Kazi ya Joshua imetukuka sana, mtume Tumpe Mungu ambariki. Lkn yatufaa nini kukimbia sana huku wapendwa wetu tukiwa tumewaacha nyuma? Kwa ile neema ya upatanisho ilio juu yetu,ktk mwezi huu wa December ningeshauri ibada zetu zianzie nyumbani, yaani tutafute kua karibu na wazazi wetu, ndugu zetu,wapendwa wetu ili kwa matendo yetu mema wapate kujua ya kuwa sisi ni watumishi kweli wa Mtakatifu wa Israel. December mwezi wa kusameheana, kufarijiana, kupendana na kujengana, maana imeandikwa ikitokea ukakasirika jua lisichwe ukiwa bado umekasirika
Hii nimeipenda, unataka hautaki leo utapokea mema ya Bwana. Napokea ktk Jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo
Blessings 🙌🙌in Efatha
Jamani kweli nataka nije mbeya .these singers are so anointed
Kazi ya Joshua imetukuka sana, mtume Tumpe Mungu ambariki. Lkn yatufaa nini kukimbia sana huku wapendwa wetu tukiwa tumewaacha nyuma? Kwa ile neema ya upatanisho ilio juu yetu,ktk mwezi huu wa December ningeshauri ibada zetu zianzie nyumbani, yaani tutafute kua karibu na wazazi wetu, ndugu zetu,wapendwa wetu ili kwa matendo yetu mema wapate kujua ya kuwa sisi ni watumishi kweli wa Mtakatifu wa Israel. December mwezi wa kusameheana, kufarijiana, kupendana na kujengana, maana imeandikwa ikitokea ukakasirika jua lisichwe ukiwa bado umekasirika
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤
Amen
🎉