Paul Clement - Hemani ( Official live recording video )
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- #paulclement #hemani
Listen to HEMANI audio
BOOMPLAY: www.boomplay.c...
AUDIOMACK: audiomack.com/...
SPOTIFY: open.spotify.c...
APPLE MUSIC : music.apple.co...
Artist: Paul clement
Songwriter: Paul Clement
Music director: NellyMusic & Joel Alfred
Music production: kbMusic
Mixing & Mastering: Mark
Montgomery 🇿🇦
BAND: Maksudi feat.
Haggai Makuzo : lead guitar
Joel Alfred: Aux 1
Andrew chitete :Drums
Video director: Live events Africa
Lights: Haddy Pro
Music PA & Stage : Haddy pro
Graphics: Art Majah
Backline: Haddy pro & kbMusic
FOH engineer: Jeddy audio pro.
Monitoring engineer: Gadi_sl
Decor: Gatty events, Anna Clement & African Bae
Logistics: Michelle & Joel Swai , Megan Mugarula
Dressed by: The forwardArtist:
Kutoka 33:9-11
Ikawa Musa alipoingia humo hemani ile nguzo ya wingu ikashuka ikasimama mlangoni pa ile hema; Naye BWANA akasema na Musa.Naye BWANA akasema na Musa uso kwa uso kama vile mtu asemavyo na rafiki yake.
🙌🏾🙏
Amen
Amen Amen
Amen
Good luck and good job
Hemani Mwako Mwako Bwana tuongee tuzungumze milele
MORE GRACE MY BROTHER 🙌🙌❤️❤️
Verse 1
Nimelifanya uliloniambia
Nijenge hema ya kukutania
Si mimi na watu Bali mi na wewe
Heri tuzungumze
Tuongee
Verse 2
Nimelifanya uliloniambia
Hema yetu niiweke mbali
Si mbali na wewe Bali mbali na watu
Ili tuzungumze tuongee
Bridge
Wingu lako limeshatanda
Mlangoni mwa hema yetu
Nachosubiri wewe useme
Uongee na moyo wangu
Hemani mwako (Tuongee)
Hemani mwako(Tuzungumze)
*Those are the BV parts*
Be blessed dear
Many thanks🎉
Huyu Mungu ndio yule Mungu wa zamani aliyemtunza bibi yangu akiwa tumboni mwa mama yake ndio huyuhuyu alimtunza mama yangu akiwa tumboni mwa mwa bibi yangu ohhh ndie aliyenitunza mimi nilipokua tumboni mwa mama yangu, ndio huyuhuyu bado ana nguvu hata sasa, Ahsante Mungu vijana wanakutumikia mno.
Hakika hakika hakika 🙌
Kaka Yangu Ubarikiwe sana...
The Paul I know , toka enzi za UMENIFANYA IBADA, our very own Travis Greene🙌🏾😊
Haujatoka kwenye mstari kaka .
Asante Yesu kwa vijana kama hawa , wanaotumia muda wao kwa ajili ya utukufu wako, katikati ya changamoto wanazozipitia katika dunia hii iliyojaa tamaa na anasa . kamwe usiwapungukie Yesu. Hili ndiyo OMBI Langu sasa na hata milele.🙏🏿🙏🏿🇹🇿
Kaka hii huduma uliyo nayo usiiache endelea na Mungu akutie nguvu najua mnapitia mengi lakn Yesu akutunze kwangu mm unanibariki sio Leo Wala Jana tangu kipindi kile Cha umenifanya ibada na Mpaka Leo unamtumikia Mungu Asante Kaa wimbo huu.
I was down today and as i sat on my desk in the office crying myself out asking God for a Miracle as i sang along my phone was in silence, so later on what i was crying about was answered right then and there just like that. i felt God's presence and i am grateful
Mungu azidi kukumiminia mafuta mtumishi wa Mungu umekua baraka kwa vijana wegi kupitia wewe na kipawa chako watu wamejifunza vingi na jina la Bwana linazidi kuinuliwa
Tuongeeeeeeeeeee! Tuzungumzeeee! Hili ndilo ombi langu Baba
Nakusubiri useme na mimi Yesu Hongera Poul
O my! Wooow, this are tears of joy,am blessed
Am looking at that attire of the back up....ooh my...Kenya and Tz are one
Tanzania pia tunavitu vyakujivunia
You guys are blessed
Kabisa
Kabisa...I love Tz gospel songs...they are inspired by the Holy spirit.
Love from 🇰🇪 🇰🇪
Yaani huyu Mungu awabariki Sana hawa watumishi
KABISA
This is not just a song , it's revelation
Ikr 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@Sara Nyongole For sure, especially in this season of going deeper in the relationship with The Lord by His Spirit.
Glory be to Jesus Christ,.
The King of Glory
Absolutely right
Oooh yes... It's kabisaaaa
True
Nyimbo ya wakati (Nyimbo ya Mtu binafsi) kufanya tafakari na Mungu wake mahali pa siri kama Musa. 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 God bless you Brother @paul clement for the Song
God Bless you abundantly Man of God.
wimbo kutoka Madhabahu ya Mbinguni kabisa BROTHER PAUL CLEMENT uishi maisha marefu ya furaha amani tuendelee kumtumikia huyu Mungu Muumba mbingu na Ardhi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sanaaaaaa Paul❤❤❤❤🙌🙌🙌🙌
Paul clement is a testimony of the Lord's lifting. You started far and you never gave up. Thank you for encouraging us to stay in the place of waiting for God's timing. God bless you for us.
Sure
True
So true 🙌🏽
This song is just so beautiful!
Absolutely beautiful, wonderful aaaah all the nice adjectives. Hemani tuongee❤❤
Ooooh yesu lazima nilifanye ulilioniambia🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
What A Master piece🙌🏻🙏🏽
Hallelujah ❣️ 2024 on 🔥🔥🔥
HEMANI MWAKO⛅
Hemani good god song amen
Huu wimbo nimeuelewa saana barikiwa Sana mtumishi 🙌
nakupenda sanaa paul clement❤🥰
This song...so personal to me
🙌🏼🙌🏼🇰🇪
First Keys 🔥🔥🔥🙌
Beautiful song ❤❤❤❤❤❤❤
Ubarikiwe sana wimbo mzuri sana 🔥🔥🔥
This project was filled with so much grace
You are a true worshipper, I thank God for you@ Paul Clement stay Graced 🤗
😭😭🙌🏻🙌🏻
Mungu akubariki mtumishi
Hemani mwako tuongee na tuzungumzee this intimancy🙌🙌🙌
i love this song forever in my life! congrats very much paul clement
Ndani ya hema uwezekano wakuongea uso kwa uso na Mungu upo. Amen amen 🙌🙌
Mungu na akaibariki kazi yake ndani yako
Asante yesu Kwa vijana kama hawa . Kweli na barikiwa sana nahisi uwepo wa ajabu nkiskia huyu wimbo, pia Asante Mungu Kwa tz
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Sang gracefully,excellence in the coordination,holy spirit is here.
More blessings Paul Clement.
🇰🇪 🇰🇪 tumependa
Kenya pia tuko pamoja na mungu kwa kuungana
Hakika Mungu akubariki kaka mkubwa
Daaaaaaaah❤❤❤❤❤
This song is Deep...
#Intimacy with the Holy Spirit
#Intimacy with the Lord Jesus, the King of Eternal glory
#Intimacy with The Father of our Spirits, The Father of Glory, The Father of Lights.
GLORY be to The Lord Jesus🔥🙌🏾🔥
Sijaja kuona na kuridhika na wingu, sitaridhika na moshi wala nnavyojisikia ndani... Nitalingojea Neno lako Bwana.
Utoshelevu wangu ni Neno litokalokinywani pako Yesu Bwana wangu.
💯💯
Barkiwa sana napenda sana sana nyimbo zako zinanibarki sana🙏
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌💯💯💯 huuuwii Jesus Jesus
Heman pa Bwana Kuna utulivu pafaa sana kwa kumpatia Mungu mahitaji tunayohitaj..
This song is deep. May we stay in HIS presence always more grace sir Clement
These Musicians are always at their best. May God bless these Musicians.
Please let us remember these Musicians
🙌🙌wingu limetanda , thank you Jesus
Hemani mwako
Rehema yako Yesu ni rehemu😢😢
Wingu limeshatanda hemani mwako Mungu wangu
THIS SONG 🙌
Thank you Jesus for answering my prayers 🙏
Oooooh what an atmosphere of worship utazani Niko mbinguni
Uzidi kuinuliwa na kubarikiwa kutoka utukufu hadi utukufu Paul Clement🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Uonge na Moyo wangu... Yesuuuu
Eeeiiish
My daily Anthem
Haaaaaaalllllleluuuuujahhhh. hilo ndilo niko nalo tu kwa huyu Mungu.
MUNGU azidi kukubariki, unaniinspire zaidi
Nachosubiri.....kimeshafika !!!!!!!bless you sir
Mungu nakuomba uendelee kumbariki Paul Clement, umjaze na nyimbo nyingi nzuri zenye upako kama hizi. Amen.
This worship song always gets me-sema na roho yangu bwana uso kwa uso🙌🏾🙏🏾
Hallelujah 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Kazi njema utukufu apewe Mungu ,,👍
The atmosphere in this song is Heavenly 🙌🙌🙌
Hemani mwako Bwana tuzungumze
The secret place me and You Jesus 🙌🏼🙌🏼, thank you Paul for yielding to the Holy Spirit
👊🙏🙏😍😍
This is more than just a worship song 🙌
Hemani🙌🏻🙌🏻🙌🏻
nachosubiri Mungu useme 🙏🙏🙏 nahitaji ajabu kutoka wewe Mungu🙏
God's presence 🔥🔥🔥🙌
Kaka Paul Mungu akubariki sana na kuikuza huduma yako
Powerful song……..
Just you and me Jesus!!!!
Nimebarikiwa❤
Who is here for it 2025....
Powerful 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Thank you Paul for this rich song! More grace upon you in Jesus's name!
Very powerful
Hallelujah wimbo mtamu sana. More grace on you
Aisee amen
Broo Mungu akubariki sana kwa kaz ya Mungu,huwa nasikiliza sana nyimbo zako, natumaini ikimpendeza Mungu ipo siku tuta kutana tuimbe pamuja maana huku kwetu Lushoto wananiita Paul Clement
Hatimaye baraka imetoka 🙌🏾
Can't wait it .....💪🏿🔥🙏🏿
This sound...has desperation that is present in our generation...tht we seek to hear YHWH again...
Be blessed Sir...🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Alleluia,,, Bwana nifunze kuku jengeya hema maishani mwangu siku zote hata penye Raha na penye mateso
bro may this living God bless you
The cover Max Africa by Faraja Nzali brought me here...i very Holy spirit filled song
Nakupenda Sanaa aiseeeh...
Unatuliaga Sana ukiwa unaimba
Namshukuru Mungu sana kwa wimbo huu,... Nilikuwa niki fanya kazi za mikono ( interior design ) kanisani , huko niki imba wimbo huu, kitambo nika anguka toka juu kweye 2nd floor mpaka chini sijuwe niko hai namna gani ,alakini na shukuru Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏
Kaka kaka 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Amen 🙏🙏🙌🙌
Mungu akutunze kaka nabarikiwa sana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
good bless you my brother