Kitengo kizuri lkn ni kama jaribu kwake ila kina pesa kama lain ukisajiliwa umemnufaisha kamishina aliyekusajilia na asilimia zinaenda kwake kama manager market so kwangu ni good work
😂😂😂 Leo nimecheka sana Juma Lokole we ni noma,kweli nimeamini usishindane na mmbeya atakudharilisha.Haji Manyara kaa mbali na Lokole 😂😂😂😂😂 utazunguka juani sana😂😂😂
Haji manara,wewe ni mkurugenzi wetu wa wanachama,kaka wika ktk kitengo ni cheo kikubwa jirani na rais na gsm ni mtu mkubwa sana na gari yako ipepe bendera mbele ya yanga,
Hayo ni makubaliano na TFF VS GSM'S TEAMS UDHAMINI ILI UDUMU TFF WAZIBE MASIKIO HAJ ASIRUDI USEMAJI YANGA.TFF WANAMTOA MCHEZONI HAJ MANARA MAKELELE,MITUSI,MBWEMBWE ZA ULAYA.ENG ALISEMA MAKUSUDI
Waatangazadi wachochezi saana 😊
Akufukuzae bwanaaa!
Asilimia 90 ya watangazaji wa wasafi ni wambea
Kijiwe cha wahuni tu
Bado hujawaweza ni mashogaaaa haooo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndyo Kazi Yao hawawezi acha😅
Return of the King kushii nehiiii
Kitengo kizuri lkn ni kama jaribu kwake ila kina pesa kama lain ukisajiliwa umemnufaisha kamishina aliyekusajilia na asilimia zinaenda kwake kama manager market so kwangu ni good work
Naombeni mm naiweza huduma hiyo ya kuongea na jamii katika michezo maisha magumu elimu yangu darasa la 7
😂😂😂 Leo nimecheka sana Juma Lokole we ni noma,kweli nimeamini usishindane na mmbeya atakudharilisha.Haji Manyara kaa mbali na Lokole 😂😂😂😂😂 utazunguka juani sana😂😂😂
HUYO JAMAA NI MBEYA SANA HUYO NA FITNA
Manara rudi simba icho sio kitengo
Tangu zamani Haji alikuwa anakitaka hicho kitengo cha kuongeza wanachama amekuwa akisema mara nyingi anataka kuongeza wanachama
Hicho cheo mbona wanachama atavunja rekodi
HAJI BOSI
Haya manafiki yote
Haji Kama haji manara😂😂😂
Haji manara,wewe ni mkurugenzi wetu wa wanachama,kaka wika ktk kitengo ni cheo kikubwa jirani na rais na gsm ni mtu mkubwa sana na gari yako ipepe bendera mbele ya yanga,
Hata Mimi nisingekubali 😅😅😅
Kauri na pubric ndio. Duuu kauli na public yanakushinda kutamka shekhe?
Amewaambia hakitaki
Promotion
Huyu kafukuzwa ka stail hii
Hayo ni makubaliano na TFF VS GSM'S TEAMS UDHAMINI ILI UDUMU TFF WAZIBE MASIKIO HAJ ASIRUDI USEMAJI YANGA.TFF WANAMTOA MCHEZONI HAJ MANARA MAKELELE,MITUSI,MBWEMBWE ZA ULAYA.ENG ALISEMA
MAKUSUDI
Kwenda ww juzi hersi kasema atapangiwa kitengo ww unasema kapewa mda mrefu acha umbea mtoto sio rizki ww
Manara atabakia kuwa msemaji bora
Wa mda wote
Huyu apewe kitengo Cha kupikia chakula wanachama na kufua jezi
hehehehehe
😂😂😂