MAJIBU KWA MUHAMMAD BACHU KUHUSU BIDAA YA VIGAWANYO VYA TAWHIID. // Ustadh Haji Upepo حفظه الله

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025

Комментарии • 182

  • @HawaOmary-fb6wo
    @HawaOmary-fb6wo Год назад +1

    Akuhifadhi Allah,endelea kutembea nao MPAKA yaumu diiiin.

  • @mohamedimcheni2068
    @mohamedimcheni2068 Год назад +1

    Wallah wallah wallah shekh hajji nakupenda sana kwa ajili ya Allah uko na ufasaha w hali ya juu sana

  • @jumaally558
    @jumaally558 Год назад +1

    ALLAH AKULIPE KHERI SHEIKH WETU NA AKUPE UMRI MREFU WENYE KHERI UZIDI KUTUJUZA UZUSHI WA MAWAHABI 7:49

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 Год назад +2

    جزاك الله خيرا يا شيخنا

  • @HabibuHaji-l4l
    @HabibuHaji-l4l Год назад +2

    Suali kwa upepo nyinyi masuf mungu wenu ni tawhid
    Mana iliyogaiwa ni tawhid

    • @SaidiMohamed-bj2wg
      @SaidiMohamed-bj2wg Месяц назад

      Tao dalili acheni porojo wapi الله namtumi kaigawa tauhid

  • @slimshah9460
    @slimshah9460 Год назад +1

    Wallahi nakupenda kwa sababu ya Allah kwa ufasaha ya ufafanuo wako,mungu akujazi inshaallah

    • @hajiupepo3146
      @hajiupepo3146  Год назад +2

      وانا أحبك في الله۔۔۔جزاك الله خيرا

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 Год назад

    Allah akulipe kwa kuwazindua watu na uovu wa vifaranga wa kiwahabi

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 Год назад +1

    Hao mawahabi ndo wanajifanya wana tawhiid na wapo mbali na shirki,kumbe wao ndo madereva wa kumshirikisha mungu,yaani tawhiid yao ni ukafiri mtupu,na sifa za mungu wa kiwahibi sio za mungu wa waislam kabisa kabisa...
    Tuwaombee dua mashekhe zetu wazidi kubainisha huu ukafiri wa kiwahab uliojificha ktk kivuli cha uislam..allaah awatie nguv mashekhe zetu wa kisufi inshaallaah🙏

    • @alf8177
      @alf8177 Год назад

      Hiyo ni itikadi ya maimamu wote pamoja na masahaba. Hao wanafuata itikadi ua Ashari aliekuja baadae

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty Год назад +1

      So vizuri kutoa comment kwa darasa moja bila kujishughulisha na elimu unaweza khsema tuwaombee kumbe wewe ndo unaestahiki kuombewa

    • @alf8177
      @alf8177 Год назад

      @@selemohd9060 kasome kitabu kinaitwa الدرر المنضدة من عقائد السلف

    • @alf8177
      @alf8177 Год назад

      @M B sahihi kabisa Hawataki kusikiliza hoja za upande wa pili na kupekua vitabu maulamaa Wanasema nn. Muhimu inaendana na hawa za nafsi zao basi

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      @@alf8177 naona ndugu mkristo sindano imekuingia huna hoja mliyataka wenyewe hayo sasa yasubirini maana ndo kwanza shekh upepo anaanza maana mlidhani alhatmy kashindwa kumbe atoke wakati vijana wao wapo haya bayana hiyo lazima mchele ukae kwake na mapepe

  • @JabirBakar-ys8dw
    @JabirBakar-ys8dw Год назад +1

    Shukran laka

  • @abdul-rahmanfakijuma1879
    @abdul-rahmanfakijuma1879 Год назад

    Maa Shaa Allwah

  • @JabirBakar-ys8dw
    @JabirBakar-ys8dw Год назад +1

    Ahsante sheikh

  • @zakariasuleiman4113
    @zakariasuleiman4113 Год назад

    Uhibuka biidhinillahi umenifanya nizunduke kwenye wimbi la kukashifiwa na mawahbi na kumbe wao ndo wafanyaji bidaa wazuri tu na awanatofauti na mashia kumbe shukran Sanaa na mola akujaze afya na elimu njema inshallah

    • @alf8177
      @alf8177 Год назад

      وانهم ليصدونهم عن السبيل ويحسبون انهم مهتدون

  • @MkwizuMkufya
    @MkwizuMkufya 6 месяцев назад

    Sh haji kiboko ya mawahabi hawataki hata kumsikia

  • @KHALIFAMPYA-TV
    @KHALIFAMPYA-TV Год назад

    MaashaaAllah

  • @mohamedimcheni2068
    @mohamedimcheni2068 Год назад

    Allah agawiki lazima mlango ufungwe tukiacha mlango wazi ttauhidi zitaongezeka kama njugu pumbavu sana mawahabi

  • @miao8614
    @miao8614 Месяц назад

    Haji upepo nimuongo mpotevu mpuuzi na unaweza kuwa taghut unakoelekea

  • @abumaryam6909
    @abumaryam6909 Год назад

    Hauwezi kua na mawazo hayo kisha ukaikumbatia barzanj! Mbona kule ndio balaa zaidi bora hivyo vigawanyo vinaelezeka havifanani na mchanganyiko na vile vya utatu wa kikristo! Njoo kwenye manhajj ya kisunna kaka hata huku rizki zipo unaonekana unaufasahau lakini Allah (s.w) hajataka.. Allah (s.w) ajaalie wepesi uione haki watu wapate faida kutoka kwako Aamin!

    • @Dr-ubaida965
      @Dr-ubaida965 Год назад

      Hahaha yeye hasomi barazanji kibubusa kama ninyi ndo mana anajua kuwa hakuna tatizo kwenye barazanj

    • @Dr-ubaida965
      @Dr-ubaida965 Год назад

      Na Bado wanakuja watu 50 kama yeye ili kiwaweka sawa mawahabi

  • @azzahrau
    @azzahrau Год назад

    Kumbe mawahabi wana uzushi na wao alafu mdomo n wa nini sasa?

  • @yunusabubakar6862
    @yunusabubakar6862 6 месяцев назад

    Hio hio aya ulioitoa inaendana na nyinyi ambao munaenda kwenye makaburi munatawasul kupitia masheikh zenu waliopita ili iwe njia ya dua zenu kukubalika

  • @abumaryam6909
    @abumaryam6909 Год назад +3

    Itikadi mbaya na uzushi mbaya 🤔

  • @alf8177
    @alf8177 Год назад +1

    Acheni ujinga hivyo vigawanyo ni kwa ajili ya watu wafahamu zaidi
    Kwani ibn taymiah kagawa sehemi 2 na wengine 3. Ktk sheria kuna vigawanyo kama wajib, sunna , makrooh na haramu. Hivyo havikugawanywa zama za mtume wala sahaba lkn kwa ajili ya watu wafahamu vizuri zaidi

    • @jumaally558
      @jumaally558 Год назад

      Sasa si UZUSHI Huo

    • @alf8177
      @alf8177 Год назад +1

      @Juma Ally hakuna mwanachuoni hata mmoja aliesema ni uzushi. Elimu kadri zama zinavokwenda lazima ifunguliwe zaidi. Na ndio maana zama za masahaba palikua hakuna usul fiqh, na elimu yote iliiua moja. Ugawaji wa elimu upo ktk masuala mengi ya dini ili watu wa zama hizi wafahamu. Mfano ktk sheria Kuna 1 wajib 2 sunna 3 mubah 4 Haram 5 makrooh . Vile vile utunzi wa vitabu na kuweka milango, ukusanyaji wa msahafu na kadhalika hizo zote ni kwa ajili ya kuwepesisha watu waelewe vizuri ni Wasilla tu so lengo

    • @alwiyiynmission2820
      @alwiyiynmission2820 Месяц назад

      UZUSHI SI SHERIA KAMA WASEME MASHEIKH.
      HATA WAKUBALIANE KAMA NI UZUSHI NI UZUSHI.
      LAKINI UMEELEZA VIZURI KWA UELEWA WAKO NIMEPENDA KUA UGAWAJI NI UTANUZ WA ELIMU TU....TATIZO LIPO KWENYE MLANGO WA KURUHUSU KUENGEZEKA JENGINE LA KHERI BAADA KUONDOKA MTUME....KAMA MAWAHABI WATAKUBALI IPO BIDAA HASAN HAMNA NENO ...LAKINI SIO WENZAO WAONE WAMEZUA LAKINI WAO WAKIZUA WANAJITETEA.​@@alf8177

  • @shafiiyunusu
    @shafiiyunusu Год назад

    Sikiliza na hili kombora kwa mawahabi
    ruclips.net/video/XBvGm2i6DEo/видео.html

  • @Iziaka-k2e
    @Iziaka-k2e Год назад

    Kwenye Ayatul Qursiyyu na Quran kwa ujumla, viumbe tumepewa elimu kiduchu na neema zingine. Sasa elimu hiyo kiduchu utaitumiaje kujua na kugawa upwekeshaji wa Mkamilifu Allah Subhanahu waTaala?

  • @alf8177
    @alf8177 Год назад

    SSHEIKH WENU ALHADDAD PIA KAGAWA HIZO TAWHID KTK KTABU CHAKE
    الدعوة التامة و التذكرة العامة

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      Wewe wacha kudanganya watu kaafir wewe mkristo mkubwa

    • @alf8177
      @alf8177 Год назад

      @@JabirBakar-ys8dw وعند الله تجتمع الخصوم

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      @@alf8177 ila mtume alishasema kwetu sema kweli japokuwa n chungu naona sindano imekuingia kaafir wewe muigope mungu yaaa kuffaar

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад +1

      @@alf8177 وانتم كذالك أو أنتم لا تعلمون ان رسول الله صلى الله عليه وسلم جاء بالاسلام ودعى الناس بها ولم يخرج الناس في الإسلام إيا من تخرج الناس في الإسلام من انت نريد أن نتفهم ان كنت دليل وليس بقول احمد باج..........
      وأن كنت تذكر من هم تفرقوا بين الناس والناس كانوا من حال واحد ............
      عجبت بمن يقول لنا أننا مشركين بحسبه انه من الحق بالجملة بل الحقوق محفوظة ولم يعزالله بمن عادله ولم يذل بمن هادله.......

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      @@alf8177 kama ni arabi Alhamdulillah usidhami ukiongea kiarabu sitakusuuza bado wewe ni kaafir tu kwa lumpinga uzao wa mtume

  • @alf8177
    @alf8177 Год назад

    Challenge kwa makhurafi kuhusu vigawanyo tawheed.
    ruclips.net/video/PTOJqTUgJnk/видео.html

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      Hapo tupe jawabula uhakika kwamb wewe unajuwaje kwamba huyu mtu anamkusudia Allah?na hatakuwa ila ni mwenye kucheza shere na Allah alishalizungumzia kundi hilo halichezi shere ila wanazicheza shere nafsi zao na hao ndio hakika ya mawahabi

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      Yaani huwa unajileta patamu sana kijana weww n kaafir tena murakkab kwa hiyo itikadi yako kwa haya hii

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      Nnaomba urejee surat baqara aya ya nane mpaka kumi na tano ndio utajua kwann wewe n kafiri

    • @alf8177
      @alf8177 Год назад

      @Jabir Bakar lazima ujue tofauti Kati ya mnafiq na kafiri kwanza Kisha uendeleze Mada.waliotajwa kwneye baqarah ni wanafiq sio wanaoabudu masanamu wazi wazi. Challenge hii ni mwiba we acha

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      @@alf8177 hakki ni yenye kukaa mahali pake na kurejesha sural munaafiqiina aya ya kwanza mpaka ya nne mnafiq ni kaafir

  • @khatibujuma4933
    @khatibujuma4933 Год назад

    Mashallahw shekh haji hizo twhd 3 kaziazisha nani Muhammad ibini wahabi sasa hawa hutetea ukafiri mbona Allhw kakataza hilo sura5 aya73 hawa ni makafiri

  • @SaidHamad-d3n
    @SaidHamad-d3n Год назад

    Nyinyi mawahabi tatizo lenu hamupendi huyo bachu wenu akosolewe wakati anapotosho watu kama nyinyi

  • @Nuruyasunnah.official_tv
    @Nuruyasunnah.official_tv Год назад +1

    We jamaa kweli hamna kitu yan unasoma aya za kuran alaf unatoa tafsiri mbov ebu kabla hujakosoa itikad ya ahlu sunna isome kwanza
    Acha kuropoka ovyo ovyo

  • @husseinkitwanamabrouk4889
    @husseinkitwanamabrouk4889 Год назад

    Naaam sheikh haji hapana kumuacha wahabbi yyt wakat huu wameshawatukana masheikh zetu sana kwa kukosa adabu

  • @SalminSuleiman-qy3ji
    @SalminSuleiman-qy3ji 3 месяца назад

    Pumbavutu hili wee tn mhuni mkubwa asaaa

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg Месяц назад

    Yan ata babuyao ibnu teymia hawez kuteteta

  • @universitylink
    @universitylink Год назад +1

    Sheikh umeongea vizuri, ila unaelezeaje pale Allah anaposema( Na unawapouliza ni nani ameumba mbingu na ardhi wanasema ni Allah), hapa wamekiri kuwa muumbaji wa kweli ni Allah ila shida yao wanawaongeza miungubmingine ili kuwa karibu na Allah na pahala pengine wanasema itakuwaje miungu yao 360 waijaalie kuwa ni mungu mmoja , shida yao wanaona kuwa Allah pekee hatoshi kufanya kila kitu pekee yake ndio wao wana mungu wa amani au wa mvua au wa rizki nk. Ila kwenye kuuumba wanakiri Allah ndiye muumbaji mkuu.Naomba ufafanuzi hapo

    • @alf8177
      @alf8177 Год назад

      Hawezi jibu hapo. Makuresh na firauni walikiri kuwa Allah yupo (tawhiid rububiyya) lkn walikataa kuabudu (tawhid uluhiyya). Ukisema tawhid ni Moja haitowezekana kwa mujibu wa dalili

    • @suleymanmohd3418
      @suleymanmohd3418 Год назад +1

      Ukikubali kama tauhid zipo tatu basi huna tofauti na wakristo na itikadi zao za kuwa kuna Mungu,Baba,mwana na roho mtakatifu ijapokuwa pia wanakubali Mungu hiyo huyo no mmoja.
      Kwahiyo kukubali kwanza tauhid tatu ni kukubali itikadi za kinaswara.
      Iwe itakavyo kuwa Mungu hagawanyiki katika namna yeyote anabaki katika dhati yake mwenyewe.
      Huwezi kutaka kulazimisha kumgawanya Mungu katika upweke kwa kigezo cha kumtofautisha sifa zake,upweke wake,
      Sifa zinabaki kuwa zake na kila kitu kinabaki kuwa chake.
      Ukiisoma surrat Al ikhlaasw kwa mafhumu yaliyo kuwa makubwa huwezi kuthubutu kusema tunaigawa Tauhid katika sehemu tatu.
      Na labda mje na maelezo hizo tauhid tatu,
      Ni nani Kati ya Mtume S.A.W au maswahaba au taabiina au taabii taabiina walifanya hivyo vigao vya tauhid.

    • @universitylink
      @universitylink Год назад +1

      Huyo ni ujahili uliopitiliza kufananaisha trinity na tawheed kuwa ni ya majina ya Allah ,uluhiyah na rububiyah.kwanza unatakiwa ujue wakristo wanaposema mungu baba yaani Allah na mwana yaani Jesus na roho mtakatifu wanakusudia kuwa Mungu ni huyo mmoja ila akija kuketa wahyi ndio anakuwa jibril na akitaka kuongea na watu ndio anakuwa Issa au Jesus kwa kifupi ni mungu mmoja anayegawanyika katika form tatu.
      Na tawheed ni kumpwekesha Allah katika majina yake kuwa hayafanani na viumbe wake na pia kuowekesha katika kuumba kwake kuwa hakuna aumbaye isipokuwa yeye na ni kupwekesha Allah katika ukezi wake yaani mlezi wa kweli ni yeye tokea weewe uko tumboni mwa mama yako mpaka ukatoka.
      Swali nakuuliza hata wenye kukata tawheed tatu wanakubali tawheed ya
      1. Tadbiiriy
      2. Tawheed ya Takniini
      3.Tawheed ya umba
      4.Tawheed ya sifa na majina
      Na zinginezo na zote hizo ukiziangalia vizuri zinaanguka katika tawheed tatu na kama unabisha bainisha hapa nikuoneshe vipi zinaangukia hapa

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      ​@@alf8177 lete hiyo dalili yako ya uongo hadithi gani hiyo mtume asiyoijua

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      ​@@alf8177 halafu wewe n mwongo allah akuangamize wewe laana kaafir mkubwa

  • @JabirBakar-ys8dw
    @JabirBakar-ys8dw Год назад +1

    Lete hadithi inayosema tawhid n vigawanyo vitatu

    • @alf8177
      @alf8177 Год назад

      Lete hadith kama Kuna wajib, sunna, makrooh, haram na mubah

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      @@alf8177 wewe sikushangai hujasoma hata theluthi hahahahaha n hatari kweli umekamatika

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      Yaani wewe ndio umenichosh kabisa wewe n zezeta

    • @alf8177
      @alf8177 Год назад

      @@JabirBakar-ys8dw jibu swali usomeshwe wewe

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      @@alf8177 يعني انت وفهمك الجاهلية مع ابن قد أثرت الخلق أعني أنتم تضلون الناس بكفركم فوالله ستحكم الله حقا بين الناس

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Год назад

    Haji upepo unapenda kuropokwa usiyoyajua mjinga .Haji upepo wewe ni kafiri wa kishia

  • @Iziaka-k2e
    @Iziaka-k2e Год назад

    Allah haabudiwi nusunusu. Tawheed ni yake tu na kila kitu ili ulipwe lazima ufanye kwa Iqhlaswi. Hata ya heri usipofanya kwa Ihqlaswi hulipwi. Kama Tawheed yako ni ya mafungu hata roborobo Allah hapokei hiyo. Uwe na fungu la rububiya na linginewe na lingine huna Allah Hapokei kumchanganyia. Ama una Tawheed na Allah ama huna, chagua moja. Allah hafanyi biashara ya kukubali kuchanganya.

  • @AbuuZalmay
    @AbuuZalmay 4 месяца назад

    Yaan mm nilichogundua ni kwamba uyu jamaa kaja kumkosoa ibnu taymia na wakat kaz alofanya ibnu taymia baba ake hajafanya acha uyo haji upepo baba ake ake uyo upepo yaan uchanganywe ww haj na uyo upepo bs hamumfikii ibn taymia kwa jitihada ktk dini tena mshike adabu zenu

    • @darajanida
      @darajanida 28 дней назад

      tulia dozi iingie vizuri

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Год назад

    Shekh
    ww unaamin kuna majina 99?
    sasakama unayakın na hili vıp uanzee kutıa wasıwas ktk Vigawanyo ktk Tawheed ????????

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      Lete hadithi inayosema kwamba tawhid ni vigawanyo vitatu

  • @jhgroupinvestColimited
    @jhgroupinvestColimited Год назад +1

    ww akhi upepe mche mola wako
    ina maana ww na sh othaymin na sh ibni taymiyya na shekh ibni baaz allah awarehemu , ww unajua zaidi kuliko wao,
    kwa ssb wao wamelielezea hilo jambo kwa upana wake kisha ww una kataaa
    muogope mola wako ww Haji

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga Год назад

      kwani Hiyo tawheed 3 ilifundishwa na Mtume au Maswahaba?

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl Год назад

    Haji upepo wewe unapita hata Baba yake nabii Ibrahim haingii mtoni.kwa elimu Yako kipotovu unapinga hadithi mtume.

    • @alwiyiynmission2820
      @alwiyiynmission2820 Месяц назад

      Musiyo yajua ULIZENI.
      ENDELEA KUSOMA HAKUNA MZAZI WA MTUME YOYOTE ALIEKUA KAFIRI!?
      NABII IBRAHIM KAENDELEE KUULIZA JE ALIKUA BABA MLEZI AMA MZAZI.
      MITUME ALLAH HUIANDAA KUTIKA KWENYE VIZAZI VITOHARIFU

    • @alwiyiynmission2820
      @alwiyiynmission2820 Месяц назад

      Hadithi za MTUME Zimenukuliwa baada KUONDOKA kwake kwa MIAKA mia tatu KIDOGO.
      Usishangae Kupinga Hadithi ....Khalifa wa kwanza Alipiga MARUFUKU kabisa na kuchoma MOTO HADITHI ZA MTUME.
      NA KUPINGWA HADITHI SIO KUPINGA MTUME BALI KUPINGA ANAEDAI AMEMNUKUU MTUME AU KUMSIKIA....HAKUNA UHARAMU HUO. IKIWA MNASOMA IWE MNAULIZA

  • @jamalsalum8726
    @jamalsalum8726 Год назад

    Na ndio maana Mawahabi wanaswali hali vipaji vya nyuso zao wamefunika na kofia zao kw hiyo hawana jisda, wanaamini wanapata ktk uluuhiyya kwengine wakikosa sio mbaya

    • @alf8177
      @alf8177 Год назад

      Ikiwa ni hivyo Maimamu wa makka pia mawahabi basi na Sala zenu na hija zenu pia hazimo

    • @jamalsalum8726
      @jamalsalum8726 Год назад

      @@alf8177 Maimamu wa Makka hawafunikagi vipaji vya uso wala hawavai vinusu kanzu

    • @jamalsalum8726
      @jamalsalum8726 Год назад

      @@alf8177 Na hao ndio wa nawaambia kila nchi na mwezi wao hamtaki, nyie ni Mawahabi sugu

    • @alf8177
      @alf8177 Год назад

      @@jamalsalum8726 kwa taarifa yako suala la mwezi Lina khilafu kwa maimamu 4. Sio mawahabi wote wanaofuata kila pahala

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      ​@@alf8177 😂😂😂😂😂😂😂 lakini makka si ndio wanaosema kila nchi na mwezi wake na nyinyi je

  • @shafiiyunusu
    @shafiiyunusu Год назад

    Sikiliza hii we muhabi majibu yote yapo hapa fuatilia sehemu zote
    ruclips.net/video/jq99ctPHDfQ/видео.html

  • @Nuruyasunnah.official_tv
    @Nuruyasunnah.official_tv Год назад +2

    Ah wee jamaa unaelimu kuliko ibnu taymia
    Kaa na ujinga wako

  • @IbraahJuma-dl2rd
    @IbraahJuma-dl2rd 3 месяца назад

    Tunatak FAIDA .
    Weka munaQasha tupate FAIDa acha Bal -bala zako 😂😂😂😂

  • @muhamadkhalid4976
    @muhamadkhalid4976 3 месяца назад

    Haji upepo njoo kweny mjadala ustupelek kweny ujinga sie tuna akili zenu

  • @UB40X1
    @UB40X1 Год назад

    Wewe ni JAHIL na MPUUZI SANA SANA!!! . Unapinga vigawanyo vya Tawheed kisha unaigawa mwenyewe hapo mwanzo. Sijasikia mtu mjinga kama wewe. Balaa hizi kila mtu ataka ushekhe. Ndio maana ukaitwa Shekhe Upepo.

  • @twahamkasi-gn1lo
    @twahamkasi-gn1lo Год назад

    masufi wote hawawezi kukubali tawhidi tatu Wana MAMBO yao ya shirki

  • @jamalsalum8726
    @jamalsalum8726 Год назад

    Bado wafunike macho yao tu

    • @jamalsalum8726
      @jamalsalum8726 Год назад

      Kofia huvaliwa mwisho wa maoteo ya nywele

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      @@jamalsalum8726 hivi hayo maneno yapo kitabu gani

    • @jamalsalum8726
      @jamalsalum8726 Год назад

      @@JabirBakar-ys8dw Soma vitabu vya viqhi, acha ushabiki wa kwny mitandao

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      @@jamalsalum8726 haya viqhi kwenye uislam n nn maana ule ubaranganya ulivyokuzidi mpaka unajidanganya mwenyew ety viqhi hiyo soma wew mm siitaki

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      Allah alishasema ataondia ufahamu kwa wenye vibri na ndio inadhihirika hapo

  • @alf8177
    @alf8177 Год назад

    Nendeni mkasome kitabu cha
    القول السديد في الرد على من أنكر تقسيم التوحيد mtaona kwa nn maulamaa wamegawa tawhiid. Msikilize pande zote 2 mtajua nani ni mkweli

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад +1

      ذكرني احداهم ان كان ليس من وهابيين أيا كافر ويا مفرق بين الناس

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      Wacha kubabaisha lete hadithi

    • @alf8177
      @alf8177 Год назад

      @@JabirBakar-ys8dw kasome kitabu wacha uvivu na kama hufahamu basi mtafute mwalim akutafsirie

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      @@alf8177 mimi nafaham kwamba taqsiim tajwiid ni haramu na mwenye kuitakidi haram n kaafir

    • @amiriushanga1128
      @amiriushanga1128 Год назад

      Eleweni mawahabi kwamba kuigawa tawhidi niuzushi mulokujanao nyinyi na hamna hojja wala hamuweziutetea uzushi huo kwa hadithi hata maudhui wazushi wakubwa nyinyi

  • @ramadhanhajji
    @ramadhanhajji Год назад +2

    Kwaiyo ww upepo uamini ilo kama washirikina wanakubali kwamba muumbaji ni allah namwendeshani waulimwengu ni allah mbona lipowazi ktk quran kuaminikwao huumbaji wa allah ولانسالتهم من خلق سماوات ولارض ليقلن لله kwaiyo ww iyo ayaunaoisoma inakusuta kwasababu ww munayaomba makaburi alfu mukiwa makaburini munadai munamuomba allah sawa nahao washirikina walosema atuabudu haya masanamu ila yatukurubishe kwa allah ukaribu sasa tukujuvye wewe upepo mana umevaa miwani yambao hiiakida imegawanywa ilikuradiwa nyinyi masufi nasisi tunaitakidi kwamba izo mbili ukiwanazo ukaikosa hiimoja bd nimshirikina (uluhiyya)nanyinyi hamna muna bl nyinyi munalingana na washirikina kuabudia masanamu nyinyi makaburi mmeshindwa kumpwekesha alla pekeyake mpaka mwende makaburini ndugu zangu masufi izo tauhidi zimegawanywa kuradiwa nyinyi masufi kufananakwenu nawashirikina kutokipwekesha ktk (uluhiyya) wao wakaabudia masanamu nyinyi mkaabudia makaburi mukaacha sifa za allah mukatumia sifa na majina ya mawaliiwenu

    • @jumaally558
      @jumaally558 Год назад

      MAWAHABI memepotea
      Rudini Kwenye njia ya Allah mungu yupo na warudio

    • @jumaally558
      @jumaally558 Год назад

      Hahaha unasema usio yajua wewe mwehu

    • @ramadhanhajji
      @ramadhanhajji Год назад

      @@jumaally558 Nayajuwa ndiomaana nasema ww ndouyajui ndiomaana unashobokea unatakiwa usome nenda kasome kwanza

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      ​@@ramadhanhajji hata kusema sijui nayi pia n elimu na inahitaji darsa na kupiga goti

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw Год назад

      ​@@ramadhanhajji lete hiyo dalili basi ambayo imeamuru hivyo