Kaka asante kwakumtete Mama yetu sote, lazima atakuwa mushindi hajalishe watu waongeza masemi ao la, Mungu yupo na Martha, nampenda Martha nanitazidi kuomba kwa Mungu amufanikishe
Najua mmetumwa na Martha ku comment au ni account fake ili kumsafisha Martha...kama kweli una akili na umeokoka uwezi tetea upuuzi sishangai hizi comment za kumtetea huyo Matha
Mungu akutete Sana Mtumishi wa Mungu Martha haijalishi yanasemwa mangap ila Mungu yuu upande wako. Acha wachimbe shimo ila wakutumbukia ni wao wenyewe ipo siku Mungu atawaibisha tu.
Jamani muogopeni mungu kwahaya yanayo tokea hapo mungu hayupo ni ungo ni uwongo ebu kaeni chini muyamarize. Mmemtukanisha mungu yatosha yatosha ni aibu kwa wakristo
Acheni kutumia lugha za kishabiki katika migogoro huu wa Martha na familia yake. Martha ndiye mhusika mkuu ndani ya nafsi yake. Nafsi ya mtu usiisemee. Hakuna mtumishi wala jirani atakayeeleza ukweli wa yanayomsibu maishani mwake. Akae atafakari na kujua ni wapi alipokosea na arejee basi. Mcha Mungu wa kweli ni Yule anayekiri na kuomba toba. Bwana ni mwenye rehema atamsamehe. Shida ipo mahali ambapo Martha anapajua.Asishupaze shingo bali amuombe roho wa Mungu amfunulie mahali pa kuanzia kurekebisha yaliyokufa ndani ya utumishi wake.
Najua mmetumwa na Martha ku comment au ni account fake ili kumsafisha Martha...kama kweli una akili na umeokoka uwezi tetea upuuzi sishangai hizi comment za kumtetea huyo Matha
Martha Mungu anakupenda Sana maanake mti usio na matunda haurishiwe mawe.naomba kama ulivyo imba dada ufundishwe kunyamaza huu ni wakati wako Martha wakunyamaza Kwa yote unayoshitakiwaa nayo ili Mungu akutetee.Nakuombea uweNguvu, Amani na uvumilivu ili ukaweza kuyashinda haya majaribu.
Mtangazaji hauko sawa kijana umezungumzia madam wako vyema, ushauri wangu kwa kufanya interview nyingi hamsaidii Martha mnajaribu kumuweka pabaya kwako madam simama imara YESU hatakuacha
Yani wa Tanzania kuarimbia mtu Jina, na kutumia jina la mtu kwa Kiki tu mko mbele. But hii yote mnaongelelea mtumishi wa mungu Martha mwaipaje, mtapigwa kiboko na mungu. Sisi wa Kenya Twamuishimu sana. Kama wa Tanzania hamtaki Martha Kenya twamchukua kwa mikono miwili
Mimi Nikiwa hapa Kenya 🇰🇪 pia nimesikia ya dada yake Beatrice na nimemuamini 💯 % kile Martha anihitaji ni maombi ya kukombolewa. Wa nje wanamsifia hila wa ndani amewaachilia...
Kabla mtu hajamaliza linarukia vitu vingine. Mahojiano gani hayo? Mara atake kuingiza mawazo yake kichwani kwa huyu kijana ila kakwama vibaya daaadeki!!
Najua mmetumwa na Martha ku comment au ni account fake ili kumsafisha Martha...kama kweli una akili na umeokoka uwezi tetea upuuzi sishangai hizi comment za kumtetea huyo Matha
Yesu usimfananishe na Martha shenzi wew.. Yesu hakua kwa ajili ya ndugu bali kwa ulimwengu.. na kumbuka Alipokuwa akihubiri katika mkutano mkubwa na kuufundisha habari ya ufalme wa Mungu akaja mtu ameagizwa na ndugu zake YESU! Huyu mjumbe akawaambia Mwlimu mama na ndugu zako wapo nje wanataka kukuona akacheka akamjibu mama na ndugu zangu ni wale wanaosikia neno la Mungu na kulishika.. sasa Martha ni YESU?? 😮😮
Mkesha wa kusagwa?eti Mungu na huku mama ake analia,labda mkesha wa kishetani , mwambie ajibadilishe ajirekebishe,mama ako wapi ww mjinga?mama ako utamwitaje?acha upuuzi
Huyu mtu tu mwenyewe anaonekana katengenezwa tu na kuzimu mbona hajasema mema ya Martha aliyotendewa kulishwa chakula na mengineyo Mwacheni Martha kwa Jina la Yesu
Kaka asante kwakumtete Mama yetu sote, lazima atakuwa mushindi hajalishe watu waongeza masemi ao la, Mungu yupo na Martha, nampenda Martha nanitazidi kuomba kwa Mungu amufanikishe
martha martha,utashinda mungu ni mwaminifu ,usiogope dada yangu
Nasimama na Martha
Najua mmetumwa na Martha ku comment au ni account fake ili kumsafisha Martha...kama kweli una akili na umeokoka uwezi tetea upuuzi sishangai hizi comment za kumtetea huyo Matha
Mungu akupiganie martha,Muombe Mungu.maadui ni kweli wamekuinukia ni wengi.Ila nyamaza kimya ili Mungu akupiganie.
I really love Martha Mwaipaja Sana,in the name of Jesus she is fine,tangu lini Giza na mwangaza zikaambata.Am from Kenya.
Mungu akutete Sana Mtumishi wa Mungu Martha haijalishi yanasemwa mangap ila Mungu yuu upande wako. Acha wachimbe shimo ila wakutumbukia ni wao wenyewe ipo siku Mungu atawaibisha tu.
Jamani muogopeni mungu kwahaya yanayo tokea hapo mungu hayupo ni ungo ni uwongo ebu kaeni chini muyamarize. Mmemtukanisha mungu yatosha yatosha ni aibu kwa wakristo
Asante kijana umejaa hekima umenifrahisha kwa majibu yako
Martha simama imara, husitingike. msingi imara na yesu hatawai kukuacha. Neema ya mungu na ikutoshe🙏
Acheni kutumia lugha za kishabiki katika migogoro huu wa Martha na familia yake.
Martha ndiye mhusika mkuu ndani ya nafsi yake. Nafsi ya mtu usiisemee. Hakuna mtumishi wala jirani atakayeeleza ukweli wa yanayomsibu maishani mwake.
Akae atafakari na kujua ni wapi alipokosea na arejee basi.
Mcha Mungu wa kweli ni Yule anayekiri na kuomba toba. Bwana ni mwenye rehema atamsamehe. Shida ipo mahali ambapo Martha anapajua.Asishupaze shingo bali amuombe roho wa Mungu amfunulie mahali pa kuanzia kurekebisha yaliyokufa ndani ya utumishi wake.
Mathar MUNGU wako anaishi usiogope usi tetereke MUNGU unaye mtumikia anaendelea kukupigania❤❤❤🎉
Martha kushinda lasima, holy gost fire,wacha Mungu akutetee
Mwanangu Martha unapanda kiwango kikubwa sana Mungu anakupigania
Najua mmetumwa na Martha ku comment au ni account fake ili kumsafisha Martha...kama kweli una akili na umeokoka uwezi tetea upuuzi sishangai hizi comment za kumtetea huyo Matha
Mungu anamjua Martha, kushinda lazima
Martha Mungu anakupenda Sana maanake mti usio na matunda haurishiwe mawe.naomba kama ulivyo imba dada ufundishwe kunyamaza huu ni wakati wako Martha wakunyamaza Kwa yote unayoshitakiwaa nayo ili Mungu akutetee.Nakuombea uweNguvu, Amani na uvumilivu ili ukaweza kuyashinda haya majaribu.
Wewe mtangazaji una maswali ya kumkandamiza Martha acha .
Na nyinyi ripper shughulikeni na mambo yenu achanini na mwaipaja alitafita pekee yake so acha ae njoy pekee yake,,,,,tafteni yenu from kenya
Mungu akutetee da Martha.
Mtangazaji hauko sawa kijana umezungumzia madam wako vyema, ushauri wangu kwa kufanya interview nyingi hamsaidii Martha mnajaribu kumuweka pabaya kwako madam simama imara YESU hatakuacha
Hawa wanakosa kufanya maisha yao wana fwatilia ya Martha.
Bola wengekuwa wanafatili, lakini wamejitungiya tu wenyewe.
We mwandishi ufukuzwe kazi hujui chochote kwenye utangazaji
Yaani huyu mwandishi jamani,anamkatisha kuongea sasa ndo nini.😢
Mtangazaji yuko km nyau anaruka ruka tu sijui anavuta bangi maskini😅😅😅😅
nimeshindwa kuelewa huyu ni mwandishi au 😂mbona ana kiranga mpaka nimeishia njian kusikiliza
Huna sifa uandishi ,unachouliza unakikatisha mwenyewe😮
Martha ako Sawa ❤❤❤ nampenda nikiwa hapa Kenya🇰🇪
Yani wa Tanzania kuarimbia mtu Jina, na kutumia jina la mtu kwa Kiki tu mko mbele. But hii yote mnaongelelea mtumishi wa mungu Martha mwaipaje, mtapigwa kiboko na mungu. Sisi wa Kenya Twamuishimu sana. Kama wa Tanzania hamtaki Martha Kenya twamchukua kwa mikono miwili
Mimi Nikiwa hapa Kenya 🇰🇪 pia nimesikia ya dada yake Beatrice na nimemuamini 💯 % kile Martha anihitaji ni maombi ya kukombolewa.
Wa nje wanamsifia hila wa ndani amewaachilia...
Hebu hizi habari Achaneni nazo kumjadili mtu na kumtolea Siri zandani ni ukosefu wa adabu km hamna story fungeni TV yenu .@@lizmwale
Hata wewe unaongea ni mwanaume mpuuzi kabisa tena huna Mungu
Huyu kaka namfaham alikua anakuja kula restaurant kwangu anasajili line Leo Kawa mfanyakaz wa Martha muogopen Mungu nyie watu khaa
Unaongea ukweli?
Brooooo!!! Unashida ganiiiiii😅😅😅! Unasikiliza kweli unachokiuliza😂😂au unauliza tu kwakuwa umeyaandaa maswali yako😂 mzee unachukiza kinoma aiseee😂😂😂😂👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎
Linakeeeera sana
Kabla mtu hajamaliza linarukia vitu vingine. Mahojiano gani hayo? Mara atake kuingiza mawazo yake kichwani kwa huyu kijana ila kakwama vibaya daaadeki!!
Hii familia ya marthaa nimeichukia kuliko maisha yangu yani wameeandaa watu kumkejeri mwenzao nasema martha Mungu atakusimamia
😅
Nyie waandishi Akili zenu 😂😂😂😂
Nampenda sana martha,mungu yu pamoja nawe
Najua mmetumwa na Martha ku comment au ni account fake ili kumsafisha Martha...kama kweli una akili na umeokoka uwezi tetea upuuzi sishangai hizi comment za kumtetea huyo Matha
Ndugu soma vizuri bibilia na uombe Mungu ufunuo..
Naomba Yesu mponye kwenye kikombe hiking anachopitia mtumishi wako Martha jaribu hili ashinde kwa kishibdo kikubwa
Munaongeya mengi Kwa Marta mwaipaja manenomabaya munamukera Sana wa Tanzania mumekuwa hukumu Mungu atawahukumu
Mtangazaji unamkatisha hovyo😊
Mara Ni msaghaji Mara anabadilisha wanaume.. sana.Watanzania Jipeni Shuguli acheni Maisha ya huyu mwana Dada .Kila mtu ana mapungufu yake
Siyo mtumishi wa mungu huyo ni wakla wa shetani
Huyu mwaandishi nikuma😂😂😂😂😂
Mungu atawalaan endeleen kuchafua watu wa Mungu😮
Sisi wakenya tunapenda Martha sana
You're right people reject Jesus Christ the choice Barnabas
Mbona huyu mwandishi simuelewi mm aah🤔
Maandishi hujui kuhoji yaani hujuiii kabisaaaaa nenda karudie darasa
Mwandishi huyu bado hujui kabisa kutangaza achana na utangazaji na unamkatishakatisha kusema sijui ndio nini
Hujui kaz yako ww mtangazaj hujasomea hajamaliza kuzungumza unakatisha😂😂😂
Mtangazaji hafai
Kwani Yesu alisaidia nani ". " Mbona Mariam mama wa yesu aliishi kama Mtumwa sembuse mama wa martha!!
Yesu usimfananishe na Martha shenzi wew.. Yesu hakua kwa ajili ya ndugu bali kwa ulimwengu.. na kumbuka Alipokuwa akihubiri katika mkutano mkubwa na kuufundisha habari ya ufalme wa Mungu akaja mtu ameagizwa na ndugu zake YESU! Huyu mjumbe akawaambia Mwlimu mama na ndugu zako wapo nje wanataka kukuona akacheka akamjibu mama na ndugu zangu ni wale wanaosikia neno la Mungu na kulishika.. sasa Martha ni YESU?? 😮😮
Wemtsngazaji kama unashughuli inakusubiri unataka kwenda panga siku nyingine sikwamaswali hayo hajamakiza kujibu ushampa swali jingine kah
Pole sana matha kipenz
Martha safi sana simama imara
Mh hela inafosiwa yani matangazaji anahojiwa😅😅😅😅😅
Huyu dogo haieleweki hajui juu neno la Mungu
Mwandishi nyoko kweli😂😂😂😂
Mwandishi ana mdomo khaaa
Ila wee mwandishi daa!!😂😂😂😂😂
Anangoja ndugu ayaonge maovu Kwa dadake lakini haoni
Inawezekana mbinguni iko Tanzania munataka Kwa shushu mwamugeukia Marita mwaipaja
Mwandishi ana wenge xana
Ndugu mwandishi...umesoma mpk kiwango gn??😮😮
Awali muhula w kwanza
Mungu ni Mungu , hadhihakiwi, asimame mwenyewe kuingilia kati
Dogo anaongea point mpaka mwandishi anapotea 😂
Mwandishi wee ..tahadhari sana
Huyu mtangazaji ni mbwa Sana, hujui kuhoji mtu kabisaaa,
Mwandishi ana haraka za nin😂😂
Matha mzuri kinyama xana 😋
Uyu kaka anaficha mahana yeye anarizika na acho pewa lazima afiche sisi hicho tumesha kijuwa mahana yeye ana sahidiya watu baki ila siyo familia yake
Huyu kaka anaehojiwa ni WA iringa namjua na alikua anakuja kula restaurant kwangu muongo muongo
Mkesha wa kusagwa?eti Mungu na huku mama ake analia,labda mkesha wa kishetani , mwambie ajibadilishe ajirekebishe,mama ako wapi ww mjinga?mama ako utamwitaje?acha upuuzi
Mwandishi acha kijana aongee. Mbona unamkata kata. Mwache kijana aongee
Mwandishi akasome jamani ila mtoa point Yuko sawa.
Tunataka Martha mwenyewe aongee vitina vya watu wengine hatutaki anawasaidia lakini si mama yake why?
Kajifunze kuhoji hujui kuhoji au nenda kalimeee Acha kuvamia kazi za watu
Mwandishi umesoma chuo gani mbona hujui kuhoji mtu hovyo sana mwandishi Rudi darasani
Mungu ni Mungu hadhihakiwi,
Nakupenda sana matha
Matha usitetereke hao ndugu zako niwanafiki tu
Huyu mwandishi alikuwa amefuta bangi.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu mtu tu mwenyewe anaonekana katengenezwa tu na kuzimu mbona hajasema mema ya Martha aliyotendewa kulishwa chakula na mengineyo
Mwacheni Martha kwa Jina la Yesu
Mwandishi unaonekana mshenzi kweli,wewe na huyo kijana nyote ni washenzi.
Ayo yote mnayo danganya mta yaungamia wapi
Mwanamke razima ato
Hasante Sana kijana kwa ushuhuda wako
Umaarufu gharama haswaaaaa
Mwandishi unalazimisha kijana aseme vitu ambavyo vipo kichwani mwako vya kumharibia Marrha,Acha hiyo.
Wewe siyo mwandishi ila upo hapa kiuchochezi na wewe ni mshambenga kwanza huna hadhi yakuitwa mwandishi, mpumbavu mmoja wewe,mshenzi mkubwa
Kamdomo! Kamdomoooo! Mdomo utauponza!! Hayaaa
Maths simama na Mungu pekee
😂😂😂😂😂 ntangazaj shkamooo
❤🎉❤🎉❤🎉❤❤❤
Usiogope mungu yu pamoja nawe
Martha hata wache waonge Mungu atawajibu
We mtangazaji hufai kuwa mtangazaji
Acha bongo wewe😢
Huu mwandishi alikusudia martha apondwe sasa umekutana na kinyume chamatalajiwa yake
Kapangwa huyu 😅
Nasimama na Martha
We mwandishi mbona kama umetumwa???
Matha nyamaza tu yatapita kama mengine yalivo pita Mungu mkubwa sana tu
Kuwa mvumilivu matha yatapita wanadamu ndivyo tulivyo siamama na mungu na tutamaliza na mungu mm ni Islamiki lakini nakukubali sana
Mwandisho unaongea haraka haraka sana
Mwana habari hanipendezi anakatizakatiza mgeni
Mbona kama anae ongea ndo mwenye acc hii ya RUclips anataka trend
Matha kushinda ni lazima
Mwandishi Rudi darasani. Hufai, Kumbe unafahamu Kila kitu,sasa unahoji nini?