I discovered this song on the Sunday after Mum's burial in March 2021 when the choir at her parish sang it at Mass. It holds a special place in my heart. Nasema Asante Mungu wangu.
Leo 14.06.2021 ikiwa imetimia mwaka mmoja toka mama angu mzazi afariki namshukuru Mungu kwa kila jambo kwa kuwa yote mema ni yake na sina budi kusema neno AHSANTE MUNGU WANGU
The song blessed me so much. Hakika nisipokiri na kusema asante kwa mambo mengi MUNGU amenitendea basi ulimi wangu ugandamane. Asanteni waimbaji asante sana mtunzi wa wimbo huu Victor pumzika kwa amani.
Yan huu wimbo unanibariki sana jmn nikiusikiliza mpk machozi yananitoka kwa kweli mungu kanitendea
Mimi umepea hamu ya kujifikiria cause upendo wa Mungu ni bure❤
Mtunzi victor mrishiwa mungu akupumzishe kwa amani huko uliko
Nina kila sababu ya kusema asante Mungu!! Wimbo unagusa moyo wangu 😢
I discovered this song on the Sunday after Mum's burial in March 2021 when the choir at her parish sang it at Mass. It holds a special place in my heart.
Nasema Asante Mungu wangu.
X
Nisipo sema neno Asante nisipo kili wema wa mungu ulimi wangu ugandamane
Yan huu wimbo jana kanisan kwetu waliimba haki hapo km unajua Mungu katenda mengi kwenye life yako yan unajikuta unaruka tu 🙏🙏🙏
huu wimbo nikiusikia nanikatafakali mungu aliponitoa naishia kutoka machoz
Nisiposema neno asanten nisipo kili wema wa Mungu,ulimi wangu ugandamane na kaa kaa la kinywa changu mimi,
Wimbo unanibarikii mpaka nahisi kulia😢😢 MUNGU kaniepusha na mengi jamani
Nisipo Sema neno asante👏👏👏👏2023
Asantee mungu wangu,nakila sababu ya kukushukuru,🙏nisipo sema neno Asante ulimi wangu ugandamane.
Hakika mungu amenitendea muujiza kwa binti nisipo 🙏🙏🙏🙏
Amina, Asante Mungu nifundishe kukiri wema wako Mungu
Bonge moja la kwayaa😊
Ninakushukuru Mungu wangu kwa yote unayonijalia katika maisha yangu🙏
❤❤❤❤ naipenda sana huu wimbo mungu wangu abaliki kazi yako
Am really touched by the song
Yani ukiusikiliza huu wimbo nilazima ukiri ukuu wa Mungu..... Mungu awabariki wakristo wote
Nice song I love it my favorite
Naupenda sana huu wimbo
Leo 14.06.2021 ikiwa imetimia mwaka mmoja toka mama angu mzazi afariki namshukuru Mungu kwa kila jambo kwa kuwa yote mema ni yake na sina budi kusema neno AHSANTE MUNGU WANGU
Amina mpendwa♥️🙏
Pole balikiwa ndugu
Pole sana dear
Naipenda sana hii nyimbo jaman wameimba kwa kwel
Very nice song I love it 🎉❤❤❤
This song really touches me❤
Asante kwa wimbo huu unanifundisha umuhimu wa wema wa mtu
Hakika huu wimbo hunibariki sana
The song blessed me so much. Hakika nisipokiri na kusema asante kwa mambo mengi MUNGU amenitendea basi ulimi wangu ugandamane. Asanteni waimbaji asante sana mtunzi wa wimbo huu Victor pumzika kwa amani.
Asante Mungu kwa baraka za watoto, asante kwa yote unayonijalia katika maisha yangu
Asante mtunzi mungu akulindi kwa kila jema utendalo
Hakika nisiposema neno asant nisipokili wema w mungu ulimi wangu ugandamane🙏🙏😭naona nabarikiwa
Nasikiliza 2023😢 Mungu ahsante ata hii afya nipo nayo na hatua nilipiga🙏
Yani huu wimbo umenigusa sana asante mungu kwa wema wako
Wimbo naupenda sana napata tumaini sana ktk imani
Nisiposema neno Asante🤲🙏
Mungu ni mwema 🙏🙏🙏🙏
Naupenda sana huu mziki.
Wimbo mzuri Sana unanikumbusha kwenye kwaya ya TYCS penda sana
Nimebarikiwa na huu wimbo
Its so good ihave enjoy it thanx RC
Nabarikiwa sanaa 👏 Mungu awabariki
Picha ya kanisa la kristo mfalme
Tabata!
Wimbo mzuri sana!! Nimebarimiwa 🙏🙏👍
Nice song congratulations.
Tubarikiwe sana jamani
Asante mokozi wa maisha yangu
Akika mungu ni mwema🙏🙏
Nabarikiwa sana na huu wimbo
Nausikiliza wimbo tarehe 1/1/2021.nina mengi ya kushukuru kwa Mungu kwa kweli
Zaidi ya mengi mpendwa
Sijui niseme aje tu Nina furaha moyoni mwangu
18/11/2023 nimeiskia kwa night vigil and i can't get enough of it.
I am blessed
Nabalikiwa San
Asante mungu muumba
Shukuru maana hujui siku zako @ Nisiposema neno asante.
Asante yesu wangu
Wimbo wakitambo wenye funzo kubwa kwang
vizuri sana
Nice song
Mubarikiwe
Asante Mungu as of 13/10/2024❤
neno asante💞💗
I'm blessed with this song
Iam Blessed with this Song
Jmn mm sim angu inagoma ku download inazukuka tu duhhh
Wimbo mzuri sana wa shukrani inaleta hisia kutoka moyoni.
Nataman kuipata audio kabisa ya hii nyimbo
Am blesesed
28/10/2024 like zote hapa ❤
Beautiful 🥰🥰🥰
Nisiposema neno ahsante
Asante Sana kwa unayonitendea
September 2024, nina sababu ya kusema ahsante
😊11😊¹😊😊😊😊1😊😊¹😊1😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊¹😊😊😊😊1😊😊1😊😊😊😊😊11¹àaààa
A very good song in deed.
Asante Munguu
❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jina la wimbo please
Ameni sana
Nisipo sema neno ahsante2024
Amen
nice song
Wow, such a nice song to say thank you God.
💯💯💯🔥
❤
🔥
❤❤❤
🙏
Asante
🇹🇿🙏
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Harris Nancy Martin Sarah White Barbara
T
Amen
I'm proud Roman Catholic💕💕💕💕
🔥
Amen