REV ELIONA KIMARO - JITAFUTE ILI UTAFUTWE (OFFICIAL VIDEO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 25

  • @yuliahenry3383
    @yuliahenry3383 2 года назад +1

    Sifa na utukufu Kwa Bwana Yesu. Mafundisho haya yana nguvu ya Mungu hakika tumepona Kwa Damu ya Yesu 🙏🙏🙏

  • @edvesterdamas3061
    @edvesterdamas3061 2 года назад

    Mungu mtunze huyu Baba 😭 nimepona,,, zaidi ya kupona.

  • @JacquelineAbraham-y3h
    @JacquelineAbraham-y3h 3 месяца назад

    Naomba no mchungaji nitoe sadaka zng .Neno linanifungua kwa hayo ninayopitia

  • @lidyaedward4580
    @lidyaedward4580 3 года назад +2

    Mafundisho ya Mchungaji Kimaro yananibariki Sanaa, ubarikiwe Sana

  • @lilianmbangwa6151
    @lilianmbangwa6151 5 лет назад +2

    Napenda sana mafundisho ya Mchungaji kimaro yananitia Moyo

  • @paulolesikar1408
    @paulolesikar1408 2 года назад

    Amen Mtumishi, very powerful 💪💪💪
    “Rahabu”

  • @heavenlight5084
    @heavenlight5084 5 лет назад +3

    MUNGU ni mwema sana am so happy to see people like this. It's miracle n I thanx GOD for this,MUCH MUCH GOOD. MUNGU AWABARIKI WATUMISHI WAKE,NA AZIDI KUWAINUA WATUMISHI WAKE,ZAIDI NA ZAIDI. BARIKIWA BABA MCHUNGAJI ELIONA.

  • @kenya588
    @kenya588 Год назад +1

    baba napenda this quote " Anayejitafuta akajipata, Utafutwa", mungu anipe nguvu ya kujitafuta

  • @SimonJohn-cf4hf
    @SimonJohn-cf4hf Год назад

    Mtumishi naomba nambazako baba nashiba maubili yakonabalikiwa sana

  • @JoyceHaule-o8c
    @JoyceHaule-o8c Месяц назад

    Amina

  • @lidyaedward4580
    @lidyaedward4580 3 года назад

    Nabarikiwa Sana Na mahubiri ya Kkt Kijitonyama

  • @ajunanekhemia9549
    @ajunanekhemia9549 3 года назад

    Sifa na utukufu ni vya kwako Bwana

  • @eliudikijuzi4909
    @eliudikijuzi4909 3 года назад

    Ubarikiwe Doctor Kila siku Unanifarji

  • @dadarehema
    @dadarehema 3 года назад

    I watched before and rewinding today again after one year!!!🙋👋🙏👆🔥🔥

  • @grace-rh3vv
    @grace-rh3vv 3 месяца назад

    Amen. Amen

  • @dianaminja1348
    @dianaminja1348 4 года назад

    Nimepokea upako wa Rahabu kwa jinsi nilivodharaulika juu ya uzao

  • @ashangonyani7989
    @ashangonyani7989 3 года назад

    Asante mtumishi

  • @dianaminja1348
    @dianaminja1348 4 года назад

    I'm blessed

  • @ajunanekhemia9549
    @ajunanekhemia9549 3 года назад

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @ajunanekhemia9549
    @ajunanekhemia9549 3 года назад

    Amen

  • @costacemwangolwa181
    @costacemwangolwa181 4 года назад

    Ameeen

  • @ericaerinemalekia5430
    @ericaerinemalekia5430 3 года назад

    3

  • @elizabethkimomwe5275
    @elizabethkimomwe5275 2 года назад

    Amen