-xh9rw 5 дней назад +1

    🎉🎉🔥🔥🔥🔥

  • @RosemaryEmmanuel-s9o
    @RosemaryEmmanuel-s9o 6 дней назад +4

    ❤🎉

  • @MwanamkuuSefu
    @MwanamkuuSefu 4 дня назад +1

    Wacha kurukutata mantetema

  • @Hemedy-r8g
    @Hemedy-r8g 5 дней назад +1

    Tupo pmj kk

  • @HaidaHachimfrida
    @HaidaHachimfrida 6 дней назад +7

    Ivi uyo mama yake mkwe wa chumvi nyingi sinjo uyo nyagemba 😂😂 mbon kama ananicanganya mie

    • @hamisimkongo4209
      @hamisimkongo4209 6 дней назад +1

      Ndo yeye

    • @ZAHARANDOTA
      @ZAHARANDOTA 6 дней назад +1

      Ndo uyo nyangembaa

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 5 дней назад +2

      Nyangemba mwenyewe uyo😂😂😂

    • @farlykunga8599
      @farlykunga8599 5 дней назад +2

      Jaribu ukiwa unakula usikose na mboga za majani..zitakusaidia sn kweny kutunza kumbukmub ...unaonkan una kichwa kizito san dada..jitahid ushaur wangu kunyw maji meng ssn...itakusaidia..😢

    • @KhadijaSallum-b7l
      @KhadijaSallum-b7l 4 дня назад

      😂😂😂😂😂😂​@@farlykunga8599

  • @NasmaChipila
    @NasmaChipila 5 дней назад +3

    Wananita nani miooooh!!!🎉🎉🎉

  • @John-n9c8f
    @John-n9c8f 5 дней назад +1

    Mm wa 79 nizingatieni ssa

  • @FeruzSilaji-e2r
    @FeruzSilaji-e2r 6 дней назад +4

    ❤❤❤

  • @SitaniRongo
    @SitaniRongo 5 дней назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @RosemaryEmmanuel-s9o
    @RosemaryEmmanuel-s9o 6 дней назад +3

    ❤🎉

  • @TausiJoseph-t8t
    @TausiJoseph-t8t 6 дней назад +5

    ❤❤❤🎉

  • @mariammariam5723
    @mariammariam5723 5 дней назад +1

    ❤❤❤