#live

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 41

  • @BethebaAthanas
    @BethebaAthanas День назад +1

    Asanteeeee Munguu mana umetenda maishan mwangu sikustahili bali Mungu umenipa kibar naomba uanze nami katika maisha mapya nayo anzaa🙏🙏🙏🙏

  • @MillyKhasoa
    @MillyKhasoa День назад +1

    Mungu naomba unifungue kwa mathabau ya kizaa tumbo langu lifunguke periods zangu sirudi kizazi changu zifunguke watoto wangu famila yangu pesa uchumi ndoa kazi utajiri mali katika jina la yesu cristo amen 🙏

  • @ElizabethKingu-t4l
    @ElizabethKingu-t4l День назад

    Mungu naomb uniponye afya yangu,,unipe kibalii na uibariki kazii ya mikono yangu,,,naamini katika madhabahuu hiii

  • @merinasyohana2129
    @merinasyohana2129 День назад

    Mungu nifungue kwa jina la Yesu kristo Amina

  • @MohameditwaibuOmary
    @MohameditwaibuOmary День назад

    Mm Mariam naomba mungu nisaidie nipone uganjwa wa homa yain na mungu unisaidi niwe naafya nzur pamoja na aman ikatawal kwenye familia yang jmn yesu naomba nam uniponyesh

  • @ImanAndrew-l4e
    @ImanAndrew-l4e 20 часов назад

    Mungu kupitia ibada hii napokea uponyanyi kwa mtoto wangu kuanzia sasa🙏

  • @MuniraMaliki
    @MuniraMaliki День назад

    Eee mungu wa baba angu mtume bonifasi mwamposa kama wewe uishivyo naamini hata mimi sitakufa bali nitaishi leo hii magonjwa kwangu mwisho mimi na family yangu tuko huru sasa

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina День назад

    Eyaaawee nakumbiaa ameni barikiwa sna mwimbajii wetu

  • @ngandemazora
    @ngandemazora День назад

    Mungu naomba kesi yangu ya presha iishe

  • @GraysonGonzaga
    @GraysonGonzaga День назад

    Kesi yangu imekwisha kwa jina la yesu

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina День назад

    Barkiwaa kirisitiniii nmefurahii sana ❤ umenifanya ningree❤

  • @TatuMikidadijafal
    @TatuMikidadijafal День назад

    Mungu nimempata mume sahihi naomba unitendee anihowe kilahis

  • @TuliaFredMwakagenda
    @TuliaFredMwakagenda День назад +1

    Mungu naomba tenda miujiza kwangu!! Kwa hawa watu waliyo nitapeli hela zanguu😭😭😭

    • @WileMwageni-lo2sd
      @WileMwageni-lo2sd День назад

      Muujiza hupo NDANI YAKO ishi maisha ya HAKI utapata HAYO kumbu kumbu la tolati 28;1-13/

  • @johnlesinana-z8m
    @johnlesinana-z8m День назад

    Amina mungu endelea kuwatendea watu wako miujiza yako

  • @MariamWilliamWilliam
    @MariamWilliamWilliam День назад

    Baba chakwaza naomba unisaidie nimjue mungu kiundan zaid

  • @InesBila-y1j
    @InesBila-y1j День назад

    Baba naomba uponyaji kwa familia yangu, amina

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina День назад

    Najua yesu upo upo upooo

  • @Japhetsimba-w9u
    @Japhetsimba-w9u День назад

    Amin

  • @judieesjeremiah2649
    @judieesjeremiah2649 День назад

    Amina baba

  • @MariamWilliamWilliam
    @MariamWilliamWilliam День назад

    Mtume nisaidie nilinde naomba ulinzi na uponyaj juu ya familia yangu

  • @MariamWilliamWilliam
    @MariamWilliamWilliam День назад

    Nategemea kwendakujumua mzigowangu dar esalamnaomba yesu nipate mtaji kiulahisi ili nifanikiwe

  • @Herieth-w5p
    @Herieth-w5p День назад

    Naamin malaya aliyevuruga familia yangu ameanguka chin

  • @QueenSamwel
    @QueenSamwel День назад

    Napokeaaa namm

  • @deboramahenge-o2d
    @deboramahenge-o2d День назад

    Amina

  • @MariamWilliamWilliam
    @MariamWilliamWilliam День назад

    Msaidie mume wangu mtume wamlipe madeni pia naomba mjazie wateja mpaka awe anaombabkupumzika

  • @MuniraMaliki
    @MuniraMaliki День назад

    Naji ungamanisha na congamano hili la mbeya nami napokea uponyaji wa kichwa changu na bawasiri inayo nisumbua kwa muda mrefu

  • @Herieth-w5p
    @Herieth-w5p День назад

    Napokea

  • @EliudiKaijage
    @EliudiKaijage День назад

    Eeeeeeee Mungu naomba unibaliki ktk biashara zangu zaviatu niweze kupata wateja nizidiwe nawateja sokon na mitaani pia niuze viatu vyote vya Zaman nimalize kabla ya kongamano hiiiii niweze kupata majibu ya biashara zangu

  • @Ssengabijofury
    @Ssengabijofury День назад

    Mtume naitwa asimwe joel nipo bukoba nipo mjamzito tiali miezi 9 na wiki moja naomba leo leo tarehe 14/11/2024 nipate uchungu na nijifungue kwa njia ya kawaida

  • @MariamWilliamWilliam
    @MariamWilliamWilliam День назад

    Mtume naomba msaada biashala yangu inateketea watu hawanilipi maden naomba gusa Kila ninae mdai alete mwenyewe hela kwanzia sasa mfalme

  • @RehemaMsuya-z3d
    @RehemaMsuya-z3d День назад

    Naamini na nimepokeaaa uponyajii

  • @WileMwageni-lo2sd
    @WileMwageni-lo2sd День назад

    Hawo watu wamekwama maisha yao ni ya dhambi hapo kemea maovu yao waache dhambi ndio kinga na dawa ya kweli

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina День назад

    Kesi zngu 5 zimeisha leo kwajina layesu

  • @NyanziraMarieflorance
    @NyanziraMarieflorance День назад

    Shalom tuna Itaji namba ya wasp

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina День назад

    Kesi ya natapelii walionikoni imesha kwa jina layesuu

  • @GlóriaMiguelJoão
    @GlóriaMiguelJoão День назад

    Ámen

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina День назад

    Emenii

  • @JulianaMwamwela
    @JulianaMwamwela 22 часа назад

    Jamani sada NI Siri yako usionyeshe sadaka kisa unatoa sh 10000

  • @EliudiKaijage
    @EliudiKaijage День назад

    Naitaj nijenge kiulais naitaj niweze kufunguliwa katika biashara zangu za viatu niwe mtu mwingine kt k biashara zaviatu niwe mtu mkubwa

  • @AnasitaziaMadege
    @AnasitaziaMadege День назад

    Amin