Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu Naamin Mungu anaenda kukomboa Taifa mikonon mwa Utumwa wa Ndan kuna Watu wachache wanaamin wao ndio wenye haki ya kuishi katka Nchi hii Wengine hawana haki
Dini kubwa ni zipi. Mnatoa mifano ya mbali kumbe mmesahau Tanganyika ilipata uhuru bila kupigana. Tumekuwa na vikao vingi vya maridhiano na katiba mpya lakini chadema ni wa kwanza kususa kwa sababu wanachokitaka wao ni kukubaliwa mawazo yao la sivyo wanatoka nje iwe bungeni au kwenye hivo vikao. Chadema wanakwenda kwenye vikao hivyo wakiwa na majibu na sio kutafuta majibu kwa kushirikiana na vyama vingine na hawaviamini vyama vingine. Watu wa aina hii ni hatari. wanataka mapatano ya serikali na chadema na sio serikali na vyama vya siasa. Lakini nchi hii hatuja watuma wanasiasa kututengenezea maisha yetu ila wanadhani kuwa watanzania wote ni wanasiasa na wanatukosea sana watanzania kwa kufikiri kuwa kila tatizo litatatuliwa na wanasiasa. Matatizo ya watanzania yatatuliwa na watanzania wenyewe na bila misaada ya wamarekani au warusi.
Askofu umehoji vizuri. Mapendekezo ya kuwatumia viongozi wa dini ni zuri sana ikiwa kama ikikubalika ushiriki wao utokane na kura za waamini wao. That is to say, wasichaguliwe kwa vyeo vyao maana dini imekuwa biashara. Na hivyo kuna viongozi wao wasio na elimu sahihi na wengine wanafaa kuhongeka.
Hapo umedanganya wakati wengine wanasifia tu kila kitu upande wa pili chadema wanalaumu tu kila kitu na hizo ndio siasa za Tanzania na mnakotupeleka sasa mmeamua hata kuua watu ili mpate ujiko na kiki za kupatia kura na huruma za watanzania na bila hivyo hamfiki popote. Tunawafahamuni sana na wala hamtusumbui. Anayelaumu na anaye sifia kila mmoja anasababu zake, sasa kwa nini ushangae watu kusifia tuu wakati wewe ni wa kulaumu tuu ? Ni wapumbavu tu wanaweza kuwaamini na kuwafuatilia wanasiasa wa nchi hii hasa wale wanaotoka madhababuni kwa Mungu na kuingia kwenye majukwaa ya siasa. Mmepoteza kabisa heshima za wito wenu kama watu wa Mungu na kutumia nyumba za ibada kama maficho ya wahuni wa kisiasa. Mungu anawaona na iko siku atatuonyesha pumba na mchele. Amina.
@@bujikujr7851Halafu mnatukana mbele ya askofu na hii ni ushahidi kwamba mnatumia dini kama ngao tu na wala nyie hamumheshimu Mungu hata kidogo. Nimesema Mungu anawaona. Amina.
@@reginaldmapunda6702 we unachokiongea ujinga mtupu umenitia hasira Sana fala we watu wanaongea vitu muhimu unaleta habar za kishez Tena koma kabsa we mwanzo mwisho achana na uyo askofu sio makalio yako uyo
'Tubuni dhambi mtaenda mbinguni' ? How? Tuongeleaje habari ya mbinguni huku tunajisahaulisha kuwa tuaishi duniani? tanaendaje huko mbinguni wakati bado tuko duniani? Tunaendaje mbinguni bila kutimiza masharri ya kwe da huko mojawapokubwa likiwa kupendana na kutendeana haki? Tunaendaje huko bila kutetea wengine wanapoumizwa mbele yetu? Mbinguni siyo nchi ingine, na hata ingrkuwa nchi ingine bado kunahitajika visa na masharti ya kupata visa. Upendo na haki na kusemezana ni jukumula kila mtu.
Askofu Mungu akubariki sana kwa kufafanua vizuri ila naomba kuwa wachungaj wetu msiingie sana kupita kiasi mbali muwe sehem ya kushauri vyama na serikal na kukemea utekaji na mauwaji maana hao wanaotekwa na kufa ndio wanatoa sadaka na michago makanisan kwetu.
Viongozi wa dini,shughulikeni na dini,hayo ya siasa waachieni wanasiasa!, Kwa nini tusijifunze kutoka kwa Yesu kristo?.Hivi ni wp ktk Biblia Yesu alipingana na Herode/Kaisari,please maaskofu achaneni na mtindo huo wa kumix dini na siasa!.
Ninyi wakristo mnaumia sana kuongoza nchi muislaam,mbona wakati wa magufuli, watu walitekwa hamkuropoka kama sasa,sasa marekani kumpiga risasi trump ndy katiba nzuri,acheni udini,nyie maakofu ndy m natuharbia nchi
Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu Naamin Mungu anaenda kukomboa Taifa mikonon mwa Utumwa wa Ndan kuna Watu wachache wanaamin wao ndio wenye haki ya kuishi katka Nchi hii Wengine hawana haki
Uko vizuri sana
Wewe ndio uende huko. Mzee Mwamakula anajielewa sana, yuko vizuri mno.
@@IsayaKamomonga kwaiyo sisi waislam mnatuona atujielewi chocheeni pakiwaka ndio tutajua nani alikuwa mjinga
Dah! Askofu unahekma sana wenye akili tumekuelewa.
Huwa masikilizano sana Askofu mahali popote huwa namfuatilia kwani ana madini adimu sana.... Anafaa sana kusikilizwa..
Ameen
Balikiwe Sana Baba Askofu kwa kuchunga kondoo wako vyema
Akili kubwa sana
ELIMU ELIMU ELIMU
Dini kubwa ni zipi. Mnatoa mifano ya mbali kumbe mmesahau Tanganyika ilipata uhuru bila kupigana. Tumekuwa na vikao vingi vya maridhiano na katiba mpya lakini chadema ni wa kwanza kususa kwa sababu wanachokitaka wao ni kukubaliwa mawazo yao la sivyo wanatoka nje iwe bungeni au kwenye hivo vikao. Chadema wanakwenda kwenye vikao hivyo wakiwa na majibu na sio kutafuta majibu kwa kushirikiana na vyama vingine na hawaviamini vyama vingine. Watu wa aina hii ni hatari. wanataka mapatano ya serikali na chadema na sio serikali na vyama vya siasa. Lakini nchi hii hatuja watuma wanasiasa kututengenezea maisha yetu ila wanadhani kuwa watanzania wote ni wanasiasa na wanatukosea sana watanzania kwa kufikiri kuwa kila tatizo litatatuliwa na wanasiasa. Matatizo ya watanzania yatatuliwa na watanzania wenyewe na bila misaada ya wamarekani au warusi.
mh!! kama serikali inaweza kukubari hilo.tanzania umepona .lakini ccm ninayoifahamu mhhhhh!!
Shule nzuri sana ikipata waelewa..
Ugumu kwetu unatokana na tamaa ya madaraka, mali na na ubinafsi.
Huyo n askofu wa chadema
Askofu umehoji vizuri. Mapendekezo ya kuwatumia viongozi wa dini ni zuri sana ikiwa kama ikikubalika ushiriki wao utokane na kura za waamini wao. That is to say, wasichaguliwe kwa vyeo vyao maana dini imekuwa biashara. Na hivyo kuna viongozi wao wasio na elimu sahihi na wengine wanafaa kuhongeka.
Dini zipewe kipa umbele wa kusimamia haki na mali asili ya TANZANIA.Lakn wachaguliwe wenye hekima sio hawa viongozi wa dini wanafki
Mjinga wa kwanza wewe?
Hapo umedanganya wakati wengine wanasifia tu kila kitu upande wa pili chadema wanalaumu tu kila kitu na hizo ndio siasa za Tanzania na mnakotupeleka sasa mmeamua hata kuua watu ili mpate ujiko na kiki za kupatia kura na huruma za watanzania na bila hivyo hamfiki popote. Tunawafahamuni sana na wala hamtusumbui. Anayelaumu na anaye sifia kila mmoja anasababu zake, sasa kwa nini ushangae watu kusifia tuu wakati wewe ni wa kulaumu tuu ? Ni wapumbavu tu wanaweza kuwaamini na kuwafuatilia wanasiasa wa nchi hii hasa wale wanaotoka madhababuni kwa Mungu na kuingia kwenye majukwaa ya siasa. Mmepoteza kabisa heshima za wito wenu kama watu wa Mungu na kutumia nyumba za ibada kama maficho ya wahuni wa kisiasa. Mungu anawaona na iko siku atatuonyesha pumba na mchele. Amina.
Kuma lako
@@bujikujr7851Halafu mnatukana mbele ya askofu na hii ni ushahidi kwamba mnatumia dini kama ngao tu na wala nyie hamumheshimu Mungu hata kidogo. Nimesema Mungu anawaona. Amina.
@@reginaldmapunda6702 we unachokiongea ujinga mtupu umenitia hasira Sana fala we watu wanaongea vitu muhimu unaleta habar za kishez Tena koma kabsa we mwanzo mwisho achana na uyo askofu sio makalio yako uyo
Desmond Tutu Askofu huyu alikuwa chachu sana ya ukombozi wa SA
Vijana Tuamke Vijana Tuamke nchi ni yetu wote Hawa CCM wanatupeleka Pabaya
Huo ndyo ustarabu waviongoz wadini! Sio sisi waisilamu tunalopokatu kama shkhe mziwanda siboya yule. Lazma msimame mtamke hivyo
Muache askofu yuko vizuri
'Tubuni dhambi mtaenda mbinguni' ? How? Tuongeleaje habari ya mbinguni huku tunajisahaulisha kuwa tuaishi duniani? tanaendaje huko mbinguni wakati bado tuko duniani? Tunaendaje mbinguni bila kutimiza masharri ya kwe da huko mojawapokubwa likiwa kupendana na kutendeana haki?
Tunaendaje huko bila kutetea wengine wanapoumizwa mbele yetu? Mbinguni siyo nchi ingine, na hata ingrkuwa nchi ingine bado kunahitajika visa na masharti ya kupata visa.
Upendo na haki na kusemezana ni jukumula kila mtu.
Huyu ni askofu wa wapi acheni chuki mkiona muislamu anaongoza nchi roho zinwauma sana
Ww huyu askofu aliongea sana kipindi cha magufuli matendo mabaya ya magufuli
Acha ujinga Tanzania haikohivyo wewesiyoasikofu nimchochezi mamboyakuuanna unayatoa wait? Ndotupstane
Misingi ya siasa chimbuko lake ni Dini, nahii ina enda mbali zaidi kabla ya kristo, it goes all the way back to Roman Empire.
mkiwa na askofu msomi rahaa sana
Nyny chocheeni moto uwake dini na siasa nihatari sana
Havitenganiki hivyo ndugu. Vinategrmeana sana tena sana.
Kimoja kikienda kombo kingine kinafuata. Watu ni wale wale na nchi ni Ile Ile moja
@@marieconnect6389 bro usiombe itokee iyo ndio maana unaona waislam wako kimya sio wajinga busara kubwa inatumika
Askofu Mungu akubariki sana kwa kufafanua vizuri ila naomba kuwa wachungaj wetu msiingie sana kupita kiasi mbali muwe sehem ya kushauri vyama na serikal na kukemea utekaji na mauwaji maana hao wanaotekwa na kufa ndio wanatoa sadaka na michago makanisan kwetu.
HAKA KAPALOKO KWANINI KASIENDE HOSPITAL YA KIBONGOTO KUANGALIA NGWENGWE KULIKO KUDANGANYA BAADHI YA WAGALATIA 😢😢😢😢
Ngwengwe ndo Nini rafiki
Nakuona tena mjane vipi upo
@@MmohamediSaidi MO KIMBIA HUKO HICHO CHAMA CHA SACCOOS NI WAGALATIA ONLY WATAKUTEKA HAWO 🤪🤪
Hujitambui
Ngwengwe?😂😂 we jamaa utaki askofu aongee
Anzisha chama wewe syo askofu mhun tu
Acha mambo ya dini kuwa mwana siasa Kuku jike we
Mmm! Matusi tena!
Viongozi wa dini,shughulikeni na dini,hayo ya siasa waachieni wanasiasa!,
Kwa nini tusijifunze kutoka kwa Yesu kristo?.Hivi ni wp ktk Biblia Yesu alipingana na Herode/Kaisari,please maaskofu achaneni na mtindo huo wa kumix dini na siasa!.
Ninyi wakristo mnaumia sana kuongoza nchi muislaam,mbona wakati wa magufuli, watu walitekwa hamkuropoka kama sasa,sasa marekani kumpiga risasi trump ndy katiba nzuri,acheni udini,nyie maakofu ndy m natuharbia nchi
ukijua mchango wa kanisa ktk taifa hutaongea hayo
Mchango wa kuleta ushoga ndo kanisa wanaweza kuleta,sio amani na busara@@thanksrjhood9508
Kibiriti
@@thanksrjhood9508kanisa lenyewe linachangiwa hlf lichangie nini serikalini?
Hapana huwezi kutumia mabwana wawili ,nenda kahubiri nakubatiza
Kama.una.lakusema.nyamasa
@@PererLukumay imeandikwa au hukumbukuki
@@PererLukumay nyamaza sio nyamasa ,,kasome imeandikwa usitumikie mabwana wawili ,,,siku hizi wachungaji mnandoa nyingi
Muache askofu yuko vizuri
@@VisentJohn-r3r mjane vipi mbona povu jingi