Ni Hekma ya Allah Kukupa Dunia Ili Uweze Kuinunua Akhera yako. Adinan

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 20

  • @IraguhaOlivier-hr8fr
    @IraguhaOlivier-hr8fr 12 дней назад

    Manshallah Shehke endeles kutupa elimu nakufuata 5/5 kutoka inch Rwanda

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 6 месяцев назад +1

    MAASHAA ALLAH MAASHAA ALLAH barakallahu feek sheikh

  • @AhmedOmar-k1c
    @AhmedOmar-k1c 3 месяца назад

    Mashallah sheikh unatupa elimu kubwa mno mungu akuhifadhi kwa hakika wewe ni kiongozi

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 3 месяца назад

    MASHALAH MAWAIDHA MAZITO NA YENYE MAZINGATIO
    ALLAH AKUPE UMRI MREFU WENYE KHERI NA WEWE NA AKUJAALIYE MWISHO MWEMA AMIN

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 5 месяцев назад

    ❤mashaallah tabarakaah ❤
    Shukran Sheikh wetu mawaiza mazuri sana ❤mungu ukupe afya njema Naumri mrefu ❤inshaallah

  • @KhadijaJuma-r4z
    @KhadijaJuma-r4z 2 месяца назад

    Mashallaah mashallaah tushukuru kwa darasa hii imenielimisha

  • @moureenkamau8697
    @moureenkamau8697 5 месяцев назад +1

    Mungu akulipe sheik

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 6 месяцев назад

    Allahumma Swali Alaa Habibi Muhammad SALALLAHU ALAIHI WASALAM ❤❤❤

  • @zainabalifresh8169
    @zainabalifresh8169 6 месяцев назад

    Masha Allah sheikh adnani Allah akupe afia na pia akuhifathi ila naomba sm yako ya uganda na tz

  • @biashaomar2367
    @biashaomar2367 6 месяцев назад

    Masha Allah

  • @KhamisiBakari-n3f
    @KhamisiBakari-n3f 3 месяца назад

    Mashaallah nakutakia kheri nyingi

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 5 месяцев назад

    Masha Allah Sheikh akupe afya aku epushe nama radhi hatari

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 5 месяцев назад

    Shukran
    Shukran Yaarabi tupe mwisho mwema

  • @LucyMbala
    @LucyMbala 3 месяца назад

    Ya Allah , mjaalie umri mrefu huyu mja wako, ili tuweze kuelimika kupitia mja huyu.

  • @OmaryHamisi-kw7zd
    @OmaryHamisi-kw7zd 5 месяцев назад

    Allah akujaze kher

  • @KabdullahkabdullahKabdullah
    @KabdullahkabdullahKabdullah 3 месяца назад

    Mashallah

  • @KabulaMalimi-es1jm
    @KabulaMalimi-es1jm 5 месяцев назад

    Shukurani

  • @adenmohamedwarsame5580
    @adenmohamedwarsame5580 2 месяца назад +1

    mrembo au maridadi?

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 3 месяца назад

    HAWA NDIYO MASHEKHE
    SIYO MASHEKHE WINGINE KAZI YAO KUFARAKANISHA WAISLAM NA UISLAM KWA MASLAHI YAO HUYU NDIYO SHEKHE NA DARASA KAMA HIZI NDIYO DARASA ZA KUKAA NA KUSIKILIZA SIYO ZILE DARASA ZA PINGWE😢

  • @RAMAZANIBAZIRA
    @RAMAZANIBAZIRA 2 месяца назад

    Assalam Alyku shekhe naoba unisaidiye mimi elimu yangu nindigo sana swali yangu samahani utanielewa kwaluga dje kufanyakazi yatabligi inadjuzu nisaidiye naelimu hapo