#LIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 июн 2021

Комментарии • 192

  • @mohammedcutstv700
    @mohammedcutstv700 3 года назад +16

    KOSA NI HERENI NA SIO KUIMBA LIVE KATI YA MOND NA HARMO ANAYEWEZA KUIMBA LIVE NI HARMO PEKE YAKE HILO HALINA UBISHI🙌

    • @mjukuuwandessa2974
      @mjukuuwandessa2974 3 года назад +1

      Nikweriiiiii namkubali harmonize sana sema hiyo mihereni sasa

  • @yahyamassawe8011
    @yahyamassawe8011 3 года назад +26

    Waliomkataa hamo ni wawili ila wengini wamemkubali ila hamo kazingua kuvaa hereni

  • @karimujuma6595
    @karimujuma6595 3 года назад +27

    Mtu mmoja hataree Sana huyu jamaa sio poa

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 3 года назад +3

    Mashallah harmonize nyimbo nzuriiiiii sana very touchy

  • @zaburi2386
    @zaburi2386 3 года назад

    Kijna ungevaa hereni za msalaba zote mbili maana yesu ni mungu huenda tukakubatza

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 3 года назад

    Sasa ndo namini sasa alicho sema master jay kuwa awa mabwana kuimba iviiv mtiani sasa nime aminnn

  • @valenakomba4453
    @valenakomba4453 3 года назад +1

    Unaweza harmonise, keep going on. Every one has his/her posion. Their is no need to worry. LOVE YOUR WAY OF BEHAVING. YOUR A GENTLEMAN. 😎😎😎😎😎

  • @elishakyamba8210
    @elishakyamba8210 3 года назад +4

    Nakubali San mwamb harmo umetisha jeeesh kaza kaza

  • @masuddaimus254
    @masuddaimus254 3 года назад +1

    Nimekuelewa hormones n ever give up my brother meseji toshaa. Big up

  • @mwanahawajambi4587
    @mwanahawajambi4587 3 года назад +8

    I'm the first...nipepen like zangu kama unampenda mama

  • @rubengaally8476
    @rubengaally8476 3 года назад +1

    Msaniii mpaka ukiitwa ikulu ufanye yako ujue ushakuwa mkubwa kimziki ....asichokijua mmakonde mama anapenda sana kutumia kiswahili fasaha akiwa anazungumza na waswahili wenzie

  • @hassanisufiani8599
    @hassanisufiani8599 3 года назад +5

    Msanii wangu bora Tanzania

  • @bakariali859
    @bakariali859 3 года назад +8

    Mwanaume heren zanini wew

  • @torymedia7773
    @torymedia7773 3 года назад +2

    Kama unampenda MAMA gonga like

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 3 года назад +4

    Kijana usiyekata tamaa Mungu akuongoze vyema

  • @bekaboybj3050
    @bekaboybj3050 3 года назад

    Like 💯 zakonde 🐘🐘Kama unamuerea

  • @angelinaomare3055
    @angelinaomare3055 3 года назад +3

    Asante kakangu Mdogo......💣💣💣💣

  • @mahmoodalghefeili5370
    @mahmoodalghefeili5370 3 года назад +3

    hongera sana harmo ila umeingia heren iyo

  • @isackcharles281
    @isackcharles281 3 года назад +10

    Konde boy.🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🥰⭐⭐⭐⭐⭐💪

  • @mahmoodalghefeili5370
    @mahmoodalghefeili5370 3 года назад +8

    mm ni shabiki yako mkubwa sana na nakupenda ila angalia sehem ya kuvaa miheren

  • @husnamanase3943
    @husnamanase3943 3 года назад

    Uko powa konde nakukubali sana hata waseme husijali pambana Nia yako mungu yupo nawewe2 binadamu tumeumbiwa maneno zaidi watanzania tumezidi chuki

  • @ebbyramadhani
    @ebbyramadhani 3 года назад +6

    Kuimba live ni shida
    Apo mwenye izo kazi Fundi wao Banana zoro

  • @sautiyaredio5278
    @sautiyaredio5278 3 года назад +17

    vijana wangine ni wapuuz sana yani mihereni ckioni afla anaitwa na rais mtoto wakiume acha wakina NIKK WAPILI WAPEWE UONGOZI

  • @eliudijastini645
    @eliudijastini645 3 года назад +6

    Sawa konde geng🔥🔥🔥🎤

  • @laurinfred2931
    @laurinfred2931 3 года назад +14

    Kwenye kuimba live hapo ndo kamtihani mwamba...

    • @ellyisidoli2192
      @ellyisidoli2192 3 года назад

      P0le bro

    • @asimemodern8376
      @asimemodern8376 3 года назад

      Live hawezi kabisa huyu jamaa alaf pumzi ya kubishana na watu angeitumia huku angetwaa BET sio f**k kwny kila neno analolitoaga

    • @hkmeme5437
      @hkmeme5437 3 года назад +1

      @@asimemodern8376 mwenye pumzi vipi uko America, amekusanya tuzo ngapi

  • @thaliamalaika9711
    @thaliamalaika9711 3 года назад +6

    Never give up 🙏🏻

  • @mawenje
    @mawenje 3 года назад +3

    I, m Waiting..........

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 3 года назад +2

    Heren Ni kero kweli kweli

  • @alfylegit9573
    @alfylegit9573 3 года назад +3

    Live performance wachia Kiba, Aslay na Barbaba. Baki huko kwa kelele tu😂

  • @edwardnelson335
    @edwardnelson335 3 года назад +1

    jeshiiiii🔥🔥🔥🔥🐘🐘🐘🐘,,never give up😭😭😭😭

  • @beatricedanken8936
    @beatricedanken8936 3 года назад +6

    Hizi heren jaman zanini nyinyi au zinamaanagani tusoijua dah tunaendawap!!

  • @liliangonza2152
    @liliangonza2152 3 года назад +2

    Waiting..........

  • @hassankimanga9243
    @hassankimanga9243 3 года назад +3

    Jeshiiiii

  • @noelkipera4871
    @noelkipera4871 3 года назад

    Hili nalo Kumbe Fara kiasi hiki,,Hana washauri kwakweli,,na mkubali Kua mpambanaji,,na kawezea Sana kuwaonesha upande ule kuwa yeye anaweza,,,BT Kwa Heleni kanibour sana

  • @djdisboy255tz
    @djdisboy255tz 3 года назад

    Nomaaa

  • @rasterwangu9708
    @rasterwangu9708 3 года назад

    C ajabu anabikini

  • @thechosen8208
    @thechosen8208 3 года назад

    I love TZ people 🇰🇪🇰🇪🇯🇲

  • @hamisiajuae5304
    @hamisiajuae5304 3 года назад

    Jeshiiiiii

  • @abillahsalum2218
    @abillahsalum2218 3 года назад

    You is good musician

  • @OmarMohamed-re3hr
    @OmarMohamed-re3hr 3 года назад +5

    Master J aliongea ukweli, kuimba hawajui lakini matukio ndio wako sawa.

    • @raphaelpubby1449
      @raphaelpubby1449 3 года назад +2

      Master J mwenyew angeenda kuimba tuone kipaji chake kuliko kuchagua watu

    • @sirajimsuya6226
      @sirajimsuya6226 3 года назад

      Hajui huyo maheren

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 3 года назад

    Amevaa na hereni uwiiiiii ,,

  • @keptenpojos821
    @keptenpojos821 3 года назад

    Teacher of High school....Konge Hand for Everybody...

  • @asimemodern8376
    @asimemodern8376 3 года назад +3

    Inabidi ajitahidi kubalance sauti wasanii wetu wengi kwenye live tunafeli

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 3 года назад +10

    Mshindi wetu wa Tuzo za BET 2022

  • @shekiffu
    @shekiffu 3 года назад +1

    Mbona hereni tena watoto wakiume tena asee

  • @ruhindwajanvier8918
    @ruhindwajanvier8918 3 года назад +2

    Baba we ni mkali

  • @talibally8743
    @talibally8743 3 года назад +2

    Nikki w pili kw hereni atr

  • @starito7787
    @starito7787 3 года назад +1

    Mwamba unafeli ayo maherini ndo unamaanisha nini, ww ni kioo cha jamii jielewe kijana

  • @saidimkoloweko6218
    @saidimkoloweko6218 3 года назад

    Bigapu Sana konde au jeshiii!!!!!!!!.

  • @abelsiyame7863
    @abelsiyame7863 3 года назад +6

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @okeymediatz1024
    @okeymediatz1024 3 года назад +2

    Harmonize

  • @hassankimanga9243
    @hassankimanga9243 3 года назад +2

    Watakubariii III watakee wastakee lazimaaa wakubaroii

  • @arcaprincenimbona4924
    @arcaprincenimbona4924 3 года назад +5

    🔥🔥🔥🔥

  • @stellah3844
    @stellah3844 3 года назад +3

    Live performance Hakuna kitu

  • @ibrahimlema.3600
    @ibrahimlema.3600 3 года назад

    Big up harmo broo

  • @alirashid3239
    @alirashid3239 3 года назад +5

    Wacha kujisahau ww dogo hiyo herini ya msalaba inakuwaje

    • @raphaelpubby1449
      @raphaelpubby1449 3 года назад +1

      ina maana yake ndo maan kavaa msalaba kila kitu kina maana yake bhn

  • @emmanuelelam555
    @emmanuelelam555 3 года назад +1

    Eleni waachieni akina Dada jeshi badilika huwa nakuelewa Sana'a acha hizo ww ni kioo

  • @musacharleszengo1193
    @musacharleszengo1193 3 года назад

    Dah

  • @johnjoseph3773
    @johnjoseph3773 3 года назад +1

    Kuimba live ngumu sanaaa!

  • @khaleddonjr6273
    @khaleddonjr6273 3 года назад

    Never never

  • @allymlokozi6546
    @allymlokozi6546 3 года назад

    Hatariiii👈👈👈👈

  • @seifmohamed836
    @seifmohamed836 3 года назад

    Mhhhh kofia kubwa lakn umevaa herin za misalaba duhhhh kumbuka mwisho wake utaodoka dunian

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 3 года назад

    Big up harmo

  • @sirajimsuya6226
    @sirajimsuya6226 3 года назад +1

    Hajui k2 huyo

  • @gaspermbawala1298
    @gaspermbawala1298 3 года назад

    Rusha roho zanini ikulu

  • @mishikitendo4441
    @mishikitendo4441 3 года назад

    Jeshii

  • @samsonhaule3647
    @samsonhaule3647 3 года назад

    Mbona haileweki?

  • @efficialeliudboniphace2684
    @efficialeliudboniphace2684 3 года назад

    Live kwenye hereni kabolonga

  • @zaburi2386
    @zaburi2386 3 года назад

    Sauti za k vant utazijua

  • @haroubabuu1144
    @haroubabuu1144 3 года назад +2

    ❤🔥❤

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 3 года назад

    Do!!! Rabana na msalaba sikioni mtihani

  • @fatumaabdallah2545
    @fatumaabdallah2545 3 года назад +2

    Jeshiiiiiiiiiiiiii

    • @nardjaha3126
      @nardjaha3126 3 года назад

      Jombaa bado sana live pia engilishi huwez imba live kos ngeli bado ujui vizur pia kama uliamua kuimba huo wimbo kama life stor yako usinge kiluka kipande ulicho muimba diamond koz ndio kabeba istoria yako yamaisha

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 3 года назад

    Umevaa vizur huo msaraba uko maskioni vp unayumba harmonize

  • @meirenatus5683
    @meirenatus5683 3 года назад

    Jeshiiiii Kama jeshiiii

  • @mrtime9848
    @mrtime9848 3 года назад

    Sauti inakwaruza sana, pia hukupaswa kuvaa hereni boss @konde gang iwafikie hadi huyu CEO

  • @abuukhamis878
    @abuukhamis878 3 года назад +1

    💣💣💣🙏🙏

  • @cyrusharper2355
    @cyrusharper2355 3 года назад +2

    NA AJAPATA ZAWADI KAMA RAYVANNY 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hawaismail5060
    @hawaismail5060 3 года назад

    mali na watoto ni mtihani kwetu wazazi nasi ni masuuli juu yao acha kabisa hereni kusuka allah atuhifadhi sote alkamalu allah

  • @tawfipramadan9505
    @tawfipramadan9505 3 года назад

    Konde boy ww ndiyo msani wa tz na afrika ww ndiyo pacha wa ban boy

  • @naslee1010
    @naslee1010 3 года назад

    #AMEZINGUA

  • @moudyhamisi2641
    @moudyhamisi2641 3 года назад

    👍👍👍

  • @roseiddy7551
    @roseiddy7551 3 года назад +1

    Hiyo heleni ya msalaba ndiyo nn hujielewi ww hatakiwa havae dada yako bhana

  • @hawaismail5060
    @hawaismail5060 3 года назад

    kijana itaqllah mwogope allah kwanini anayoyakataza allah mwanaume anaejifananisha jinsia ya kike ghadhabu zake vipi juu yake na mwanamke anaejifananisha na jinsia ya kiume ghadhabu zake vipi yake hereni na wewe rajab wapi mnaelekea vizazi vyetu nyie mwoonyesha nini kwa kizazi kinacho chipukia dunia saa maishali akhera rudini ktk akhilaq ili tupate nusura wazazi enyi mlio amin watahadhirisheni ahlil zenu kuwa jiokoeni nafsi zenu na watu wenu na moto ambao kuni zake ni watu na mawe wanausimamia malaika wakali wenye nguvu hawamuasi mwenyezi mungu kwa amri zake

  • @johannesmashiko5068
    @johannesmashiko5068 3 года назад +1

    ✌✌✌✌

  • @wardamzuka3997
    @wardamzuka3997 3 года назад +1

    Haya umeamua uvae msalaba haya , bwana

  • @dencastroldecan1286
    @dencastroldecan1286 3 года назад

    nice ......

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 года назад

    Lihereni La nn sasa hilo

  • @mayalalusana3855
    @mayalalusana3855 3 года назад +2

    Hereni sasa kama mwanadada

  • @edisonbenard226
    @edisonbenard226 3 года назад

    Acha miheren kijana mzki unaujua

  • @wairigomsabi9299
    @wairigomsabi9299 3 года назад

    Kwa sababu ya hereni raisi .anakuona Kama choko flan hivi

  • @talibally8743
    @talibally8743 3 года назад

    Hamo n shanga kavaa mxli herini kvaa hhhh😀😀😀

  • @hamisihalfani6374
    @hamisihalfani6374 3 года назад

    Maheren yann jesh avai heren bhana

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 3 года назад

    Sauti kaiharibu kwa smoke na pombe mikwaruzo hayasemeki ..herini mama anakuona huna madili ya kitanzania

  • @mwaiphamkuruto6334
    @mwaiphamkuruto6334 3 года назад

    Heleni sasa Kijana kama huyu wa kislamu kuvaa io heleni ya msalaba noma saana madili yetu halafu io heleni yenyewe hairuhusiwi kabisa kwa wanaume

  • @stevehiraly9127
    @stevehiraly9127 3 года назад

    Hamna ktu hapo...

  • @RashidRashid-wv9ud
    @RashidRashid-wv9ud 3 года назад +1

    Ulichoharibu hapo ni hiyo hereni halafu ni msalaba wakati wewe mwenyewe unasema swala tano Kweli msikiti gani unakuruhusu kuingia na hereni?

  • @asyaamuhammed2408
    @asyaamuhammed2408 3 года назад

    Simpendi huyu mahereni

  • @stanleymusyoka6038
    @stanleymusyoka6038 3 года назад +1

    Kuimba live achia Barnaba huwez kabisa

    • @camistechnology2091
      @camistechnology2091 3 года назад

      Angeenda huyo sasa kwanini hayupo hapo wamemwita sababu ana kitu

    • @stanleymusyoka6038
      @stanleymusyoka6038 3 года назад

      @@camistechnology2091 Huwez juwa ww Barnaba Classic fundi kwelikweli kwa kuimba live

  • @issatwahiru7485
    @issatwahiru7485 3 года назад

    kumbe anaasaut mbay ivi

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 3 года назад

    😄😄