Hao TCRA wamezidiwa mbinu na hao wezi wamitandao,ukiacha kutumia majina ya viongozi na watu maarufu kukopesha,bado hao wanaopiga simu kujifanya watumishi wa mitandao,
elimu ndo nini, fanyeni mpango kwa kutumia teknolojia hiyo hiyo kuwakamata matapeli... matapeli wapo mpaka mitaani na vyombo vya dola havifanyi chochote...
Mimi nahisi suala la kuripot sis wananch tunareport sana lakn namba hazifungiwi kwa wakt hasa za ttcl....hizo elimu huko vijinin hazifiki jaman angalien namna nyingne
Naomba serikali ijitafakali kuhusu TCRA maana nnacho ona TCRA wanaweza kuona matusi tu,na kuwakosoa viongozi,lakini kuhusu uwizi wameshindwa ama kunanamna.
Kazi kujipendeka TU kwa raisi Mh Samia mpaka amewachoka fanyeni kazi Taifa limekua na machawa wengi kuliko watendaji wazuri swala matapeli mtandaoni halijaanza leo licha ya kusajiri laini kwa namba za Nida Sasa kama matapeli wa mtandaoni wameshinda mambo mengine je?
Na kingine lain kama aijatumika ndani ya miezi 3 inafungiwa kwanini? Wakati nchi zingine lain inaweza kukaa birakutumika Hata miezi 6 ukitaka kutumia inafanya KAZI mliangalie
Kwa nini serikali isitoe vitambulisho vya taifa (nida) kwa watanzania wote? Ili kwamba kila mtanzania awe na lain yake ya sim iliyosajiliwa kwa nida yake kwasababu watanzania wengi vijijini ndiyo hawana vitambulisho vya taifa (nida)
NILISHANGAA NA NILIAMINI KUWAMH. SPIKA ANAKOPESHA, KUMBE SIVYO. AMA KWELI WA-TZ WANA MICHONGO ILA YAWEZEKANA WENYE MITANDAO WANAHUSIKA.TUANGALIE MTANDAO AMBAO MAMBO HAYA YAMEKITHIRI SANA.
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Hao TCRA wamezidiwa mbinu na hao wezi wamitandao,ukiacha kutumia majina ya viongozi na watu maarufu kukopesha,bado hao wanaopiga simu kujifanya watumishi wa mitandao,
Inatakiwa matapeli watakaokamatwa waajiriwe TCRA NA WANAOFANYA KAZI TCRA WAFUKUZWE WOTE,,, MAANA WANAZIDIWA AKILI.
Mh.Spika bora umeliona Mh.spika jina lako linatumika dr.dorothy gwajima, mama samia jina lake linatumika
Katika siku zote, hii Tulia umetulia . Hongera Sana
Mimi ushauri wangu waziri mwenye dhamana na kiongozi wa TCRA wahukumiwe kunyongwa
Hata Leo nimepigiwa simu na matapeli japo tuliambia walifungia line za utapeli, mfano kuna matangazo mengi ya mikopo yaani Kila mahali ukiingia
Sana mheshimiwa wezi wengi wamtandao wanatumia jina lako
Maana yake nchi imewashinda!,
Safi sana Tulia
Waziri wamawasiliano ajiuzulu hanakazi anayofanya utapeli kila siku
elimu ndo nini, fanyeni mpango kwa kutumia teknolojia hiyo hiyo kuwakamata matapeli... matapeli wapo mpaka mitaani na vyombo vya dola havifanyi chochote...
Mimi nahisi suala la kuripot sis wananch tunareport sana lakn namba hazifungiwi kwa wakt hasa za ttcl....hizo elimu huko vijinin hazifiki jaman angalien namna nyingne
Jamani tuomba mtuondolee hawa vijana wanadajili laini za cm Ni matapeli kweli kweli
Naomba serikali ijitafakali kuhusu TCRA maana nnacho ona TCRA wanaweza kuona matusi tu,na kuwakosoa viongozi,lakini kuhusu uwizi wameshindwa ama kunanamna.
Kwani huyu waziri mwenye dhamana. , hakuweza kutolea ufafanuzi Hadi spika aseme?.
Yaani tulia unadanganywa asubuhi kweupe kabisa
Safi huyo Hali imekisiri
Mimi mwenyewe tu nimewahi kupigiwa ila nikashtuka
Hii ni kweli
Kabisa kabisa hata mm yamenikuta na nimejaribu kwenda mpaka TCRA ili niweze kudhibiti angalau kusitiri wengine wasi tapeliwe lakini niliisha njiani
Kuna moja kanipigia ananiambia kuna hela imetumwa kimakosa kwangu nikamwambia siarudishe muamala nimempa matusi yote
Kazi kujipendeka TU kwa raisi Mh Samia mpaka amewachoka fanyeni kazi Taifa limekua na machawa wengi kuliko watendaji wazuri swala matapeli mtandaoni halijaanza leo licha ya kusajiri laini kwa namba za Nida Sasa kama matapeli wa mtandaoni wameshinda mambo mengine je?
Na kingine lain kama aijatumika ndani ya miezi 3 inafungiwa kwanini? Wakati nchi zingine lain inaweza kukaa birakutumika Hata miezi 6 ukitaka kutumia inafanya KAZI mliangalie
Jamani Mimi mwenyewe watu wametapeliwa sana kwa jina langu
Boss. Kata ya mzinga barabara ni mbovu
Tulia kachoshwa na TCRA kama sisi wananchi tulivyochoshwa na ukibogoyo wa bunge la Tulia
Hii mitandao ya simu nyenyewe ni matapeli wakutupa mfano TU unaweka bando wanaiba na hao wezi wanawajua
hao ndo wenye hayo mambo
Mm nimepigwa 160k kwhy
Kwa nini serikali isitoe vitambulisho vya taifa (nida) kwa watanzania wote? Ili kwamba kila mtanzania awe na lain yake ya sim iliyosajiliwa kwa nida yake kwasababu watanzania wengi vijijini ndiyo hawana vitambulisho vya taifa (nida)
Na mm tulia foundation wamenitapeli
Waziri Acha kutetea matapeli
Mitandao ya simu nao wanalinda huu uhalifu wa kitapeli ukiwauliza wanasema ni biashara eti na wao ni wateja😂😂😂😂😂😂😂😂
NILISHANGAA NA NILIAMINI KUWAMH. SPIKA ANAKOPESHA, KUMBE SIVYO. AMA KWELI WA-TZ WANA MICHONGO ILA YAWEZEKANA WENYE MITANDAO WANAHUSIKA.TUANGALIE MTANDAO AMBAO MAMBO HAYA YAMEKITHIRI SANA.
Mimi juzi nimetumiwa control number toka mali asili eti nadaiwa kuangalia ile control no kweli ni jina langu
Mimi mwenyewe nilijua TCRA wapo pamoja na hao matapeli
Mh Bado wanatuambia ulinzi upo hawo matapeli wanapitia wap kama siyo TS Arai
Mimi niliwahii kutapeliwa Kwa jina lako 84000
Hata mm nimetapeliwa naomba waziri nilipwe ni 18000
Jamani sikujua kama Kuna bunge kabisa duh maana halina mvuto kabisa
Utapeli Hadi kwenye dakika za wateja tapeli ni haohao wausika make Hadi vifurushi hujatumia wanavikata tu
Toa hoja kwa NN uwiziii umekithiri
Ndomaana tubataka mbadiriko
Tcra wenyewe ndio matapeli husika
Wanatapeli kupitia wasanii mara zuchu mara Nandy yaaan wanatuchanganya hadi kero
Hatutaki elimubtunataka mdhibiti utapeli kwani si muwakamate hao wanaotengeneza link
TAPELI KAMBANA TAPELI MWINZIE
Ni kweli juzi walitaka kunitapeli Kwa kuleta picha yako
HUYU MAMA ANATAKIWA KUPEWA KIJITI 2030 ANAWEZA KUTUPELEKA MBALI ....
Hana uwezo huo
Bunge la mchongo
Nchi hii imeshakuwa na matapeli wengi sana.